Habari zenu wakuu, kuna sehemu nafanya kazi hapa Buguruni imevunjwa nyumba na limechimbwa shimo la choo sasa kifusi ni kingi na ni eneo la baarabarani, ikiwa unahitaji nicheki uje ubebe asubuhi bure kbisa. Njoo na gari na watu wako wa kupakia hicho kifusi 0624254690