kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Ali kibao ndiyo ulikuwa mwanzo wa Samia kushuka! Nuksi yake bado ipo

    Kifo cha Ali kibao ndiyo ulikuwa mwanzo wa Samia kushuka ! Nuksi yake bado ipo. Raisi Samia kupuuza na kusema kifo ni kifo mpaka leo hajarudi kama zamani
  2. I

    JamiiForums Tanzania Kumbe kifo cha kipepeo mkuu kilikuwa njama ya kumchafua "Daftari kuu" ili ubingwa wa SISEMI uonekane umepangwa

    Taarifa za uongo zilizosambazwa mtandaoni hivi karibuni kuhusu kifo cha Mkurugenzi Mkuu wa Vipepeo zimeibua gumzo kubwa baada ya Mstaafu wa Kyuba kutoa neno jana. Kilichoshangaza wengi ni namna jina la Mkuu wa Daftari, "Bw. Kajimu," lilivyoandikwa mara moja kama mrithi wa bustani ya vipepeo...
  3. JamiiForums Tanzania Wakati Dunia inamuomboleza Jaji Frank Caprio kutokana na hekima na busara zake za kipekee, Tanzania tunaomboleza kifo cha Mahakama

    Siku ya leo, Dunia imeshtushwa na taarifa ya kifo cha Jaji Frank Caprio aliyejizolea umaarufu mkubwa duniani kutokana na kusikiliza mashauri kwa Hekima na busara za hali ya juu kabisa kuwahi kutokea. Jaji huyu aliyejizolea umaarufu mkubwa akiwa anahudumu kama Jaji kiongozi wa Mahakama ya...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Uzushi Kifo cha Mkuu wa Kivuli ni Njia ya Kumng’oa Bosi wa Daftari Kuu

    Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na tabia ya baadhi ya sauti zisizo na sura kutumia mitandao ya kijamii kama jukwaa la kusambaza uzushi kwa lengo la kuleta taharuki, hofu na kupunguza imani ya wananchi kwa nguzo za dola. Miongoni mwao ni wanaojificha kwa majina ya kificho kama Kidnapped King wa X na...
  5. JamiiForums Tanzania Je, unafahamu maisha ya watoto wa familia ya Benito Mussolini baada ya kifo cha baba yao 1945?

    Unafahamu kilichowapata watoto wa Benito Mussolini baada ya kifo chake? Je, walibeba mzigo wa makosa yake? Baada ya kuuawa kwake mwaka 1945, watoto wa Benito Mussolini waliishi maisha yenye mashaka na huzuni tele. Ingawa wao wenyewe hawakuwa wahalifu kama baba yao, walijikuta wakibeba mzigo...
  6. JamiiForums Tanzania Mtu akifa anaenda wapi?

    Swali hili limekuwa ni kitendawili kwa wanadamu wote: Mtu akifa, anaenda wapi? Maandiko ya kale ya Henoko 22:18–26 yanatupa picha nzito ya safari ya roho baada ya kifo. Hebu tusome kwa pamoja: 18 Kutoka hapo nikaenda mahali pengine, mlima wa mwamba mgumu. 19 Na ndani yake palikuwa na mashimo...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Amri ni Ngome, Uvunjaji ni Kifo

    Rejea 1 Wafalme 2:1 - 2, 8 - 9, 36 - 46 Kwa wasiokuwa na Biblia 1 Wafalme 2:1-2 [1]Basi siku ya kufa kwake Daudi ikakaribia, akamwusia Sulemani mwanawe, akasema, [2]Mimi naenda njia ya ulimwengu wote; basi uwe hodari, ujionyeshe kuwa mwanamume; 1 Wafalme 2:8-9 [8]Hata, angalia, yuko pamoja...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia awatolea uvivu waliokebehi kifo cha Ndugai. Asema "Sisi tuko wengi kuliko nyinyi"

    Spika Tulia amesema Wanaomuunga mkono Rais Samia ni Wengi kuliko wale wanaompinga hivyo Asiogope Spika Tulia amesema hayo wakati akitoa salamu za Bunge kwenye misa ya msiba wa Ndugai Aidha Tulia amewataka Watanzania kuacha kuwasema vibaya viongozi wanapofariki Kwani kuwasema vibaya marehemu ni...
  9. JamiiForums Tanzania Chanzo cha kifo cha Job Ndugai ni Shinikizo la damu kushuka sana, iliyosababishwa na maambukizi makali kwenye mfumo wa hewa

    Wakuu Akisoma wasifu wa Marehemu Job Ndugai, Katibu wa bunge ameeleza kuwa chanzo cha kifo ni Shinikizo la damu kushuka sana, hali iliyosababishwa na maambukizi makali kwenye mfumo wa hewa. “Kwa mujibu wa taarifa ya madaktari, Marehemu Ndugai ame-fariki baada ya kuugua kwa muda mfupi, kutokana...
  10. JamiiForums Tanzania Kushangilia kifo cha Ayubu hakumuudhi wala kumkera Belshaza, maana Ayubu hakuwa mtu wake

    Nimeona wananchi wengi wakishangilia kifo Cha Ayubu (Job) Kama njia ya kumkera na kumuudhi Belshaza (Mtawala). Niwakumbushe kuwa hata huyo Ayubu alijiuzuru kwenye nafasi yake baada ya kukosana na Belshaza. Kwahiyo tangu hapo Ayubu na Belshaza hawakupikika chungu kimoja. Kwahiyo kushangilia...
  11. JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Joseph Magufuli amefariki dunia. Taarifa rasmi iliyotolewa kwa umma na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan kupitia Televisheni ya Taifa (TBC) leo usiku Machi 17, 2021 saa 5 usiku imeeleza kuwa Rais Magufuli amefariki dunia leo majira ya saa 12...
  12. JamiiForums Tanzania Dodoma: Serikali yakiri Watu kushangilia Kifo cha Ndugai, ila yasema itawaeleza vijana kwamba hilo si jambo zuri

    Hivi ndivyo alivyoeleza Mkuu wa Wilaya ya Kongwa. Zaidi huyu hapa Swali letu ni hili, unadhani kwanini kifo cha Ndugai kimeshangiliwa badala ya kuwa Huzuni kama Marehemu wengine wanapofariki akiwemo Maalim Seif na Ally Kibao? ====================== Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, Saimon Mayeka...
  13. JamiiForums Tanzania Ndugu wanasema Ndugai alikuwa mzima tu

    Waombolezaji wanaendelea kuwasili msibani kwa aliyekuwa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Kongwa, Job Ndugai, nyumbani kwake Njedengwa Jijini Dodoma. Soma pia: Rais Samia asikitishwa sana na Kifo Cha Ndugai. Aomba Watanzania kumuombea kwa Mungu...
  14. JamiiForums Tanzania Je, nini kimemuua mkuu wa Senior Vibwengo? Polepole episode ya 4 itawafanya WAJUMBE wa Kamati Kuu watizamane. Je, Majaliwa na Mpango watapona?

    Pole pole episode ya NNE Itawafanya kamati kuu kutizamana Je mwajua itazungumzia Nini?. Kikubwa ni chanzo Cha kifo Cha Hayati Magufuli na watatajwa wote walio usika na ushahidi wake All the best Ila Kassimu Majaliwa na Desdory Mpango hawako salama
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kuna clip ya dada mmoja anaelezea kifo cha Mwendake, mazingira yake na kuna vigogo kawatuhumu kwa kuwataja majina

    Kuna clip ya Dada mmoja anaongea kwa hasira kuhusu mazingira ya Mwendazake kufariki huku akitaja baadhi ya vigogo anaowatuhumu kuhusika akiwepo Mstaafu mmoja. Hii clip bila shaka ni mpya na ni wazi wa nchi hii kuna mambo mazito yanaendelea. Kwakeli nimeshangaa sana na sidhani huyu dada kama...
  16. JamiiForums Tanzania Taifa la Tanzania lilipata hasara kwa kifo cha Hayati Rais John Pombe Magufuli

    Baada ya kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli, taifa la Tanzania lilirudi nyuma hatua tano katika nyanja zote za kimaisha, kiuchumi, kisiasa na kijamii Tumeona deni la taifa likiongezeka hadi trillion mia, tumeona uwajibikaji kwa Watumishi wa Umma ukipungua,Tumeona wizi wa Mali ya...
  17. JamiiForums Tanzania Tishio kwa Wazalendo: Haki ya Maoni au Hukumu ya Kifo?

    Fg
  18. JamiiForums Tanzania Riwaya: NAFSI YA MFU Mtunzi: Kindo Emmanuel

    ILIKUWA ni asubuhi chungu kuliko zote nilizopata kuamka. Nilitetemeka na mwili wote ulifukuta kwa maumivu yasiyomithilika, jasho halikuwa mbali namni. Nilihisi utumbo ukijinyongorota ndani kwa njaa niliyohisi na kila nilichojaribu kula nilitapipika mpaka nyongo. Nilihisi huenda nilikumbwa na...
  19. JamiiForums Tanzania Ungefanya nini ukijua unakufa kesho ?

    Kifo ni ukumbusho wa jinsi tulivyo dhaifu, na kwamba kila kitu kinaweza kuondoka kwa sekunde. Hofu zako zote hizo - wale wanaokuzuia: hofu ya kukataliwa, kuchekwa, kutengwa; - haimaanishi chochote unapoongeza kifo kwenye fomula. Ungefanya nini, ikiwa ungejua utakufa baada ya saa chache...
  20. JamiiForums Tanzania Siku tutakayokufa ndio tutaujua Ukweli kuhusu hatma yetu baada ya kifo

    Kila nikitafakari sana kuhusu hili swala la maisha baada ya kifo katika Angle ya hizi dini zetu nagundua sisi wanadamu hatujui hatma yetu baada ya maisha haya. Muislamu anasema hili mkristo anasema lake...wa budhaa nao wanasema kivyao ,wahindu nao vilevile wanaelezea maisha ya kifo wanavyojua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…