kifo cha sokoine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Washenzi walianza kipindi cha Nyerere mpaka kifo cha Sokoine wakiwa ndani CCM

    Ukiwa mchambuzi au mtafakari unaanza kupata kupata picha tokea kupata uhuru kuwa sisi ushenzi ulianza ndani tokea uhuru. Wale washenzi mfano wa mobutu seseko hapa kwetu wapo ndani ya chama tawala hawa kuwa kwenye uraisi ila wapo ndani ya chama tawala tokea historia. Uzimishaji wa mfumo kuhusu...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Sherehe ya kumbukumbu ya kifo cha Sokoine ilikuwa ya kiserikali au familia?

    Serikali ina bajeti iloyotengwa ya kufanya sherehe za kumbukumbu za vifo kwa viongozi wa taifa waliofariki ? Ni viongozi gani waliofariki ambao wanakidhi vigezo vya kufanyiwa kumbukumbu za kiserikali kwa bajeti ya serikali? Wizara gani inasimamia ufanyikaji wa hizo kumbukumbu?
  3. Chinga One

    JamiiForums Tanzania Utata wa Kifo Cha Hayati Sokoine

    Wadau ningependa kujua chanzo halisi cha kifo cha waziri mkuu wa zamani hayati Sokoine kwa vile alipofariki nilikua bado sijazaliwa, nimejaribu kupitia baadhi ya makala mbali mbali naona hazielezi mazingira halisi ya ajali hiyo kwa msingi huo napenda kushare na nyie maswali kadhaa; 1. Ajali...
Back
Top Bottom