Jipatie Bus kali lenye bei Nafuu
Higer KLQ6136DF pamoja na Higer PF4
Lenye choo au bila choo
Bei zetu ni nafuu na unalipa kwa awamu
Weka order yako sasa
📞 +255622726182
📍Magomeni Kanisani
Stock ni limited
Jopo la majaji huko Los Angeles limemuamuru rapa wa Marekani Kanye West kumlipa dola 140,000 (takriban Tsh. 365.4 Milioni) fundi wa kazi za mikono aliyemshtaki kwa kutolipwa malipo ya kazi wakati wa ukarabati wa jumba lake la kifahari huko Malibu.
Fundi huyo, Tony Saxon, alimshutumu rapa huyo...
Aliyekuwa Waziri wa Rasilimali za Mafuta wa Nigeria, Diezani Alison-Madueke, amefikishwa mahakamani jijini London akikabiliwa na tuhuma za kupokea rushwa zenye thamani ya mamilioni ya pauni kwa njia ya fedha taslimu, mali za kifahari na matumizi ya majengo ya gharama kubwa kutoka kwa...
Watoto wetu waliokua wanapambania kesho yao dhidi ya mfumo kandamizi mmewapa kesi za uhaini wakati wa kwenu wanatembelea kila aina ya gari ya kifahari sawa sisi tunaendelea kuona mwisho wenu utakuaje hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho
Mange amefichua ufisadi mkubwa unaofanywa na familia za viongozi wa juu, wakitapanya mabilioni kupitia “deals.” Swali linalojitokeza ni: hivi kweli familia hizi hazina hata chembe ya busara ya kawaida katika namna ya kufanya mambo yao? Ni kana kwamba tamaa imefunga fikra zao kiasi cha kushindwa...
Vyombo vya habari vya Marekani vinaripoti kwamba Rais Trump anatarajiwa kupokea "ikulu inayo kuruka" kama zawadi kutoka kwa mtawala wa Qatar- Boeing 747-8 yenye thamani ya mamia ya mamilioni ya dola, iliyopambwa kwa dhahabu na samani za kifahari.
Cha kushangaza ina vifaa vingi vya kusikiliza...
🏠NYUMBA INAUZWA MILIONI 33
📍ipo MBONDOLE DAR-ES-SALAAM🇹🇿
Ni njia ya Chanika ukitokea MBAGALA rangi 3 kujia CHAMAZI AZAM COMPLEX
Pia unaweta kutokea Njia PANDA YA KIVULE AU KUPITIA MOMBASA YA GONGOLAMBOTO NJIA PANDA YA KIVULE ZOTE NI NJIA KUJIA MBONDOLE ✅
✍🏻Ina Vyumba vitatu
✍🏻SEBULE
✍🏻JIKO...
Unawahi kufungua Instagram asubuhi tu, bado upo kitandani, halafu kitu cha kwanza unakutana nacho ni mtu kaweka picha ya breakfast ya kifahari – croissant, avocado toast, na kahawa ya Starbucks… huku wewe unatafuna mkate wa jana na chai ya majani? 😅
Kila siku timeline inajaa na watu wanaoishi...
Ofisi ya chadema makao makuu mikocheni ina ukumbi mkubwa sana, kwa nini wasifanyie vikao hapo? Wanaenda kukodi kumbi za makumi ya mamilioni wakati wanalia chama hakina hela? Chama kinafanyia maamuzi hotelini? Wanapishana na watu wametoka kuzini au wana mataulo walikuwa wanaoga?
Chadema, tumieni...
Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amesafirisha magari yake ya kifahari aina ya Rolls-Royce na Cadillac Escalade hadi Zanzibar. Magari hayo yanatarajiwa kutumika katika msimu huu wa Tuzo za Trace, zinazofanyika leo, Februari 26.
Harmonize adata na showbiz kutoka kwa Kaka yake na...
Habari wakuu.
Kweli kuna watu wanakula mema ya nchi. Katika harusi iliyofanyika leo jijini Mombasa, Diamond Platnumz amelipwa Bil 2.3 kwaajili tu ya kuperform kwenye harusi hiyo.
Kwa wale wenye source naomba wanijulishe hii ilikuwa ni harusi ya nani kwakuwa hadi Rais wa Kenya William Ruto...
Habarini
Huyu jamaa nasikia anamiliki king d auto spares, huenda labda anamiliki king d hotel ya sinza
Hizi pesa nyingi watu wanazipataje wakuu.🤔mtu mwenyewe haendani na pesa anazomiliki, mtu amevaa suti ila suruali amepiga mlege😁
Lugumi muonekano wake unaendana na pesa anazomiliki ila sio...
Najiuliza tu, hayo mamia ya mamilioni kayatoa wapi wakati juzi tu tulikuwa tunamchangia apate usafiri? Na akaandamana na watu wengi sana, wengine wamelipiwa nauli kutoka mikoani na kulazwa kwenye hoteli zenye fahari kuu jijini Dar es salaam?
Nimekuwa nikifuatilia kwa makini jinsi desturi ya kuchangia na kufanya sherehe kubwa, hususan harusi, inavyozidi kushika kasi hapa nchini. Kinachoshangaza zaidi ni kwamba ule wigo wa kuomba michango sasa umepanuka kiasi cha kutisha. Leo hii, mtu ambaye jina lako halijui vizuri anaweza kukuomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.