kidato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TAHOSSA MKOA WA MARA NAWASHAURI MZINGATIE YAFUATAYO ILI KUIPA THAMANI MITIHANI YA MOCK KIDATO CHA PILI,CHA NNE NA CHA SITA.

    Wasaalam wanajamvi, Ombi langu nalipeleka moja kwa moja kwa Tanzania Heads of Schools Association (TAHOSSA) au kwa Kiswahili 'Umoja wa wakuu wa shule za Sekondari Tanzania.Hapa nilielekeze kwa wakuu wa shule za Sekondari Mkoa wa Mara. Kwa muda mrefu kumekuwepo na mitihani ya kuwaandaa...
  2. JamiiForums Tanzania Selection za kidato cha tano na vyuo vya Kati 2026 tayari zimeachiwa

    Link iyo chini kutazama https://selform.tamisemi.go.tz/Content/selection-and-allocation/2026/first-selection/index.html
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kuhusu wahitimu kidato cha 6 kujiunga na JKT

    Wakuu habari za muda huu. Naomba kuuliza utaratibu wa wahitimu wa kidato cha 6 kujiunga na JKT kama bado ni hiyari au kwa sasa ni lazima? Na kama ni lazima,mafunzo hayo huanza mwezi gani kwa hawa ambao wamehitimu kidato cha 6 mwaka huu?
  4. JamiiForums Tanzania Historia ya Tanzania na Maadili: Shule za Sekondari Kitabu cha Mwanafunzi Kidato Cha Tano

    Kuna ajuaye yaliyomo kwenye kitabu hiki?
  5. JamiiForums Tanzania Kitabu Cha Historia ya Tanzania na Maadili: Kitabu Cha Mwanafunzi Kidato Cha Kwanza

    Yupo ajuaye kitabu hiki kinafundisha nini?
  6. JamiiForums Tanzania Zoezi la kubadili TAHASUSI na kozi za vyuo vya kati kwa wanafunzi waliohitimu kidato cha nne lafunguliwa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amesema kuwa, zoezi la kubadilisha tahasusi na kozi za vyuo vya kati kwa wanafunzi waliohitimu kidato cha nne mwaka 2025 limeanza rasmi Aprili 11, 2026 na litahitimishwa Mei 10, 2026. Prof. Shemdoe amesema hayo leo Aprili 11...
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Arusha DC kuna jambo linastahili kufuatiliwa katika Sekta ya Elimu

    Mimi ni mwalimu wa Shule ya Sekondari katika Halmashauri ya Arusha DC. Hivi karibuni wanafunzi wa kidato cha nne walifanya mitihani ya pre-mock, ambapo kila mwanafunzi alitozwa shilingi 12,000 kwa madai ya kugharamia usahihishaji wa mitihani hiyo. Cha kushangaza na kusikitisha ni kwamba...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Makurunge Sekondari, Wanafunzi wa kidato cha Pili na Nne wanalazimishwa kukaa Bweni

    Ni mmoja wa wazazi wa mtoto anae soma shule ya Sekondari Makurunge iliyopo mkoa wa Pwani, wilaya ya kisarawe kata ya Kiluvya. Walimu wa shule hii ya Sekondari wameanzisha mradi binafsi wa kujenga hostel za kukaa wanafunzi hivyo wamekua wakilazimisha wanafunzi hasa wa kidato Cha pili na nne...
  9. JamiiForums Tanzania TO wa mwaka 2006 kidato Cha sita anatrend mitandaoni baada kufariki 2020

    Huyu jamaa aliwahi kunifundisha Tuition pale kwa Demtatuzi( naye ni marehem) boma Kama unaenda msimbazi. jamaa alikuwa anafundisha physics na chemistry tu, alikuwa akisema hawezi kufundisha somo rahisi Kama pure mathematics😄 Alikuwa TO mwaka 2006, akaenda chuo pale UDSM akadisco(inasemekana...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna ulazima gani mwanafunzi wa kidato cha pili kufanya mtihani wa Taifa???

    Mimi naona hakuna ulazima. Halafu pia hata wakifanya wasirudie darasa.
  11. JamiiForums Tanzania Prof. Riziki Shemdoe: Bajeti za Miundombinu ya Elimu zitengwe kujiandaa na mapokezi ya Wanafunzi Kidato cha Kwanza 2028

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amewaelekeza Makatibu Tawala wa Mikoa kuhakikisha wanawasimamia Wakurugezi wa Halmashauri wakati wanapoandaa bajeti za Mwaka wa Fedha 2026/27 kuweka vifungu vya kugharamia maboresho ya...
  12. JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 yatangazwa

    Ufaulu Umepanda. Futatilia hapa. https://www.youtube.com/live/uwbLeIIRXOc?si=m-Iyj06qeAYHlPCl Kupata Matokeo fungua link hii: https://matokeo.necta.go.tz/results/2025/csee/index.htm --- Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika kuanzia...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 yanatoka lini?

    Nina Imani kuwa humu jf Kuna watumishi wa Baraza la mitihani. Matokeo ya kidato Cha nne yanatoka lini?
  14. JamiiForums Tanzania Kisa vipande vinne vya mkate, niligomea Mahafalu ya TYCS kidato cha sita

    Habari wana jamvi...? Nikiwa high school pale mkoani Simiyu wilaya ya maswa MWAKA 2018 kuna tukio lilitokea na mimi kama kiongozi wa dini sikulipenda kabisa hii ilinifanya nikawa na mzozo na chair wa tycs wakati ule. Kwanza ifaahamike shule ile ilikuwa na O-level mixer na A-level ni boys. So...
  15. JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha pili yametoka, kumbe kuna shule zenye majina haya?

    Kumbe hizi shule zipo Job Ndugai High school Janeth Magufuli Secondary School Jenister Mhagama Secondary School Joel Bendera High school Janeth Magufuli Girls Secondary School Juma Zuberi Homera Secondary School January Makamba Secondary School Dr Tulia Girls Secondary School Daniel...
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kituo kizuri cha kujiandaa kurudia mtihani wa Kidato cha Sita

    Natumaini kila mmoja wetu hapa yupo na siku nzuri kabisa; Nimekuja kwenu asubuhi hii ili kuomba ushauri wa mambo ya kielimu; hasa kurudia mtihani wa kidato cha sita. Kitaaluma mimi ni mwalimu wa ngazi ya cheti, pia nilisoma kidato cha sita mwaka 2014 mchepuo wa PCM. Sikufanya vema...
  17. JamiiForums Tanzania Kama umemaliza angalau kidato cha 4 halafu hujui Kiingereza. Jitahidi ujue, hiyo ni aibu

    Wasiojua Kiingereza na wana Elimu ambayo wameipata kwa lugha ya Kiingereza watakuja na utetezi wao kuwa Kiingereza ni utumwa, mara Elimu si lugha, mara utawasikia Wachina mbona wana viwanda, wengine wana Master's na hawajui Kiingereza. Utetezi wa namna hii ni mfu, unapaswa unyang'anywe vyeti...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Kidato cha nne kuanza mitihani kesho, 309,986 hawajulikani walipo

    Wanafunzi 595,816 wanatarajia kuanza mtihani wa kumaliza elimu ya sekondari kuanzia kesho Jumatatu, Novemba 17, 2025, ikiwa ni kukamilisha safari yao ya miaka minne. Idadi ya watahiniwa wanaotarajiwa kuketi hiyo kesho ni sawa na asilimia 65.63 ya wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato...
  19. JamiiForums Tanzania Baraza la mitihani (NECTA) yatangaza mtihani wa kidato cha nne kuanza kesho

    Wanafunzi 595,816 wanatarajia kuanza mtihani wa kumaliza elimu ya sekondari kuanzia kesho Jumatatu, Novemba 17, 2025, ikiwa ni kukamilisha safari yao ya miaka minne. Idadi ya watahiniwa wanaotarajiwa kuketi hiyo kesho ni sawa na asilimia 65.63 ya wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato...
  20. JamiiForums Tanzania Naweza kusoma nikiwa kazini Diploma za Sayansi kwa ufaulu huu kidato cha sita wa mwaka 2014?

    Habari za muda huu ndugu wana jukwaa. Niende moja kwa moja kwenye mada; nilihitimu kidato cha sita mwaka 2014 mchepuo wa PCM na kupata alama zifuatazo; Physics- D Chemistry- E Advanced Mathematics-E General Studies- D ( japo haina maana). Baada ya matokeo hayo yasiyoridhisha nikajikatia tamaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…