kibiti

The Kibiti lampeye (Lacustricola lacustris) is a species of fish in the family Poeciliidae. It is endemic to Tanzania. Its natural habitats are rivers and intermittent rivers.

View More On Wikipedia.org
  1. Carlos The Jackal

    Kupitia TUNDU LISSU, Shahidi George akiri yale Mauaji ya Kibiti yalitokea sababu ya uwepo wa anachodai Makosa ya Kigaidi , RCO akiwa Mafwele

    Mkuu TUNDU LISSU anatusaidia kupata Ushahidi zaidi wa baadae kuwashughulikia Hawa Wauaji. Ni kwamba, Kumbe yale mauaji ya watu wengi yalotokea Kibiti, ni Kwa sababu RCO Mafwele na Msaidizi wake George waliyaongoza wao wenyewe Kwa kisingizio Cha Kupambana na Ugaidi. Unaniuliza, kama tatizo ni...
  2. tonicimmobility

    Mbakaji kibiti ahukumiwa kwa kuchapwa viboko 12 na kulipishwa 500,000 kama fundisho

    Septemba 04, 2025 Mahakama ya Wilaya Kibiti Mkoa wa Pwani imemuhukumu Ally Sylvester Adobe (17) mkazi wa Kijiji cha Jaribu Mpakani wilayani Kibiti kwa kosa la kubaka Mwanafunzi miaka (16). Mahakama imeeleza kuwa mtuhumiwa alifanya kitendo hicho Machi 18, 2025 huko Kijiji cha Jaribu Mpakani...
  3. Just Pray

    Maofisa wa Maliasili Kibiti Pwani, wanadaiwa kumuua Haji Mnette na kuuzika mwili wake kupoteza ushahidi, DC aagiza uchunguzi

    Maofisa wa Maliasili wilayani Kibiti mkoani Pwani, wanadaiwa kumuua Haji Mnette na kuuzika mwili wake haraka kupoteza ushahidi, nduguze wamelalamika. Mkuu wa Wilaya ya Kibiti, Kanali Joseph Kolombo ameagiza wahusika wawekwe ndani na wananchi wawe watulivu wakati suala hilo likifanyiwa kazi...
  4. Stephano Mgendanyi

    Serikali Inaboresha Miundombinu ya Umeme Kibiti Kuondoa Changamoto ya Umeme

    SERIKALI INABORESHA MIUNDOMBINU YA UMEME KIBITI KUONDOA CHANGAMOTO YA UMEME Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inatekeleza miradi mbalimbali ya matengenezo na ukarabati wa njia za kusafirisha na kusambaza umeme katika Wilaya...
  5. Nipe Maji

    PreGE2025 Kamati ya siasa ya CCM Kibiti yakagua miradi ya maji ya RUWASA ikihusisha visima 900 vya Mama, kwani mama anatoa hela mfukoni mwake?

    Wakuu Wananchi Wilayani Kibiti Mkoani Pwani Wametakiwa kuilinda vyema miradi ya maji ya wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira vijijini RUWASA waliyojengewa na Serikali ili iweze Kudumu na kuwanufaisha wengine na kuwa endelevu kwa kuitumia vizazi na vizazi. Wito huo umetolewa na Kamati ya...
  6. Just Pray

    Serikali yazindua mpango wa matumizi ya ardhi kudhibiti migogoro kibiti

    Kijiji cha Mkupuka, kilichopo wilayani Kibiti, mkoani Pwani, ni miongoni mwa vijiji 57 vinavyonufaika na mpango wa matumizi ya ardhi, hatua inayolenga kudhibiti migogoro ya ardhi na kuboresha matumizi ya rasilimali hiyo. Mpango huo unatekelezwa na Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Mipango ya...
  7. Waufukweni

    PreGE2025 Mwenyekiti CHADEMA Kibiti atangaza kumuunga mkono Mbowe

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Kibiti, mkoani Pwani Mohammedi Seif amejitokeza hadharani na kueleza msimamo wake kuwa anamuunga mkono Freeman Mbowe katika kinyang'anyiro cha kumtafuta Mwenyekiti wa chama hicho Taifa kwenye mchakato wa uchaguzi wa ndani...
  8. Mwanongwa

    REB yatembelea Kijiji cha Keichuru - Kibiti, Wananchi watakiwa kutunza na kuwa walinzi wa miundombinu ya umeme

    Wananchi wa Kijiji cha Keichuru kilichopo katika Wilaya ya Kibiti Mkoa wa Pwani wamempongeza na kumshukuru Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kwa utekelezwaji wa miradi ya kupeleka umeme vijijini kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Wananchi hao wametoa pongezi hizo Disemba 1, 2024 wakati...
  9. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kujenga Kituo cha Afya Kata ya Mtunda, Kibiti

    SERIKALI KUJENGA KITUO CHA AFYA KATA YA MTUNDA, KIBITI "Kata ya Mtunda ni Kata ya kimkakati katika Jimbo la Kibiti ambayo ilikumbwa na mafuriko kipindi kilichopita. Je, nini kauli ya Serikali katika kujenga kituo cha Afya kwa wananchi ambao wamesubiri kwa muda mrefu sana?" - Mhe. Twaha...
  10. Stephano Mgendanyi

    Hon. Twaha Mpembenwe (MP for Kibiti Constituency): Dr. Ndugulile a Booked WHO AFRO Director Nominee!

    Hon. Twaha Mpembenwe (MP for Kibiti Constituency): Dr. Ndugulile a Booked WHO AFRO Director Nominee! I’m so thrilled and pleased to confidently finger-point Dr. Faustine Engelbert Ndugulile a Tanzanian former deputy health minister, and previous minister for Communication and ICT contending for...
  11. nditolo

    Wizara ya Afya na TAMISEMI mmetukosea sana Idara ya Afya Halmashauri ya Wilaya Kibiti

    Katika hali ya kushangaza wizara na TAMISEMI imetuletea DMO kutoka Mtama DC. DMO huyu alikuwa na tuhuma lukuki huko alikotoka na ikafikia madiwani kuazimia kumtoa madarakani lakini cha kushangaza mnatuletea huku. Ilishindikana kuteua Daktari yoyote ndani ya halmashauri yetu mpaka mkaamua...
  12. SteveMollel

    Kinachoendelea Msumbiji, magaidi na Jeshi - Part 3

    - Shambulizi la kigaidi mji wa Macomia mwezi jana. - Oparesheni ya SADC na jeshi la Rwanda. - Interest ya Kagame katika vita za wengine. Wa kwanza kufika hapa Msumbiji ni jeshi la Rwanda. Kwa makubaliano ya siri yalowekwa na raisi wa Msumbiji, Felipe Nyusi, na raisi wa Rwanda, Paul Kagame...
  13. SteveMollel

    Kibiti mpaka laana ya Cabo Delgado: Part II

    Kabla ya kuendelea, turejelee kauli aliyoitoa Colonel Lionel Dyck, mkurugenzi wa jeshi binafsi la DAG ambaye mkataba wake wa kutoa msaada wa anga pale Msumbiji ulitamatika tarehe 6, April 2021. Alipohojiwa, alisema kauli hii; "Mungu, wasaidie watu wale." Akimaanisha watu wa Msumbiji...
  14. SteveMollel

    Njia ya Kibiti kwenda kwenye laana ya Cabo Delgado

    𝐓𝐚𝐧𝐳𝐚𝐧𝐢𝐚 𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐠𝐚𝐢𝐝𝐢 𝐲𝐚 𝐀𝐧𝐬𝐚𝐫 𝐚𝐥-𝐬𝐮𝐧𝐧𝐚. - 𝐍𝐣𝐢𝐚 𝐲𝐚 𝐊𝐢𝐛𝐢𝐭𝐢 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐥𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐲𝐚 𝐂𝐚𝐛𝐨 𝐃𝐞𝐥𝐠𝐚𝐝𝐨. - 𝐖𝐚𝐭𝐮 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐨𝐤𝐨𝐭𝐚 𝐦𝐢𝐢𝐥𝐢 𝐧𝐚 𝐯𝐢𝐜𝐡𝐰𝐚 𝐯𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐩𝐞𝐦𝐛𝐞𝐧𝐢. 𝐒𝐄𝐇𝐄𝐌𝐔 𝐘𝐀 𝟬𝟭: Tarehe 20 mwezi huu wa tano, waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga taifa, Dkt. Stergomena Tax analiambia bunge kuwa hali ya usalama katika...
  15. mtokeibwima

    KERO Kibiti umeme hauwaki mfululizo zaidi ya saa moja

    Yaani TANESCO KIBITI mnatia aibu sana. Kila siku umeme hauwaki mfululizo zaidi ya saa moja au mawili. Hii haijalishi ni usiku au mchana. Yaani ni mwendo wa washa zima. Mjitafakari sana. Na msivyo na aibu mnasema eti ni miundombinu wakati tangu umeme umeingia wilaya ile haijafika miaka 10. Ni...
  16. Ojuolegbha

    Kamati ya taifa ya Maafa imetembelea Rufiji na Kibiti

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSIANA NA MAAFA YA MAFURIKO RUFIJI NA KIBITI MKOANI PWANI
  17. Stephano Mgendanyi

    MP Kibiti: Urgent Request for Food Stuffs Support to Flood Affected Kibiti District Communities

    RE: URGENT REQUEST FOR FOOD STUFFS SUPPORT TO FLOOD AFFECTED KIBITI DISTRICT COMMUNITIES Dear: Well-wishers, Friends, Sympathizers, Neighbors, Fellow Tanzanians. Date: 09th April, 2024. Kindly be reminded on the caption above. I am humbly presenting to you this hand of pity plea, with an...
  18. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Twaha Mpembenwe afika Kibiti kutoa pole, Rais Samia Suluhu Hassan kutuma misaada ya kibinadamu kusaaidia wahanga wa mafuriko

    Mbunge Twaha Mpembenwe Afika Kibiti Kutoa Pole, Rais Samia Suluhu Hassan Kutuma Misaada ya Kibinadamu Kusaaidia Wahanga wa Mafuriko Mbunge wa Jimbo la Kibiti Mkoa wa Pwani, Mhe. Twaha Ally Mpembenwe amefanya ziara ya kuwatembelea wananchi wa Kata, Vijiji, vitongoji na mitaa katika Wilaya ya...
  19. U

    Wezi waiba kilo 50 za mahindi ya kande Kanisa la Sabato Kibiti

    Wadau hamjamboni nyote Habari mbaya kutoka. Wezi wamevunja na kuiba mahindi ya Kande kilo 50, Maharage kilo tano, mafuta Lita moja na nusu usiku wa kuamkia jana. kwenye Kanisa la Waadventista Wasabato Kibiti Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Rufiji Protas Mutayoba amethibitisha tukio hilo na...
  20. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mpembenwe: Jimbo la Kibiti Mpaka Juni 2023 Lilipokea Bilioni 31 za Miradi ya Maendeleo Kutoka kwa Rais Samia

    MBUNGE MPEMBENWE: JIMBO LA KIBITI LILIPOKEA BILIONI 31 ZA MIRADI YA MAENDELEO KUTOKA KWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN "Katika Jimbo la Kibiti, Rais Samia Suluhu Hassan ametupatia fedha nyingi za maendeleo. Juni 2023 nilisoma utekelezaji wa Ilani, tulipewa Shilingi 31,634,560,924.43. Sekta ya Elimu...
Back
Top Bottom