kibali

The Kibali Gold Mine is a combined open pit and underground gold mine in the Haut-Uélé province of the northeast Democratic Republic of the Congo. By area, it is one of the largest in Africa. The mine is named for the nearby Kibali River.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Mi ni mfanyakazi katika wilaya ya Nyanghwale - Geita. Nilipata kibali cha uhamisho, mwaka sasa nazungushwa

    Kwanini uhamisho unakuwa kitendawili hivi?. Kama mtu ushatimiwa barua ya kibali cha kuhama toka TAMISEMI baada yakuona unastahili kwanini halmashauri iwe changamoto? Hata barua yenyewe kujua kama ilishatumwa ni baada ya kufuatlia TAMISEMI ndo unaambiwa kibali chako tayari kishatumwa kwa...
  2. R

    Natafuta mhandisi mwenye sifa kuandaa michoro ya plumbing kulingana na house plan ya vyumba vitatu. Plan imeshapata kibali cha ujenzi.

    Kama una huo ujuzi tuongee. Hata kama huna degree ya engineering ili mradi una uzoefu wa kutosha
  3. Google walipa wamevunja rekodi ya kulipa faini kubwa kwa kukusanya na kufuatilia taarifa za watu bila idhini. Hatupo salama

    Google Yalipa Dola Bilioni 1.375 kwa Jimbo la Texas kwa Kufuatilia na Kukusanya Taarifa za Biometria Bila Idhini Google imekubali kulipa jimbo la Texas nchini Marekani kiasi cha dola bilioni 1.375 ili kumaliza mashitaka mawili yaliyokuwa yanaituhumu kampuni hiyo kwa kufuatilia mahali walipo...
  4. Ramani ya nyumba ya kuombea kibali cha ujenzi inatakiwa kuwa na sifa hizi

  5. Faida za kuwa na kibali cha ujenzi

    FAIDA ZA KUWA NA KIBALI CHA UJENZI Kujenga nyumba ambayo imethibitishwa kitaalamu kuwa ni salama. Kuwa na mazingira bora kwa kuwa na mji uliopangwa. Kuepuka hasara na usumbufu unaoweza kutokea iwapo ujenzi umefanyika bila kibali ikiwa ni pamoja na kushtakiwa mahakamani kuvunjiwa na kulipa...
  6. Habari wana JAMII FORUM je nikitaka kuuza madini lazima niwe na kibali ?

    Habari wana JAMII FORUM naomba kujua nikiwa na madini naweza kuuza bila kua na vibali vya uchimbaji ?
  7. Ulifanywa nini ulipokamatwa unajenga bila kibali cha ujenzi?

    Lete vihoja nini kilitokea ulipokamatwa na wakaguzi wa vibali vya ujenzi
  8. Huenda wakati wowote Mahakama ya uhalifu wa kivita ikatoa kibali cha kukamatwa viongozi kadhaa wa M23 na Rwanda

    Kufuatilia vikao vizito vinavyoendelea vyenye agenda ya kurudisha utulivu na amani DRC pia ushahidi na hesabu za idadi vta vifo vya raia, ubakaji, utesaji na mauaji kadhaa mamlaka za haki zinategemea kukaa na kumshauri mwendesha mashtaka mkuu wa ICC kuorodhesha ushahidi na wahusika katika...
  9. Mahakama Kuu yatupilia mbali ombi la kibali cha kupeleka maombi ya kufanyia mapitio uhalali wa Makamu wa Rais, Dr. Mpango kuendelea kubaki madarakani

    Mahakama Kuu imetupilia mbali ombi la Wakili Tenzi Anthony Nyundulwa (Mleta Maombi) la kuomba kibali cha kupeleka maombi Mahakama Kuu kufanyia mapitio uhalali wa Makamu wa Rais, Dr. Philip Mpango kuendelea kubakia madarakani kufuatia taarifa za kuwasilisha barua ya kujiuzulu katika nafasi hiyo...
  10. Nawezaje kupata kibali cha ufugaji wa mbuni kibiashara?

    Mbuni ni ndege, tena MKUBWA aliyejaa minofu inayovutia. Nimemuangalia na kumtafakari, hakika amenona. Nimeona huko kwa wenzetu, nyama yake inauzwa bei mbaya na inatajwa kwamba ni nyama yenye viini lishe na virutubisho vingi sana. Naomba kujuzwa utaratibu wa Mimi kupata kibali halali wa...
  11. First impression at first sight ndiyo hubeba kibali cha mahusiano yoyote. Jipange vyema unapokwenda kukutana na mtu au taasisi kwa mara ya kwanza

    Usijieleze sana, maana haibadilishi chochote. Binadamu anakupenda ama kukukubali dakika tano tu za kwanza anapokuona, hata kabla hujajieleza. Namaanisha, binadamu anakukataa moyoni dakika tano tu za kwanza mara anapokuona kwa mara ya kwanza. BILA SABABU YOYOTE, yaani, JINSI ULIVYO TU...
  12. Wananchi wapinga sheria kibali cha sherehe Moshi

    Kufuatia Halmashauri ya Wilaya ya Moshi kutoa tangazo la kulipia matukio ya sherehe na kisha tangazo hilo kusitishwa kwa muda, mjadala umekuwa mkubwa baada ya wananchi nao kupinga sheria hiyo wanayodai ni kandamizi. Akizungumza na Jambo TV Frank Maro mkazi wa Moshi ameeleza kuwa sheria hiyo ni...
  13. Nimenyimwa kibali baada ya kuomba kujenga Magereza binafsi

    Katika nyakati hizi ambazo ajira ni changamoto . baadhi ya wawekezaji hatupewi nafasi ya kutosha katika kutimiza ndoto zetu za uwekezaji. Nimetoa pendekezo kuhusu kujenga magereza binafsi pamoja na mortuary binafsi. Ila naona feedback ni ndogo Sana . Magereza binafsi zingekuepo hizi ndo faida...
  14. Magufuli alikuwa na kibali kikafutwa! Rais ni kibali, anajitambua? Je, tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake ili kisifutwe, au tumuachie mwenyewe?

    Wanabodi, Leo, naendelea na zile mada zangu fikirishi za KMT, Kwa Maslahi ya Taifa。Somo la leo ni la kitu kinachoitwa “Kibali”。 Kufuatia Watanzania waliowengi hawapendi kusoma vitu virefu,mada hii naileta kwa vipande vipande hadi ikamilike, naanza na Outline Kibali ni nini? Kibali ni cha kazi...
  15. Je ni sahihi kulipia kibali kwaajili ya marekebisho ya kupaka rangi nyingine nyumba yangu?

    Je, ni sahihi kulipia kibali kwaajili ya marekebisho ya kupaka rangi nyingine nyumba yangu? Nimeikuta huku Songea mkoa wa Ruvuma, ikiwa mwenye nyumba anataka kurekebisha rangi au kubomoa na kujenga vyumba vya kisasa inahitajika alipe pesa serikalini Ili apate kibali je ni sahihi? Au ni sheria...
  16. FCC yaipa kibali Space X kulink starlink na Smartphone, ISP wa bongo mnasubili nini na kazi imewashinda Vijijini?

    FCC sasa imeipa kibali Space X kulink smartphone na StarLink (Direct to Cell) yaani bila kutumia madish yao ya starlink kama tunavyosubili hapa bongo, hii feature ipo kwenye Generation ya pili ya Starlink lakini ilikuwa ikisubili vibali kwasabu ilihitaji kufanya satellite ziwe zina orbit kwenye...
  17. Kesho Azam Tv ataonesha mechi ya CAFCL bure kama kibali alichopewa kinavyosema?

    Kulingana na kibali alichopewa na CAF kurusha matangazo bure, mechi ya kesho hatoweza kubadilika? Maana tupo dunia ya kibepari
  18. S

    Kuna mtu katuchangisha Shs milioni 60 za harusi, nyingi zaidi ya hela alizochangisha Niffer; sijui kaomba kibali serikalini?

    Jamani, kuna mtu katupiga Tshs 60m mchango wa harusi. Sasa mie nashindwa kuelewa kama aliomba kibali cha serikali kama anavyosema Waziri Mkuu Majaliwa. Kama hakuomba na hairuhusiwi nijiwahi nikadai hela yangu, maana nilimpa wakati ninazo sasa nimechacha!
  19. G

    Epuka kuuziwa mbuzi kwenye gunia, Google pixel hairuhusu nchi za Africa kutumia 5g, Tafuta simu nyingine ukitaka ku-enjoy internet

    Yani umejipinda kununua simu kali halafu uanze tena kutumia 4g wakati eneo lina 5g ya kutosha, Ahh wapi aisee !! miyeyusho hio !! Ni tahadhari ya mapema kabisa naitoa, kama unataka kununua google pixel jifikirie mara 2, ukiachana na uadimu na bei pasua kichwa kwenye vioo kusababisha wengi...
  20. Ushauri: Malisa na yeye akamatwe kwa kuwa huwa anakusanya michango bila kibali

    Kuna huyu ndugu anaitwa Malisa. Yeye pia ni sehemu ya watu wanaokusanya michango mitandaoni bila kibali chochote. Nashauri na yeye aitwe Polisi akahojiwe. Inaweza kuwa ina namna
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…