TUTAMJIBU NINI MOLA WETU HUKO KESHO KIAMA??
Nikukumbushe tu, kama sio kukujuza yakwamba
Sijazaliwa katika familia yenye kujulikana au kuwa na heshima popote pale, Kwa bahati mbaya sikuwahi pia hata kushika nafasi zile tatu za juu darasani
Nakumbuka kuchekwa, kukatishwa tamaa, kunenewa uongo...