Nataka kushiriki uzoefu wangu kama somo kwa wengine. Nilicheza mchezo wa Aviator, ambao walisema ni 'provably fair', lakini kwa kweli nilipoteza hela nyingi sana. Mchezo huu uliharibu hali yangu ya kifedha na kuniacha na pressure kubwa ya akili.
Zaidi ya hasara ya pesa, niliona pia jinsi...
Hello bosses and roses...
Ni muda sana sijaandika kuhusu spirituality na psychology lakini leo nmekutana na uzi wa jamaa mmoja analalamika kwamba hakuzini kwa miezi 6 ila baada ya kuzini tu anajisikia vibaya siku ya nne sasa.
Iko hivi, kwanza kabisa kabla ya kuzini mara nyingi kuna moments za...
Jina la Mungu lenye herufi nane.
Eloha Vadaath אלוה ודעת Jehovah Vedaath, יהוה ודעת
Katika lugha ya asili.
Malipo manane ya wenye heri.Ambao ni Wananchi wa Tanganyika
Urithi.
Kutokuharibika.
Nguvu.
Ushindi.
Kuona uso wa Mungu.
Neema.
Ufalme.
Furaha.
Katika ulimwengu wa kiakili (wa kiroho wa...
Samia Suluhu Hassan hana sifa hizo ndiyomaana anapambana kuua watu wenye upeo mkubwa wa akili wanaomwambia ukweli.
"Ni hatari sana kuwa sahihi wakati serikali inakosea" Maxence Melo.
Na leo naona mna press conference mchana wa leo najua tu mnataka kumjibu Injinia mwenye akili nyingi sana Hersi
Na hamuoni hata wanasimba wenyewe wamefurahi sana kwa Injinia kutoa mfano kwa Simba kwamba Ina migogoro mikubwa upande wa uongozi...yan wako pale kula na kugombania pesa ya Mo Dewji...
Sote tunajua kwamba, Askari wa Tanganyika ni yale mazezeta sugu yaliyoshindikana shuleni yakabebwa na kupelekwa depo.
Askari wa aina hii ukimpa Amri ya kuua lazima umsimamie kwa karibu sana na umuelekeze kinagaubaga maana ya Amri hiyo.
Ninaamini wengi wao (askari) hawakuelewa nini...
Hata wewe unaweza kuproove.
1. Tumia app ya kuedit picha kama Photoshop, unaweza tumia ya online photopea.com
2. Download logo ya chatgpt
3. weka logo 2 za Chat GPT ( Duplicate )
4. Logo ya kulia ipindue juu kwenda chini (Flip Vertical)
Muonekano mpya
5. unganisha...
Kwa mfano kwa Sisi wapenda pombe huwa kula yetu ni ya Kiasi tunamfuata Janabi, sasa Mimi binafsi ukiniamsha asubuhi ukanishtukiza eti kula supu ya kuku hii hapa aisee huwa siwezi.
Mimi napenda niamke asubuhi nianze kujiandaa na kutafakari nini Leo samaki au utumbo ndizo au majani ya maboga au...
Wewe Polepole hebu msikilize vizuri hapa Mgombea Urais wa CCM Dkt Samia Suluhu, Mtakumbuka nimeingia madarakani kukiwa na changamoto kubwa ya Uhuru wa habari nchini. Nimechukua hatua za makusudi kuhakikisha uhuru wa habari unaimarika kwa kuweka wazi utashi wa kisiasa na misingi ya kisheria...
Kwenye hotuba ya jana tarehe 15/08/2025 ya Gwajima, kwenye maneno yote aliyozungumza, neno bora kabisa ni lile kuhusu watu weusi tunavyotofautiana na Wazungu katika kuwatumia watu wenye uwezo mkubwa wa kiakili.
Kila siku nikiona namna watu wenye akili na upeo tofauti wa kufikiri na kutenda...
TRUE STORY.
Maisha hua yanatupa fundisho sana lakini hilo fundisho huwezi jua utalipata lini na wakati gani kwa muda gani.
Back then wakati niko chuo mkoa X kuna baridi kinyama sana huko sasa wakati ule nilikua playboy sana hivyo sikuwahi kuumia na mapenzi kabisa na niliwahi sema aah mapenzi...
Kila mfanyabiashara ana ndoto ya kuona mauzo yakifumuka hadi target aliyoweka — iwe ni kuuza bidhaa 100 kwa wiki au kufikisha milioni 10 kwa mwezi. Lakini ukweli ni kwamba wengi hushindwa sio kwa sababu hawana bidhaa nzuri, bali kwa sababu hawana mfumo wa mauzo unaofanya kazi kila siku.
Katika...
Umri wa miaka ' 50 ' ni umri sahihi wa ukomavu wa kiakili na kihisia.
Ukimkuta MTU ambaye yupo ghorofa ya tano anakuwa amekomaa Sana akili na hisia anakuwa na EI kubwa na IQ kubwa.
Miaka hamsini ni umri wa unaokuja na hekima Sana .
Hii unaweza kuona kupitia familia ,marfiki na wewe mwenyewe...
Wakuu!
Huyu ni Kondesta Sichwale, Mbuge wa Jimbo la Momba mkoa wa Songwe. Inasemekana baada ya Vijana maarufu Greengard kudai posho zao, madai yao yamepelekea Kondesta kuchukizwa na kumchapa kibao huku akitoa lugha chafu.
Je, huu si unyanyasaji na udhalilisha? Usawa uko wapi?
Hili ni baada ya kuwafahamu kina amosi wengi sana nilio kutana nao katika maisha yangu ya kawaida , nadhan ndugu msomaji hebu na wewe wakumbuke kina amosi ulio kutana nao kwenye maisha yako kisha toa ushuhuda.
Nimecheka sana kwa jinsi huyu Polisi alivyokuwa akisema kwani kasema Ukweli mtupu huku akitoa na Mifano ya Kiutani.
Nimeiona katika Mtandao wa Thread wa Mtu anayejiita Balozi wa Watu.
Salamu Wakuu, msinione msumbufu Mimi mdogo wenu.
Nasumbuliwa na upweke na msongo, sijui najihisi vipi ndugu zangu.
Napo waona watu nahisi hisia za kuwachukia, natamani kukaaa peke yangu zaidi. Pia wakati huu nasumbuliwa na hasira sana, kitu kidogo nakasirika sana.
Naona Sina marafiki...
Wakati natoka home kuelekea kuangalia mpira nikapitia maeneo ya machinjioni mtaani kwetu .
NIMEKUTANA na ngombe mnyama akiwa amelala chini huku akiwa amevunjika mguu wa nyuma mfupa uko nje nilistuka sana infacts sijawahi shuhudia live binadamu akiwa katika Hali iyo
Nika imagine maumivu...
Hivi wakuu ni muhimu namna gani mtu kufanya mazoezi ya kujiweka fit kimwili na kiakili.
Sasa kwanini imejengeka kifikra kuwa mazoezi mfano ya karate, judo, kuwa eti ni mazoezi ya kigaidi, kuna sheria imetungwa kuwa hayo mazoezi au iyo michezo ni ya kigaidi? Kwaiyo watu bora wawe laini laini...
Kila ninapokuwa nikiingia hapa Jukwaani ni lazima nitakutana na Uzi wa huyu jamaa Anayejiita Chief Godlove
Nimekuwa nikilazimika kufungua nyuzi zake kwasababu nimekuwa nikiona mada zake zimekaa Kishambenga hasa kushambulia wanaume ambao yeye Kwa tafsiri yake amekuwa akiwaita "MASIKINI"
Huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.