Kesho Inshallah, mawakili wasomi watawasilisha majumuisho yao mbele ya Jaji Tiganga.
Msingi wa kinyang'anyiro bila shaka utakuwa katika uhalali wa Detention Registers (DR). Moja kutokea Central Police Dar na nyingine kutokea kituo cha Polisi Tazara.
DR ya Central iliwasilishwa na D/C Msemwa...