kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu Mstaafu, Chande Othman amewataka majaji wa Mahakama Kuu kumaliza haraka kesi wanazopangiwa, ili kuondoa wasiwasi kwa jamii

    Jaji Mkuu mstaafu, Chande Othman amewataka majaji wa Mahakama Kuu kumaliza haraka kesi wanazopangiwa, ili kuondoa wasiwasi kwa jamii na wao kujiweka huru. Amesema ucheleweshaji wa kesi zikiwamo zenye mvuto huku akiitolea mfano kesi ya wabunge- Halima Mdee na wenzake 18 wanaopinga kuvuliwa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Upelelezi kesi ya Zumaridi haujakamilika, kwanini anashikiliwa?

    Kwenye himaya ya walamba asali uongo uongo ndiyo kwao. Mambo nyeti hufanyiwa siasa. Alisema Samia watuhumiwa waache kukamatwa bila upelelezi kuwa umekamilika. Hizo kumbe zilikuwa hekaya za abunwasi tu. Kumesikika Mwanza: "Wakili wa Serikali Mwandamizi, Hemedi Khalid ameieleza Mahakama ya...
  3. JamiiForums Tanzania Bosi wa zamani RAHCO akutwa na kesi ya kujibu, wenzake waachiwa huru

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imemkuta na kesi ya kujibu, aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli Tanzania (Rahco), Benhardard Tito. Tito amekutwa na kesi ya kujibu baada ya upande wa mashtaka kufunga ushahidi wao wa mashahidi tisa...
  4. JamiiForums Tanzania Kesi ya Uchaguzi Kenya siku 14, ya kina Mdee siku zaidi ya 400!

    Ukiangalia ukubwa wa uchaguzi wa Kenya na hoja zilizowasilishwa kwenye Mahakama ya Kenya. Bila ya shaka utagundua kwamba mahakama ya Kenya ina utendaji kazi uliotukuka kuliko mahakama yetu Tanzania. Kwenye mahakama ya Tanzania kuna kesi ya kina Halima Mdee na wenzake, ambayo kwa zaidi ya mwaka...
  5. JamiiForums Tanzania Mtendaji Katavi aliyeomba Rushwa ya 200,000 ahukumiwa miaka mitano jela

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi imetoa hukumu katika Shauri la Jinai Na. CC. 72/2021 dhidi ya Florence Noel Malilo (Kaimu Afisa Mtendaji Kijiji cha Mapili, Halmashauri ya Wilaya Mlele). Mshtakiwa alishtakiwa kwa makosa ya kuomba na kupokea rushwa ya shs. 200,000...
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Ruto atashinda kesi, double agent kamuangusha Raila Odinga

    Naam ile nchi jirani iliyojipambanua kwamba ina majaji wenye akili timamu na judiciary yenye nguvu jumatatu inaweka historia nyingine kwa kuendesha kesi nzito ndani ya siku chache na kutoa maamuzi Kesi hiyo ambayo kuna baadhi ya nchi majaji kama wangepewa waisikileze basi kila dakika...
  7. JamiiForums Tanzania DOKEZO Tunaomba Msaada: Tumedhulumiwa na LE MARAHEB RESTAURANT & more mishahara yetu na kubambikiwa kesi ya jinai na mwajiri wetu mwarabu

    Habari Zenu Wakuu. Mimi na wenzangu 11 tulikua tukifanya kazi mgahawa ambao upo Masaki, unaitwa “LE MARAHEB RESTAURANT & more” unamilikiwa na waarabu wa Yemen. Tarehe 28 January, 2022 ilitokea mzozo kazini majira ya saa 7usiku, baina ya bosi wakike na wafanyakazi huyo mama alitutukana matusi ya...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kesi ya wabunge 19 kupinga kuvuliwa Ubunge na CHADEMA iwe live

    Habari Jf, nimefuatilia baadhi ambazo zinakuwa zikirushwa mubashara kuna kitu fulani kinaongezeka katika kuonyesha haki inatendeka. Itapunguza mambo mengi kufichwa na udanganyifu. Mtu akisema mimi nafanya kazi central au naishi Morogoro maana yake kuna watu wengi watamuona kwa sura na itasaidia...
  9. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafuatilia uchaguzi Kenya: It seems baba will suffer again!

    Inaonekana wajibu maombi wanakazia kuwa Raila hajatoa ushahidi wa aliyoyasema kama mapungufdu katika uchaguzi. Mfano ametaja kuwa mifumo ya seva ya IEBC iliingiliwa lakini hajatoa ushahidi uliingiliwa vipi na kama kuingiliwa huko kulisabisha kura kwenda ndivyo sivyo na hivyo kumpa ushindi...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa kesi hii anaweza kulipishwa?

    Wakuu, Huyu mjamaa ana ofisi mahala ya duka, walikuja watu wakamwomba waweke mali zao wanakuja zipitia Mali zikawekwa nje zina samani ya laki 7 zikapotea ambapo aliechiwa alipata dhArula Je, anawajibika kulipa mahakamani mad
  11. JamiiForums Tanzania Saudi Arabia: Mwanamke ahukumiwa miaka 45 kwa ujumbe aliouweka mtandaoni

    Mwanamke mmoja Nchini Saudi Arabia amehukumiwa kwenda gerezani miaka 45 kutokana na kuchapisha taarifa katika mitandao ya kijamii. Mahakama ya ugaidi ilimtia hatiani Nourah bint Saeed al-Qahtani kwa kukiuka utaratibu wa umma kwa kutumia mitandao ya kijamii, haijawekwa wazi ujumbe uliosababishwa...
  12. JamiiForums Tanzania IGP Wambura: Kesi 1,840 zafutwa kwa kukosa ushahidi, makosa ya jinai yaongezeka nchini

    Kesi 1,840 zafutwa kwa kukosa ushahidi Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali(IGP) Camilius Wambura, amesema kesi 1,844 ambazo zimekosa ushahidi wa kutosha kupelekwa mahakamani zimeondolewa, huku kesi zingine 2,117 zikifanyiwa mabadiliko. IGP Wambura alikuwa akizungumza jana...
  13. JamiiForums Tanzania Katavi: Afisa Ardhi ahukumiwa kwenda jela Miaka 2 kwa tuhuma za Rushwa

    Afisa Ardhi Msaidizi wa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda, Japhet Noberth MweziMpya, amehukumiwa kwenda jela miaka 2 au kulipa faini ya TSH.200,000 kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya TSH. 70,000 Katika Hukumu hiyo ya shauri la jinai Na. CC. 90/2022 iliyotolewa Agosti 30, 2022 na Hakimu...
  14. JamiiForums Tanzania Mhasibu afungwa miaka 76 kwa kufoji risiti na kujipatia tsh. mil. 97

    Bernald Mnyilenda aliyekuwa Mhasibu wa Shule ya Southern Highlands amehukumiwa kifungo hicho baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa kumkuta na hatia ya kutumia kitabu ghushi cha Risiti na kupokea ada kiasi cha Tsh. milioni 97. Mahakama hiyo imemkuta na makosa 22 baada ya kusikiliza...
  15. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Mahakama yagoma kuwaachia huru Sabaya na wenzake, kesi yaahirishwa hadi Septemba 11

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro ametupilia mbali ombi la upande wa utetezi walilolitoa Agusti 12, 2022 wakiomba mahakama hiyo iwaachie huru, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne na upelelezi uendelee wakiwa huru. Ombi hilo limetupiliwa mbali...
  16. JamiiForums Tanzania Kesi ya mirathi ya Mengi inafikirisha sana

    Najaribu kuwaza nikifuatilia kisa hiki cha mirathi ya Mengi na najiuliza maswali mengi kuhusu haya maisha. Mengi amepigana akajenga familia yake na biashara zilizomfanya mmoja wa matajiri wakubwa nchini. Akiwa katika uzee wake, akaachana na mkewe na karibu kila kitu kinavurugika. Ugomvi ndani...
  17. N

    JamiiForums Tanzania AIBU: Kesi nzito Kenya maamuzi mwanzo mwezi ujao, hapa COVID 19 ni danadana

    kesi kubwaa sana ambayo kwa kweli sidhani kama kuna jaji wa tanzania mwenye level ya kuielewa achilia mbali kutolea maamuzi soon inaanza kunguruma hapo kenya maamuzi yake yanatarajiwa kutolewa mwezi ujao mwanzoni Ni kesi kubwa kila upande unavutia kwake, hawa wanasema kuna wizi wa kura leo...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Mahakama yabatilisha makubaliano ya mgawanyo mirathi ya Mengi

    Mahakama Kuu Kituo cha Haki Jumuishi, (Masuala ya Kifamilia) Temeke leo Alhamis ya tarehe 25 Agosti 2022 imebatilisha makubaliano ya wasimamizi wa mirathi ya marehemu Reginald Abraham Mengi na wasimamizi wa mirathi ya aliyekuwa mtalaka wake, marehemu Mercy Anna Mengi, kuhusu mgawanyo wa mali...
  19. JamiiForums Tanzania Arusha: Afisa Mtendaji ahukumiwa miaka 20 jela kwa ufujaji wa fedha

    Agosti 24, 2022 Jamhuri imeshinda katika Shauri Na. ECO. 90/2020 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha. Shauri hili lilimhusu, JULIUS K. MBISE, aliyeshtakiwa kwa makosa ya Ufujaji na Ubadhirifu, Matumizi Mabaya ya Madaraka pamoja na Kuisababishia Serikali Hasara, kinyume na vifungu vya 28 (1)...
  20. JamiiForums Tanzania Katavi: Muongoza watalii ahukumiwa miaka mitatu jela kwa kuomba rushwa

    TAKUKURU mkoa wa Katavi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa, Agosti 24, 2022 imefungua shauri la jinai Na. CC. 95/2022 dhidi ya Elisha Christopher Mashamba ambaye ni muongoza watalii katika hifadhi ya misitu ya Tongwe East - Nkondwe Waterfalls Camp. Ameshitakiwa kwa makosa ya kuomba na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…