kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Makamanda wamemuingiza chaka Lissu leo hii wanaomba kesi ipelekwe haraka kwenye hizo hizo mahakama zisizo na haki wanazolalamika miaka nenda!

    Akili ni nywele kusema sio kutenda na uoga ni adui mkubwa...kila mara ukiwaambia makamanda jambo la kimahakama watakwambia mahakama zetu hazifuati sheria maagizo yanatoka juu bora tukinukishe...leo hii badala ya kukinukisha kumchomoa mwenyekiti waliye muingiza chaka kwa kumdanganya tupo pamoja...
  2. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dunia yatangaziwa Lisu kukamatwa na kubambikiwa kesi ya uhaini

    Hii ni kumchafua Rais Samia kwa waliomshauri amsweke Lisu ndani na kumfungulia kesi ya UONGO ya uhaini. I am convinced that such a serious case for the chairman of the main opposition party cannot go without her knowledge and consent! Aikande Hichilema alifanyiwa haya haya, mahakama Kuu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Meseji ya Heche kwa wananchi kuwa "Wanataka Kumnyonga Lissu" Inasababisha wananchi wapay attention zaidi kwa ishu ya Lissu kufunguliwa kesi ya Uhaini

    Kwa kutumia uwezo wa uwasilishaji wa hali ya juu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa amejikuta akifanikiwa kuteka hisia za wananchi pale anapozungumzia kesi ya uhaini dhidi ya Lissu huku akitumia maneno "Wanataka kumnyonga Lissu, Wanataka kumuua Lissu". Maneno hayo yanasababisha wananchi...
  4. JamiiForums Tanzania Mshtakiwa asema Bado AKILI YAKE HAIPO SAWA. Inaweza FYATUKA MUDA WOWOTE kesi ISIENDELEE

    Hapa kisheria wanasheria mnadhani mwanasheria wa mshtakiwa nakusudia nini? Mpango hapa ni nini?
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini kuumizana na kumbakiana kesi za uhaini? Tuwe na kampeni mbili; No Reforms, No Election iongozwe na CHADEMA na No Reforms, Yes Election - CCM

    Hivi kuna sababu gani kwa polisi wetu kutumika vibaya na CCM kwa kuteka, kukamata, kuumiza na kumbakia kesi ya uhaini Mh Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA wakati tunaweza kushindana kwa hoja na hoja zinazoshinda ndizo zitoe mwelekeo wa taifa na nchi hii... TUAMUE TU NA TUFANYE HIVI: Tuwe na...
  6. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mwalimu 1958, Fidel Castro 1953 na Tundu Lissu 2025

    KESI YA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE No. 2207/58, KESI YA FIDEL CASTRO 1953 NA KESI YA TUNDU LISSU Nimeamka na Maktaba. Kwa haraka haraka nimepitia kijuujuu vitabu hivi viwili vya watu maarufu duniani - Mwalimu Julius Nyerere na Fidel Castro wa Cuba wakishtakiwa na serikali zao zilizokuwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Star Tv, Aloyce Nyanda aamriwa kumlipa fidia DED Tsh bilioni 2 kwa udhalilishaji wa mtandaoni

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza imemhukumu Mwandishi wa habari kituo cha runinga cha Star Tv, Alocye Nyanda kulipa faini ya Sh 2 bilioni baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kufanya udhalilishaji wa kimtandao. Hukumu hiyo iliyosomwa leo Aprili 11, 2025 na Hakimu Mkazi Mwandamizi Mkoa wa...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 THRDC: Tumesikitishwa na kukamatwa kwa Lissu na kufunguliwa kesi ya uhaini, DPP aondoe shtaka hilo Mahakamani

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umesikitishwa na kukamatwa na kufunguliwa kesi ya uhaini, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu, ambapo wametoa wito kwa mwendesha mashtaka kuondoa kesi hiyo au kubadili hati ya mashtaka ili kumuwezesha kuachiliwa kwa dhamana...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nyerere angekuwa hai angefunguliwa kesi ya uhaini? Alichosema Lissu ni kile kile alichokisema Nyerere, kwa nini CCM wanajifanya kusahau? Angalia hapa

    Hizi ni Nukuu za Nyerere "Watu walio hatari sana ni wale ambao wanafikiri kuwa wanajua kila kitu, wala hawana haja kujifunza zaidi. Hii ni tabia mbaya ambayo huzuia kabisa maendeleo.” ” Tunataka kuona vijana jeuri katika Taifa hili na wenye kujiamini na sio waoga akina ” ndiyo bwana mkubwa”...
  10. JamiiForums Tanzania Kesi ya Incomplete chuoni natoboaje wakuu

    Habari za asubuhi wakuu I hope mnaendelea vyema na Ujenzi wa Taifa letu Kuna jambo moja naliwasilisha kwenu ili kupata mawazo yenu na ushauri wenu wakubwa zangu kuhusiana na suala hili linalonisibu.Nina imani nitapata msaada humu jukwaani Kama ilivyo ada masuala ya chuoni kuna changamoto...
  11. JamiiForums Tanzania Yesu ambaye ndiye Role Model wetu Wanaharakati naye alipewa Kesi ya Kisiasa kama Lissu

    Kuibuka kwa yesu kristo kulileta matishio makuu mawili moja ikiwa kwa utawala wa Roma na pili ikikuwa kwa dini ya kiyahudi. Kwamba Yesu wakati anazaliwa alikuta utawala wa Roma ndio ulikuwa unatawala dunia na hata wafalme na magavana kutoka Israel waliteuliwa na kaisari kutoka Roma. Sasa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania BUSARA: Freeman Mbowe jitokeze kuonesha mshikamano wa CHADEMA katika Kesi inayomkabli Lissu. Kushiriki kwako kutaponya mgawanyiko uliojitokeza

    Ni busara ya kawaida tu kuwa katika shida, watu wanasahau tofauti zao na kuwa kitu kimoja. Siyo siri kuna mgawanyiko wa makundi mawili..Lisu vs Mbowe, yako wazi ingawa nobody wants to acknowldge this, but deeds can evidence that!! Jitokeze uwe msitari wa Mbele katika sakata la Kesi ya Lisu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi dhidi ya Lissu ni kesi dhaifu sana, Jamhuri ondoeni hii kitu kabla hamjapata aibu

    Kesi dhidi ya Lissu imejikita kwenye dhana kuwa ametoa kauli ya 1. Kuhamasisha uasi 2. Kuzuia uchaguzi 3. Kukinukisha. Makosa yote hayo ni abstract, hayana legal stand na ni vigumu kwa Jamhuri kutengeneza kesi ya maana. Sanasana inaenda kumdhalilisha SSH, Polisi, Mwendesha Mashitaka na dola...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Watanzania waliowahi kushitakiwa kesi za uhaini Tanzania

    Wakati Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu akifikishwa mahakamani na kusomewa shitaka la uhaini, kumekuwa na hisia tofauti kuhusu kosa hilo, hasa ikizingatiwakuwa kiongozi huyo amekamatwa akiwa kwenye mikutano ya No Reforms No Election (Hakuna Mabadiiliko Hakuna Uchaguzi), inayofanywa na Chadema...
  15. JamiiForums Tanzania Sam Sasali: Nilipost Maharusi kumbe Bwana Harusi ana mke mwingine, kesi ikaniungukia

    Mtangazaji wa Clouds FM, Samuel Nathaniel Sasali akielezea sababu za kwa nini huwa haposti sherehe anazosherehesha. Pia soma ~ Ma-MC wanaosambaza picha za Watu bila ridhaa waonywa ~ Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi: Ukitumia taarifa bInafsi za mtu bila idhini yake Faini Tsh. Milioni 100 ~ Ijue...
  16. JamiiForums Tanzania Morogoro: Ahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kumuua baba yake mzazi na kumzika

    Mahakama ya Kuu Kanda ya Morogoro imemhukumu kunyongwa hadi kufa mshtakiwa Amos Martin Masua mkazi wa Kingolwila mkoani Morogoro kwa kosa la kumuua baba yake mzazi Martin Masua (84) mkazi wa Kidunda na kumzika pembeni ya nyumba yake. Hukumu hiyo imetolewa Aprili 4, 2025 na Jaji Aisha Sinda...
  17. JamiiForums Tanzania Wanawake wanaweza kukupa kesi ya ubakaji so kuweni makini vijana.

    Popote unapokaa usimuhurumie mwanamke au kujenga nae mazoea . Hii ni kwa vijana ambao hamjaoa so stay alerts Wakizikosa hela zako the next step utapewa kesi ya ubakaji n.k Hawa viumbe wamechafukwa.
  18. JamiiForums Tanzania Jana pale Kisutu iliunguruma kesi ya uchochezi namba 11805/2024 Jamhuri dhidi ya Malisa na Boniyai

    Jana pale Kisutu iliunguruma kesi ya uchochezi namba 11805/2024 Jamhuri dhidi ya Malisa na Boniyai. Jamhuri iliwakilishwa na Mawakili Clemence Kato na Cathbert Mbilinyi. Upande wa utetezi uliwakilishwa na Mawakili Peter Kibatala, Hakima Mwasipu, Dickson Matata, Michael Lugina, Josephat Msanga na...
  19. JamiiForums Tanzania Yanga yapewa siku 10 kuwasilisha rufaa yao CAS, wasipofanya hivyo wanakuwa wameondoa Kesi yao

    Baada ya malamiko ya Yanga kutajwa kupokelewa katika Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS), Mwanasheria mbobezi Aloyce Komba anasema Yanga wanapaswa kuwasilisha ndani ya siku 10 rufaa yao rasmi ili kesi iwe na uhai. Pia, Soma: CAS yapokea barua ya Yanga, TFF, Bodi ya Ligi na Simba SC wapewa...
  20. JamiiForums Tanzania Hitimisho la Kesi: Licha ya hukumu kutolewa, hakuna official statement niliyokabidhiwa mahakamani

    Habari ya muda huu wakuu na ndugu zangu JF. Mwezi mmoja na Nusu uliopita (about 45 days) nilileta hapa moja ya mtiririko wa jambo langu lililokua linaniandama kama ambavyo nilieleza hapa kwenye uzi huu 👇👇...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…