kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mange Kimambi inaweza kumwelemea sana kwasababu App yake ilivuna mapato illegally

    Kesi ya Mange Kimambi inaweza kumwelemea sana kwasababu App yake ilivuna mapato illegally Serikali inachukizwa sana na kitendo cha kujivunia mapato kinyume na Sheria Biashara isiyokuwa na Leseni pamoja na biashara isiyolipa kodi Makosa haya yanawezakumwingiza hatiani Kesi yake ingekuwa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mwanamtandao Zambia ahukumiwa jela miezi 18 kwa kumtukana Rais

    Ethel Chisono Edwards, anayefahamika mtandaoni kama One Boss Lady, amehukumiwa na mahakama ya Lusaka baada ya kukiri kosa la kuchapisha maneno ya kumdhalilisha Rais Hakainde Hichilema. Hukumu yake imekuja licha ya hatua ya rais huyo mwaka 2021 kufuta sheria ya makosa ya kumkashifu rais —...
  3. JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka: Siku Mange Kimambi akimamatwa, akashitakiwa na kutiwa hatiani kwa kesi hii, basi hiyo siku ndiyo YESU atarudi rasmi duniani😀

    Huyu Peter Madeleka huyu, sijui kwanini anaongea kwa mafumbo (rhetorically) badala ya kusema kwa uwazi tu ili Hamza Johari na Nassoro Katuga waelewe kirahisi🤔🤔😀😀 Fumbo mfumbie mjinga lakini mwerevu............................(malizia) #D9 #SAMIAMUSTGO
  4. JamiiForums Tanzania Kushitakiwa kwa Mange, makosa ya uchumi, anaweza kurudishwa Tanzania kuhukumiwa na Mahakama zetu

    Inasemekana Mange wameshtakiwa hapo Kisutu Kwa makosa ya kiuchumi. Kumbuka Ahadi ya kwanza ya mwanasheria mkuu wa serikali ilikuwa kumrudisha na kumkamata Mange ambaye anaishi. USA na Sasa ni raia wa Marekani Sijui sheria za kimataifa zikoje, ikiwa nchi x itamtaka raia wako afike kushitakiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi kesi ya yule Sheikh, Zanzibar iliishia wapi?

    Stori ilitambaa sana ikihusisha mpaka waandishi wa habari kutishiwa maisha, wazee wa kukata kichwa, Iko hivi huyo sheikh mwalimu wa madrasa, ALIKUA anamtuma yule mtoto wa kike mdogo sana soda ampelekee kwake. Baadae huyo Binti akaanza kugoma kwenda madrasa, KUOMBANA, akafunguka unyanyasaji wa...
  6. JamiiForums Tanzania Uwepo wa kesi nyingi za uongo za serikali kwa watanzania inapaswa kuwa sababu nyengine kuu ya kuandamana huu ni uchizi

    Uwepo wa kesi nyingi za uongo za serikali kwa watanzania inapaswa kuwa sababu nyengine kuu ya kuandamana huu ni uchizi Hatuwezi kuongozwa na vilaza na watu wanao waza upuuzi upuuzi tu muda wote hwana mchango wowote kwenye nchi bali tatizo linalopaswa kuondolewa
  7. JamiiForums Tanzania Waambieni MAJAJI kesi ya LISSU kuwa, Wameamuliwa na Mungu kabla ya Dec 1 wawe wameshatoa Tarehe ya kesi kuendelea kusikilizwa!

    Mh LISSU hataki Kupendelewa Wala Kuonewa, ndio Sababu Licha ya Ofa zote mnazompelekea amegoma kuwasailiti Wananchi. Huyo ni MTU wa aina gan? Je Msimamo huo wa Kimungu hautoshi Kuwashtua Majaji ?. Sasa nikiwa Katika Usingizi, Mungu alinichukua na kunipeleka katika Kikao Cha Malaika ,kikao...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Viongozi 10 wa Afrika waliowahi kufikishwa ICC

    BBC. 1. Uhuru Kenyatta (Kenya) Uhuru Kenyatta Rais mstaafu wa Kenya. Alifunguliwa mashitaka Machi 2011 kwa makosa matano ya uhalifu dhidi ya ubinadamu. Kenyatta alidaiwa "kulidhibiti kundi la Mungiki" na kulielekeza kufanya mauaji, uhamisho, ubakaji na aina nyingine za unyanyasaji wa...
  9. JamiiForums Tanzania Mika chavala, anaeshikiliwa kwa kesi ya uhaini huyo dogo si mzembe ni balaaa zitooo ndo maana

    Katika pitapita zangu instagram Kuna page nika kuta huyo dogo akifanya mahojiano na professor pro Lumumba aiseee nimechokaaaa, kumbe polisi wanamjua huyo dogo ndo mana nilikua najiuliza huyo dogo mbona wamemtaiti ni nani huyo si wamwachie, kumbe serikali inajua huyo ni mtu hatari. He is so...
  10. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kesi ya Viongozi wa CHADEMA kuidharau amri ya Mahakama yatupiliwa mbali

    Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam kesi ya kudharau amri ya Mahakama iliyokuwa imefunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake dhidi ya viongozi waandamizi wa CHADEMA wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wake wa Tanzania...
  11. JamiiForums Tanzania Unamjua Mika Chavala? Kijana ambaye bado anaeshikiliwa kwa kesi ya uhaini

    Tukizungumzia vijana wanaoshikiliwa kwa uhaini wengi wanalifahamu jina la binti strong Niffer. Lakini kuna huyu mwamba anaitwa Mika Chavala. Sikuwa namfahamu ila nilim-google baada ya kuona jina lake kwenye media ya kimataifa akitajwa. Nimekuta profile yake ni kijana hodari, jasiri, mbunifu...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ijue safari ya ufunguaji kesi katika Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu (ICC) kwa muktadha wa hali ya Tanzania

    UFUNGUAJI WA KESI KATIKA MAHAKAMA YA KIMATAIFA YA UHALIFU ICC KWA MUKTADHA WA HALI YA TANZANIA Naomba nitumie lugha rahisi kwa Ufafanuzi ambayo hata asiye mwanasheria aelewa ili kuendelea kutoa Ushirikiano wa taarifa za uhalifu wa Haki za Binadamu uliotokea Kabla, Wakati na baada ya Kilichoitwa...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kuwafungulia watu kesi na baadae kuwaachia iwe na mipaka kwa waendesha mashitaka na mahakama

    Inakuwaje waendesha mashitaka wanaletewa kesi na polisi na kuwashitaki wananchi kwa makosa ya kusingiziwa yaliyowazi kabisa pasipo kuhoji? Inakuwaje hakimu anaona kabisa kesi iliyofunguliwa na waendesha mashitaka ni ya uongo na bado anaiedesha? Kwanini wasisimamie HAKI ili kulinda AMANI kwa...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Watuhumiwa 93 wa kesi ya kudai uchaguzi huru na wa haki, na mabadiliko ya katiba wamefikishwa mahakamani wakiwa wanalia, je wanateswa vizuizini ?

    Watuhumiwa 93 wa kesi ya kudai uchaguzi huru na wa haki, na mabadiliko ya katiba wamefikishwa mahakamani wakiwa wanalia, je wanateswa vizuizini ? Vyombo vya habari vya ndani vimechapisha vijana hao wasio na hatia walionekana kwenye vilio, ikumbukwe vyombo vya usalama vimeshtumiwa zaidi ya mara...
  15. JamiiForums Tanzania G Z tafadhali sana harakati sio uharibifu, kama ni Siasa wajikite humo waachane na masuala ya Mali za Wananchi, kwani yatawasababishia kesi ya wizi

    Uharibifu wa Mali na Miundombinu ndio chanzo cha kusababisha mauwaji G Z tafadhali sana Harakati sio Uharibifu kama ni Siasa wajikite humo waachane na maswala ya mali za Wananchi Swala la mali litawapa adhabu na kesi ya Wizi kwani Wananchi wanaishi maisha yakutawaliwa na hasira kali...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tume ya Usuluhishi ni kesi ya nyani kapewa ngedere. Wote ni Wana mtandao

    Wajumbe wote wa Tume ni waliokuwa wateule wa JK na Mama Samia. Mtuhumiwa namba Moja ni Mama Samia mwenyewe tena akiwa hana uhalali wa kuunda tume yenyewe. Mama anawadharau sana hadi Wana CCM wenzie wallah. Wale wanaojiita wazalendo niliwaambia mapema kuwa kura zikipigwa tu wameshindwa vita...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina ahukumiwa kifo kwa kuua waandamanaji 1,400

    Waziri mkuu aliyeondolewa madarakani nchini Bangladesh Sheikh Hasina amehukumiwa kifo na mahakama ya Dhaka bila kuwepo mahakamani kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu kutokana na mandamano makubwa yaliyoongozwa na wanafunzi mwaka jana. Mahakama ya majaji watatu wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu...
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa nini mpaka sasa hakuna mtanzania aliyefungua kesi ICC dhidi ya Samia Suluhu na genge lake la wauaji?

    Sijui mambo ya sheriia za kimataifa yalivyo. Nilikua naomba kufahamishwa, mbona mpaka sasa hakuna Mtanzania au taasisi yoyote ambayo imefungua kesi ICC dhidi ya Samia Suluhu na genge lake la wauaji? Au utaratibu wa kufungua kesi huko icc ukoje wakuu? ==== Majibu kutoka kwa wadau
  19. M

    JamiiForums Tanzania Waliofuata Mkumbo na kupewa kesi ya Uhaini wamesamehewa, Waliokufa je?

    Kumbe mlijua kuna vijana wanafuata mkumbo kwanini muwapige risasi za kichwa na marungu? Ndio mnavyolea watoto wenu huko au watoto wa masikini ndio wakujifunzia kulenga shabaha? Nafikiri huu unaoitwa msamaha lengo lake ni kutaka kusamehewa na yeye. Umetengeneza tatizo halifu unjifanya...
  20. JamiiForums Tanzania Njoo tuchat Kwa code ili kukwepa kesi za uhaini

    Kupewa kesi ya uhaini huko nchini Azabaijan ni jambo kawaida Wahuni wamekuwa wakidukua sms za kawaida na chatting za Whatsapp, Nawapa mbinu mpya za group letu Mfano maneno 9D Kutembelea Sister p 00001 77777p Mrembo p 3337j S pq6 j 37 TLTq81m 🔥 TK Yuf5d1 N K T 0 R V F y W A Tj 💣 M 3 k 7 😹 N...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…