kesi ya uhaini ya lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu: Ulimwengu unajua hakuna Kesi bali ni Siasa, nimepewa Kesi ili wasisumbuliwe na No Reforms, No Election

    Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amesema "Mahakama yako vilevile iko kwenye Mahakama ya Umma, iko kwenye Kizimba cha Umma" "Watu wa Taifa hili wanajua na Ulimwengu unajua hakuna Kesi hapa bali ni Siasa, ni mwaka wa Uchaguzi, na mwaka wa Uchaguzi Kiongozi Mkuu wa Chama cha Upinzani...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Itakuwa kesi ya kwanza katika historia ya dunia hii kwamba mtu mmoja pekee yake ndio anafanya uhaini

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu amesema "Itakua kesi ya kwanza katika historia ya dunia hii kwamba mtu mmoja pekee yake ndio anafanya uhaini" "Ni mara ya kwanza katika historia ya nchi kuona kesi kubwa katika sheria za Tanzania kesi ya UHAINI...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu: Baada ya madai yangu niliyotoa Mahakamani, nililetewa Padre kwenye Sero yangu

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu amesema baada ya madai yake Mahakamani juu ya kunyimwa Haki zake za msingi akiwa sero aliletewa Padre kwenye Sero yake na kupata hudama ya kiroho. Soma, Pia: Kesi ya uhaini inayomkabili Lissu yaahirishwa hadi Julai 15...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mahakama yakubali ombi la Tundu Lissu kujitetea mwenyewe

    Baada ya Tundu Lissu kuiambia Mahakama kuanzia leo atajitetea mwenyewe kwasababu Mawakili wake wamekuwa hawatendewi haki na hataki ije ionekane walishindwa kumtetea, Mahakama imekubali ombi hilo "Kwa haya ambayo nimeyasema mawakili wangu nawashukuru, walipambana sana, walipigana kitaalamu...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wakili Wasonga: 'No Reforms No Election" sio Uhaini, Serikali iache Ugomvi na Vyama vya Siasa

    Wakili Godfrey Wasonga ambaye anadaiwa kuwa ni mwanachama kindakindaki wa CCM lakini anayaona mamho tofauti kabisa na wakubwa wake wa chama. Wakili Godfrey Wasonga anasema Lissu sio Muhaini. Anasisitiza kuwa kusema No Reforms No Election, hakuwezi kuwa Uhaini. Wakili Godrey Wasonga...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Benson Kigaila: Nilizungumzia Kesi ya Mbowe kwa kuijua, ya Lissu sijui alivyokamatwa. Mimi kulaani haisaidii chochote

    Benson Kigaila, aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye kwasasa ni Kada wa CHAUMMA ameeleza kuwa wakati "Nilizungumzia kesi ya Mbowe ya ugaidi kwa kuwa nilikuwa najua mwenendo wa kesi ulivyokuwa, hii ya Tundu Lissu sijui alivyokamatwa" Kupata matukio na...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Fuatilia LIVE Kesi dhidi ya Tundu Lissu. Inasikilizwa muda huu mahakamani

    Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu inasikilizwa leo Mei 6, 2025 na itakuwa kwa njia ya mtandao. === UPDATE Link imekatwa na hivyo haitakuwa rahisi kufuatilia
  8. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Jebra Kambole ahoji kitendo cha polisi kutaka kwenda kupekua nyumbani kwa Lissu bila amri ya mahakama

    Wakili Jebra Kambole kupitia ukurasa wake wa X anaandika; "Polisi wamefika nyumbani kwa wakili Tundu toka Usiku wanataka kupekua uhaini wa maneno! Tumieni akili kidogo unaendaje kupekua nyumbani kwa mtu bila amri ya Mahakama na bila ya mmiliki wa nyumba kuwepo? Au mnataka kumuwekea vitu vyenu...
Back
Top Bottom