Benson Kigaila, aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye kwasasa ni Kada wa CHAUMMA ameeleza kuwa wakati "Nilizungumzia kesi ya Mbowe ya ugaidi kwa kuwa nilikuwa najua mwenendo wa kesi ulivyokuwa, hii ya Tundu Lissu sijui alivyokamatwa"
Kupata matukio na...
Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu inasikilizwa leo Mei 6, 2025 na itakuwa kwa njia ya mtandao.
===
UPDATE
Link imekatwa na hivyo haitakuwa rahisi kufuatilia
Wakili Jebra Kambole kupitia ukurasa wake wa X anaandika;
"Polisi wamefika nyumbani kwa wakili Tundu toka Usiku wanataka kupekua uhaini wa maneno! Tumieni akili kidogo unaendaje kupekua nyumbani kwa mtu bila amri ya Mahakama na bila ya mmiliki wa nyumba kuwepo?
Au mnataka kumuwekea vitu vyenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.