Wakuu,
Polisi wameongezeka jijini (Dar es Salaam) kuliko kawaida, maeneo karibu na Mahakama Kuu na sehemu walikokinukisha idadi ya polisi wenye silaha imeongezeka kwa wingi, mpaka wananchi mnabaki kujiuliza kuna nini.
Polisi kuwa wengi mtaani huwa haitokei tuu, mara nyingi ni inakuwa ni sababu...
Wakuu,
Kesi ya Lissu inaendelea leo
Kaa karibu na uzi huu kupata updates ya kinachoendelea
Soma Pia:
Shahidi wa Kesi ya Lissu (P7): Nauli ya kuja mahakamani leo nimepewa na mwanamke wangu. Ndiye ananiweka mjini
Kesi ya Tundu Lissu kuendelea leo Februari 17, 2026, mashahidi wa Jamhuri...
Wakuu,
Kaeni karibu na uzi huu ili mpate updates ya kinachoendelea leo kwenye kesi ya leo
Mawakili wa Serikali wameshaingia Mahakamani lakini Majaji na Mshitakiwa bado hawajaingia.
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amefikishwa tena kizimbani tayari kwa kuvaana na mashahidi wa upande wa...
Hebu kama nchi kama taifa linalotumia dharama kubwa kumtumia waziri wa mambo ya nje kupuyanga mataifa MBALI MBALI kurejesha heshima ya nchi.
"Eti Mimi ni dereva bodabida nilipoiona clip ya Lissu kuwa tukakinukishe nikahamasika nikaenda kijiwen kwangu kuhamasisha jamaa zangu kwamba tukinukishe...
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, inatarajiwa kuendelea leo Februari 16, 2025, katika Mahakama Kuu, Masijala Ndogo, Dar es Salaam.
Shahidi wa saba anatarajiwa kuanza kutoa ushahidi wake kati ya mashahidi 30 wa Jamhuri, ambapo jumla ya mashahidi hao, 19 ni...
Kwenye kesi bandia iliyotengenezwa na watawala dhidi ya Lisu, kila mmoja alishangaa kuona wale mawakili wa mchongo wa serika wakikazania kuwa na mashahidi wa kificho. Watu mbalimbali walitoka na hisia tofauti tofauti. Baadhi mpaka walifikia kusema kuwa labda wale waliokuwa viongozi wa CHADEMA na...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, leo Jumatano, Februari 18, 2026, inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu mapingamizi yaliyowekwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, katika kesi ya uhaini inayomkabili.
Katika kesi hiyo namba 19605/2025...
Tarehe 11/02/2026 Chadema itakuwa na Kesi 3 Mahakama kuu.
Kesho tarehe 11/02/2026 Mahakama kuu, Kanda ya Dar es salaam inatajia kutoa uamuzi mdogo katika kesi ya Uhaini inayomkabili mwenyekiti wa Chadema Mhe. Tundu Lissu, kufuatia pingamizi la Mhe Lissu dhidi ya mashahidi wa kificho akitaka...
Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano, Brenda Rupia ametoa taarifa hii iliyotolewa na
Gaston Galubindi, Mkurungenzi wa Sheria CHADEMA Taifa, kuhusu Kesi ya Uhaini ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA);
Chadema inawafahamisha kwamba kesi ya uhaini dhidi ya Mhe Lissu...
10 January 2026
MAZITO YAFAFANULIWA
https://m.youtube.com/watch?v=sVw34Jl61eg
Advocate Gaston Shundo Garubindi anajibu masuala mbalimbali ktk interview exclusive na Jambo TV yanayogusia ikiwemo kwa uchache ktk mengi
Criminal case / kesi Jinai huwa hazitakiwi kusimama session zake hata kama...
Taarifa zilizotufikia hivi punde (leo, Jumatano Desemba 24.2025) zinaeleza kuwa Baraka Chacha aliyekuwa gerezani akishtakiwa kwa kesi ya uhaini amechiwa, na sasa yuko nyumbani kwao Buza Kwa Mama Kibonge, Mtaa wa Mashine ya Maji, Dar es Salaam
Jambo TV imezungumza kwa njia ya simu na Baba mzazi...
Katika pitapita zangu instagram Kuna page nika kuta huyo dogo akifanya mahojiano na professor pro Lumumba aiseee nimechokaaaa, kumbe polisi wanamjua huyo dogo ndo mana nilikua najiuliza huyo dogo mbona wamemtaiti ni nani huyo si wamwachie, kumbe serikali inajua huyo ni mtu hatari. He is so...
Tukizungumzia vijana wanaoshikiliwa kwa uhaini wengi wanalifahamu jina la binti strong Niffer.
Lakini kuna huyu mwamba anaitwa Mika Chavala.
Sikuwa namfahamu ila nilim-google baada ya kuona jina lake kwenye media ya kimataifa akitajwa.
Nimekuta profile yake ni kijana hodari, jasiri, mbunifu...
Muna Love ame-share screenshot ya moja ya ndugu wa aliyekuwa amepewa kesi ya uhaini baada ya maandamano ya Oktoba 29 akidai kuwa walitumika kubeba miili ya waliuawa kwenda kuwazika kwenye makaburi ya pamoja huko Kondo ambako hata ripoti ya uchunguzi ya CNN ilieleza uwepo wa makaburi hayo.
"Dada...
Ndugu jamaa na marafiki wamefurika nje ya viunga vya mahakama ya hakimu mkazi kisutu jijini Dar es salaam Tanzania wakiwasubiri ndugu zao wanaokabiliwa na mashitaka ya uhaini kutokana na machafuko yaliyotokea Tanzania siku na baada ya uchaguzi mkuu Oktoba.
Hapo jana watuhumiwa 210 waliachiwa...
Kesi ya Uhaini namba 26394/2025 inayowakabili washtakiwa 38 ambao walikamatwa kutokana na matukio yaliyotokea Oktoba 29, imeahirishwa mpaka Disemba 3, 2025.
Shauri hilo leo lilikuwa linasikilizwa kwa njia ya mtandao mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Beda Nyaki ambapo washtakiwa hawakufikishwa...
Leo Novemba 19, 2025 kesi za uhaini zinazowakabili washtakiwa zaidi ya 100 (waliokamatwa kwa nyakati tofauti kuanzia Oktoba 29) zinatarajiwa kuendelea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
Hata hivyo ndugu na jamaa wa washtakiwa, waliofika mahakamani hapo kwa ajili ya...
Kumbe mlijua kuna vijana wanafuata mkumbo kwanini muwapige risasi za kichwa na marungu? Ndio mnavyolea watoto wenu huko au watoto wa masikini ndio wakujifunzia kulenga shabaha?
Nafikiri huu unaoitwa msamaha lengo lake ni kutaka kusamehewa na yeye.
Umetengeneza tatizo halifu unjifanya...
Mimi sio ICC prosecutor bali nachojua kama atapeleka huko ataulizwa, umesema polisi walikuwa wanazuia uhalifu je hao watoto walikuwa wanaandamana? Kama walikuwa hawaandamani kwanini ulitoa oder wauawe.
Huo uhaini hao watoto waliufanya wapi na lini, na huo msamaha kwa wahaini umeanza lini...
Rais Samia amesema kuna vijana ambao ulikuwa ukiwaangalia walikuwa wakionekana wakifuata mkumbo lakini hawakuwa wakielewa kile walichokuwa wanafanya.
Hivyo ameagiza vyombo vya ulinzi vijana wote waliofanya makosa kwa kufuata mkumbo wafutiwe makosa yao.
Rais Samia amenukuu mstari kutoka kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.