kesi ya mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Kesi ya mauaji ya Shakahola mtuhumiwa akiri kuua watu 191, wengi wakiwa Watoto

    Katika kesi ya mauaji ya Shakahola, mmoja wa washukiwa wakuu, Enos Amanya maarufu kama Hallelujah, ameachana na kukataa na akiri hatia ya mauaji na mazishi ya zaidi ya watu 191 mbele ya Mahakama Kuu ya Mombasa, wengi wakiwa watoto. Amanya, mmoja wa washtakiwa 29, alikiri mbele ya Mahakama Kuu...
  2. R

    Mahakama Kuu ya Kenya yaamuru Kukamatwa kwa Raia wa Uingereza kwa Kesi ya Mauaji

    Mahakama Kuu ya Kenya imeamuru kukamatwa kwa raia wa Uingereza anayetuhumiwa kumuua Agnes Wanjiru karibu na kambi ya mafunzo ya jeshi la Uingereza huko Nanyuki miaka 13 iliyopita. Mwili wa Agnes Wanjiru, mwenye umri wa miaka 21, ulikutwa ndani ya shimo la choo mnamo Aprili 2012, wiki chache...
  3. B

    Aliyemtishia Nape Bastola ni kati ya waliohukumiwa kunyongwa kwenye kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini. Je, kuna lililojificha?

    Wakuu, Jana Juni 23, 2025 hukumu ya kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini ilitolewa, ambapo askari wawili kati ya saba walioshtakiwa walihukumiwa kunyongwa huku watano wakiachiwa huru. Kati ya hawa waliohukumiwa kunyongwa ni bwana Gilbert Kalanje ambaye alikuwa Mkuu wa Upelelezi wilayani...
  4. Waufukweni

    Padri Rwegoshora kesi ya mauaji ya Asimwe imebainika hana tatizo la Akili, Mahakama kuruhusu Kesi kuendelea

    Mtuhumiwa namba moja wa kesi ya mauaji ya kikatili ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Asimwe Novat aliyekuwa na umri wa miaka miwili na nusu, Padri Elipidius Alfred Rwegoshora, ambaye ni miongoni mwa watuhumiwa tisa aliyepelekwa Isanga mkoani Dodoma, ili achunguzwe akili yake kufutia ombi la...
  5. ELI COHEN

    CRIME STORY: Namna kujichanganya na huyu binti, kunyimwa kolabo kulivyokuwa sababu ya vifo viwili na kukamatwa watu 6 kwa kesi ya mauaji

    NI STORY YA UTOTO MWINGI NA UPUUZI MWINGI: Binti anaitwa Jania Meshell Alikuwa mpenzi wa rapper anaeitwa nba youngboy na pia alifanikiwa kuzaa nae. Baada ya kuwa wameachana. Binti huyu alianza kudate na rapper mwingine ambaye anaitwa king von. King von ambaye alikuwa tayari ameanza...
  6. Matulanya Mputa

    TUPINGE MNYIKA KUPEWA KESI YA MAUAJI NA UTEKAJI

    Kuna dalili na kila namna J Mnyika kupewa kesi ya mauaji ya mzee Kibao na utekaji. Niliwahi kusema na kurudia kuwa Police wanataka bambikizia kesi CHADEMA .
  7. JanguKamaJangu

    Mashahidi 52 na Vielelezo 37 kutumika kesi ya mauaji ya Asimwe, yaelezwa baba Asimwe aliahidiwa Toyota V8

    Kesi namba 17740 ya mwaka 2024 ya mauaji ya mtoto aliyekuwa na Ualbino Noela Asimwe Novath inayowakabili washitakiwa tisa akiwemo padri Elipidius Rwegoshora na wenzake imetajwa tena leo tarehe 6 Septemba 2024 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wilaya Bukoba mkoani Kagera vyelelezo 37 na maelezo...
  8. W

    Kesi ya mauaji Asimwe: Marufuku kutaja majina ya mashahidi, ndugu zao

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Bukoba imelikubali ombi la Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) la kuzuia kutumika kwa majina na taarifa za mashahidi katika kesi ya mauaji ya moto mwenye albino, Asimwe Novath. Uamuzi huo wa Mahakama unatokana na maombi ya DPP kupitia maombi ya jinai namba 23143 ya...
  9. Ritz

    LIVE: Kusikizwa kwa kesi ya mauaji ya halaiki iliyowasilishwa na Afrika Kusini dhidi ya Israel

    Wanaukumbi. https://x.com/qudsnen/status/1745379031334437068?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw 🇿🇦🇮🇱 KESI YA ICJ - NCHI ZINAZOUNGA MKONO KUWAFIKISHA ISRAEL Leo, Afrika Kusini inawasilisha madai ya mauaji ya kimbari yaliyofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina katika mahakama ya ICJ. Inasaidia...
  10. Erythrocyte

    Hatimaye kesi ya George Sanga aliyewekwa Mahabusu kwa miaka 3 kwa kesi ya Mauaji kuanza kusikilizwa

    Taarifa iliyosambazwa na Chadema Duniani kote , inaeleza kwamba Mtuhumiwa wa kesi ya uongo ya mauaji , George Sanga, Mwanachama wa Chadema na diwani wa zamani wa Njombe , ambaye alisingiziwa kesi hiyo ili kumkomesha, baada ya kukataa kujidhalilisha kwa kununuliwa na ccm , Itaanza kusikilizwa...
  11. O

    Kesi ya mauaji ya dada wa Bil. Msuya:Mkaguzi Mahita aeleza mbinu aliyotumia kumkamata mshtakiwa

    Dar es Salaam. Mkaguzi wa Polisi, Mahita Omari Mahita ameieleza Mahakama kuwa walifanikiwa kumtia mbaroni mshtakiwa wa pili, Revocatus Everist Muyella katika kesi ya mauaji ya Aneth Msuya, baada ya askari mmoja kumuomba lifti amkampeleka hadi kituo cha polisi. Mahita alieleza mbinu hiyo jana...
  12. JanguKamaJangu

    Akiri kosa la kuua baada ya aliyemtuma kutomlipa Tsh. 372,200

    Mwanaume wa Kaunti ya Vihiga amekiri kumuua Mwanamke aliyetambulika kwa jina la Kahongeri (43) kutokana na aliyemtuma kufanya mauaji kukataa kumlipa Ksh.20,000 (Tsh. 372,200). Mtuhumiwa ambaye aliwekwa chini ya ulinzi muda huohuo, alijipeleka Kituo cha Polisi cha Mbale na kukiri kufanya tukio...
Back
Top Bottom