Mbunge wa Viti maalum na aliyekuwa miongoni mwa wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA, Anatropia Theonest, leo Julai Mosi alikuwa mmoja watu waliofika kufuatilia kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam.
Fuatilia zaidi: Kesi ya Lissu live