kesi ya lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Onesmo Mushi: Swali kwa political analysts and strategists wa Tanzania. What is the end goal hereMtukufu analenga nini chenye faida kesi ya Lissu

    MANGE KIMAMBI ANAJIBU: I’m not a political analyst or strategist Ila if you ask me I think this is the plan. They will find him guilty of treason, which means hatoruhusiwa tena kushiriki siasa/ kuwa kiongozi wa chama cha siasa. Then kimama sababu ni mama mwenyewe huruma na kutaka maridhiano...
  2. JamiiForums Tanzania Boni Yai ataka kesi ya Lissu ifutwe kwakuwa inapoteza fedha za walalahoi

    Kimsingi ni kweli! kesi ya Lissu ni ya kisiasa na imekaa kimchongo sana Tunapotezeana muda kwa mambo ya kijinga tu, na ukitaka kujua inapoteza pesa na muda hata kwa Lissu angalia mashahidi wa hii kesi utajua tu ni mchongo mtupu. =========== Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani na Meya mstaafu...
  3. JamiiForums Tanzania Kesi ya Tundu Lissu kuendelea leo Februari 17, 2026, mashahidi wa Jamhuri wasiopungua watatu wangojewa

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, inatarajiwa kuendelea leo, Februari 17, 2026, katika Mahakama Kuu, Masijala Ndogo, Dar es Salaam. Leo kesi hiyo itaendelea kusikilizwa mfululizo katika hatua ya ushahidi, ambapo tayari mashahidi wanane wa Jamhuri wameshatoa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini mashahidi wote katika kesi ya Lissu ni wakiristo?

    Kwanini mashahidi wote ktk kesi ya Lissu ni wakiristo? Kila anaelizwa dini ya shahidi, hujitambulisha mkiristo
  5. R

    JamiiForums Tanzania Lissu hizi zote ni delaying tactics kukutesa, wanajua kuwa huna kesi ya kujibu ya uhaini, Wanajua wakikuachia wameukosa Urais. UTASHINDA

    Utashinda tu. Treason Case Hearing – July 01, 2025: Tanzanian Opposition Leader Tundu Lissu Calls on the State to Drop Charges, Citing Abuse of Court Process The treason case against the opposition party leader, CHADEMA’s Tundu Lissu, continued on July 1, 2025, during its preliminary stage at...
  6. JamiiForums Tanzania Ukatwe govi bila ngazi au uwe shahidi kwenye kesi ya Lissu ya uhaini. Kipi utachagua?

    Wakuu sikuwahi fikiria kama ushahidi ni kazi namna hii hasa ukiwa ushahidi wa mchongo. Mara 100 nikatwe govi langu kwa shoka tena bila ngazi kuliko kuwa shahidi upande wa mashitaka kesi ya Lissu. Asee naona hali si hali huko kwenye kizimba. Tangu mwanzo wakiwa Live hao police ilionekana wana...
  7. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Shahidi ambaye ni polisi anakwambiwa uhaini maana yake ni kuharibu mali na uchochezi hapo hapo anasema hajui kifungu hicho

    Kesi ya Lissu: Shahidi ambaye ni polisi anakwambiw uhaini maana yake ni kuharibu mali na uchochezi hapo hapo anasema hajui kifungu hicho.
  8. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Shahidi anasema hajui kama kuzuia uchaguzi, kuandamana ni kosa sasa mtu kama huyu ameendaje mwenyewe polisi kushtaki kosa?

    Kesi ya Lissu: Shahidi anasema hajui kama kuzuia uchaguzi, kuandamana ni kosa sasa mtu kama huyu ameendaje mwenyewe polisi kushtaki kosa? Kuna upumbavu mwingi sana kwenye jeshi la polisi lazima wahusika wa upumbavu huu watawajibishwa. kijana ameshinikizwa na polisi kuja kuongea vitu asivyo...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini ya Lissu: Serikali hii ni ya laana, imewatafuta watu wenye dhiki ya maisha na kuwafanya mashahidi wa kificho

    Kwenye kesi bandia iliyotengenezwa na watawala dhidi ya Lisu, kila mmoja alishangaa kuona wale mawakili wa mchongo wa serika wakikazania kuwa na mashahidi wa kificho. Watu mbalimbali walitoka na hisia tofauti tofauti. Baadhi mpaka walifikia kusema kuwa labda wale waliokuwa viongozi wa CHADEMA na...
  10. JamiiForums Tanzania Hao mashahidi wa kificho kesi ya Lissu hawatajulikana milele?

    Lengo la kuwafanya baadhi ya mashahidi dhidi ya Tundu Lissu kwenye kesi ya Uhaini inayomkabili wawe wa kificho ni nini? Hao mashahidi hawatajulikana milele?
  11. JamiiForums Tanzania Mjadala unaendelea hatma kesi ya Lissu Mahakama kutoa maamuzi, kutopewa chakula, Kamwaga na Pascal Mayala wanazungumza...

    https://www.youtube.com/live/yY-Fra_HBiY
  12. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu | Shahidi wa Siri (P6): Lissu alisema tunakwenda kuvuruga uchaguzi na kukinukisha

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo, ljumaa Februari 13, 2026 inatarajiwa kuendelea na Kesi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu katika kesi ya uhaini inayomkabili Kesi Yenye Na. 19605/2025 inayosikilizwa mbele ya jopo la Majaji watatu...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu ni ushahidi kuwa katika Vyombo vya Ulinzi na Usalama, kuna shida ya watu Wazalendo

    Huu ndio ukweli mchungu na ndio maana tupo katika halii hii na huenda tukaendelea kushuduhia mambo mengi zaidi ya haya tunayoyaona leo. Pia, yaliyotokea Oktoba 29 ni ushahidii mwingine wa kukosekana wazalendo katika vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Jambo la msingi: Kupitia mauji ya Oktoba...
  14. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Mmoja azimia baada ya kusikia askari magereza wamegoma kumpa Lissu chakula kinyume cha sheria

  15. JamiiForums Tanzania Mama wa CHADEMA azimia mahakamani baada ya Lissu kudai kunyimwa chakula

    Mwanachama wa CHADEMA azimia ndani ya Mahakama baada ya kumsikia Mwenyekiti wake, Tundu Lissu akidai kunyimwa chakula Mahakamani leo Februari 12, 2026. Kuhusu mwenendo wa Kesi Kesi ya Lissu | Shahidi wa siri (P5): Niliona video ya Lissu akisema atakinukisha, uchaguzi mkuu hautafanyika Kesi ya...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kesi ya Lissu: Hiki ndicho Kizimba cha mashahidi wa kificho, kilichosababisha Kesi kuahirishwa

    Wakuu Hiki ndicho Kizimba cha mashahidi wa kificho Kesi ya uhaini Kesi Na. 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu ambacho Mahakama iliagiza Kizimba hicho cha Mashahidi wa siri kirekebishwe Majaji wawaone Fuatilia mwenendo wa kesi...
  17. JamiiForums Tanzania Amani Golugwa: Kuanzia leo Februari 11, 2026, CHADEMA tupo huru kutumia ofisi za chama na mali zetu zote

    https://www.youtube.com/watch?v=D7Mr4uLn7tQ Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara, Amani Golugwa, amekemea vikali madai yanayosema viongozi wa chama hicho, akiwemo yeye na Makamu Mwenyekiti Bara John Heche, wanafaidika na kufungwa kwa Mwenyekiti wao, Tundu Lissu. Akizungumza nje ya Mahakama...
  18. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Majaji wapitisha shahidi asikilizwe kwa kufichwa bila wao wenyewe kumuona kinyume cha sheria ni shinikizo la serikali haramu

    Kesi ya lissu: Majaji wapitisha shahidi asikilizwe kwa kufichwa bila wao wenyewe kumuona kinyume cha sheria ni shinikizo la serikali haramu
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kesi ya Lissu: Mahakama yaagiza Kizimba cha Mashahidi wa siri kirekebishwe Majaji wawaone. Kesi kuendelea Feb 12, 2026

    Mahakama imetoa uamuzi kuhusu mapingamizi matano dhidi ya Jamhuri yaliyowekwa na mshtakiwa Tundu Lissu mnamo Novemba 12, 2025, ikiwemo pingamizi kuhusu utaratibu wa usikilizwaji wa shahidi wa siri. Lissu alidai mahakamani kuwa, hata kama sheria ya ulinzi wa mashahidi ingekuwa na uhalali wa...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu na hatima ya maridhiano

    Wakati Rais Samia Suluhu Hassan akitimiza siku 100 madarakani tangu alipoapishwa Novemba 3, 2025, ahadi ya kuunda tume ya maridhiano na kuanza kwa mchakato wa katiba mpya imekuwa ikihojiwa. Lakini mwenyewe alisema ahadi yake ya kuunda tume ya maaridhiano itasubiri kwanza Tume aliyoiunda ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…