kesi ya lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sioni Lissu akiachiwa na Samia..na issue ni Samia kashatiwa uoga

    Mzee wangu upo humu na ninajua unapenda sana kutembelea hili Jukwaa nitakachokiandika hapa sio kipya maana nishakuambia mara kadhaa. Nilimwambia Mzee Kila nikipima Upepo naona kabisa SAMIA hamuachii Lissu atasota nae hadi amalize mda wake 2030. Atapokea vitisho ila hatolegeza na why hatolegeza...
  2. E

    JamiiForums Tanzania CCM ichague moja: Kuendelea na kesi ya Lissu au kuingia kwenye maridhiano

    Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stephen Wasira, hivi karibuni amesikika akisema kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ndiye anayechangia kucheleweshwa kwa kesi yake ya uhaini kwa kuwasilisha mapingamizi mara kwa mara. Akizungumza katika kipindi cha Dakika 45 cha ITV Julai 20, 2026, Wasira pia...
  3. JamiiForums Tanzania Anaedhani Tundu Lissu ataachiwa kwa mititi ya ndani na nje ya nchi hamtakii mema Lissu, Achunguzwe

    Nikiri kwamba mara hii natumia MOYO badala ya UBONGO kuandika uzi huu. Mashinikizo ya ndani na nje ya nchi hayawezi kuifanya Tanzania ipindisje au iachane na Katiba yake, sheria, mila, taratibu na utamaduni wake wa kuliendesha taifa letu. Hakuna mtiti wa nje wala wa ndani unaoweza kumuondolea...
  4. JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda: Mahakama itende Haki kesi ya Lissu

    Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, ameitaka Mahakama ya Rufani Tanzania kuhakikisha inatenda haki kwa usawa katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu. Akizungumza na MwanaHALISI Digital Julai 16...
  5. JamiiForums Tanzania Wakili Dkt. Nshala: Ofisi ya DPP imekiuka wajibu wa Kikatiba katika Kesi ya Lissu

    Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala, amesema mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu ameiambia mahakama kuwa amekaa mahabusu kwa siku 139 tangu Februari 24, 2026 hadi Julai 3, 2026 bila kesi yake kusikilizwa. Soma: Tundu Lissu: DPP anilipe fidia...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali yapinga maelezo ya azimio la Bunge la Ulaya kuhusu kesi ya Lissu; yasema hatma ya kesi hiyo itaamuliwa na Mahakama

    Serikali ya Tanzania imesisitiza kuwa suala la Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, linaendelea kushughulikiwa na vyombo vya sheria bila kuingiliwa na mamlaka za kisiasa. Kauli hiyo imetolewa katika ufafanuzi rasmi wa Serikali kuhusu rasimu ya Azimio la Bunge la Ulaya kuhusu Mpango wa...
  7. JamiiForums Tanzania Unadhani kuna nini kinaendelea hadi Kesi ya Lissu kusogezwa Julai 6?

    Kukiwa na vuguvugu la maandamano tar 7 July, 2026 Na kesi ya Lissu kuahirishwa parefu Hadi tar 6 July, 2026 Zingatia hizo tarehe..why tar 6? Je unaweza kusema waja kule wanawaza Nini? Au wanapanga Nini😊 Soma pia Kesi ya Uhaini dhidi ya Tundu Lissu iliyopangwa kusikilizwa Juni 11, 2026...
  8. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa taifa lina mpasuko mkubwa sababu WanaCCM mtandao wamegeuza keki ya taifa kuea mali yao na kesi ya Lissu imeongeza chuki dhidi ya watawala

    Hakuna mtanzania anaefurahia huu utawala kwa amani. Wengi wanafurahia kwa shingo upande na unafiki. Angalia hata hao wanaCCM makabwela ambao hudanganywa kwa baiskeli na tisheti safari hii hawautaki huu utawala wa CCM. Kesi ya Lissu inazidi kuligawa taifa sababu kila mtanganyika mwenye akili...
  9. JamiiForums Tanzania Mmoja kati ya majaji waliopangiwa kesi ya Lissu aliwahi kutuhimuwa na Lissu kuwa aliteuliwa bila kuwa na vigezo. Je, watatenda haki?

    Rufaa iliyokatwa na upande wa mashtaka (mawakili wa serikali) katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA ndugu Tundu Antipas Lissu inatarajiwa kuanza kusikilizwa tarehe 11-06-2026. Majaji watatu wa Mahakama ya Rufani wamepangwa kusikiliza rufaa hiyo. Swali ni Je, watatenda haki...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hilder Newton: Kesi ya Lissu kuendelea Juni 11, 2026

    Taarifa hii ni kwa mujibu wa Hilder Newton kupitia mtandao wa X
  11. JamiiForums Tanzania Vita ya kumaliza kesi ya Lissu katika giza la kufungiwa kwa CHADEMA

    Wakati CHADEMA ikianza operesheni ya “Katiba Mpya Free Lissu” katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, tayari hofu imeshatanda serikalini, ambapo Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imeiandikia baria ikitaka ijieleze kwa nini isifungiwe au kutozwa faini. Miongoni mwa makossa wanayotakiwa kujieleza ni...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Jaji mkuu : Maneno matupu kwanini kesi ya Lissu inachelewa

    Sasa tunamuona mtu wa porojo tu hana vitendo https://youtu.be/lyoVfSR3phI?si=IN5MIIeSdjM0qi3n
  13. JamiiForums Tanzania Mbunge Ujerumani ahoji bungeni mauaji ya Oktoba 29 Tanzania na kesi ya Lissu

    Mbunge wa Lahn-Dill nchini Ujerumani, Mheshimiwa Johannes Volkmann wa chama cha CDU ameihoji Serikali ya nchi hiyo kwamba, inachukua hatua gani kwa Tanzania kutokana na mauaji ya raia katika uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na kuhusu kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, aliyosema inakiuka...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Eti mpaka leo kesi ya Lissu haijapangwa kusikilizwa! Hata mtoto wa darasa la kwanza atakuwa amedharau mahakama zetu

    Yaani wameshindwa kabisa kuficha udhaifu wao kiasi kwamba hata wale waliokuwa hawaamini kuwa hii kesi no ya mchongo, sasa watakuwa wameamini. Tundu Lissu anaingia katika kundi la watu maarufu wa kupigania haki za watu duniani huku wao wakiingia katika historia ya watawala waovu na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Baadhi ya viongozi wamshauri Heche asisitize kesi ya Lissu ipelekwe haraka na si kuitisha maandamano

    Baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Mwanza wameushauri uongozi wa juu wa chama hicho, hususan Makamu Mwenyekiti John Heche, kutafuta njia mbadala za kuharakisha kesi ya Mwenyekiti wao Tundu Lissu badala ya kuendelea kusisitiza maandamano. Viongozi hao...
  16. JamiiForums Tanzania Shahidi wa ziada kesi ya Lissu ASP Mahamba kumbe ni marehemu

    Wakuu huu ujumbe nimeuona kwenye ukurasa wa Malisa Gj kwenye mtandao wa thread. Umenitafakarisha sana. Hivi kwanini upande wa Jamhuri kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu wana mambo ya ajabu hivi? Akaandika Malisa Kada maarufu wa CCM wilaya ya Kinondoni, Mkamiti Mohamed amedai kuwa ACP Mohamed Said...
  17. JamiiForums Tanzania Jaji Masaju kama mahakama ni chombo huru kwa nini kiendelee kusikiliza kesi ya Lissu ambayo haina mashiko?

    Mahakama ina mamlaka ya kuondoa kesk pale inapoona hakuna mashiko ya kiushahidi. Leo hii mnalazimisha kusema kuwa watu mil 60 walioangalia video ya Lissu walihamasika kukinukisha na mahakama inapoteza muda kusikiliza ushahidi huu. Kwa nini mahakama yako isitumie busara na kuiondoa hii kesi kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Idu nacheka ninapofuatilia kesi ya Lissu. Kwamba mtuhumiwa anawafundisha waendesha mashitaka nini cha kufuata kisheria!

    Nakunywa zangu balimi huku nachanganya na Konyagi ndogo. Mtuhumiwa wa kosa la uhaini anatoa shule kwa mawakili wa serikali. Kwamba ushaidi mpya ni tofauti na ushahidi wa nyongeza. Hawa mawakili wa serikali wanalipwa mshahara kwa kodi za mkulima kama Idugunde
  19. JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yasimamisha usikilizwaji wa kesi ya Lissu, baada ya Jamhuri kufungua shauri la mapitio

    Mahakama Kuu imesimamisha usikilizwaji wa kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu baada ya Jamhuri kufungua shauri la mapitio Mahakama ya Rufani kupinga uamuzi wa mahakama hiyo kutupilia mbali notisi yake ya kuwasilisha ushahidi mpya katika kesi hiyo. Soma Pia: Tundu...
  20. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Mawakili wa Jamhuri hawajarudi kwenye chumba cha Mahakamani kuendelea na Kesi

    Wakuu Inadaiwa mawakili wa Jamhuri hawajaonekana na hawajarudi Mahakamani mpaka muda huu. Karani amesimama na kuseeleza kuwa kuna jambo limejitokeza anaenda kutafuta ufafanuzi kwa msajili wa mahakama na atarudi kuleta mrejesho. Mwenendo wa Kesi > Kesi ya Lissu: Mahakama yatupilia mbali ombi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…