kesi ya lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu inahitaji huruma ya Rais Samia tu, sio lundo la wanasheria watetezi

    Leo hii nimejaribu kufuatilia kesi hii nimegundua uelewa wa wanasheria wa utetezi umepwaya sana lkn kongole kwa upande wa Jamhuri Siwezi eleza wapi wamepwaya lkn bila huruma ya SSH kama mama naona jamaa IDU na uenyekiti wake atastaafia akiwa gerezani Tukutane 16/06,hivi hao wanasheria ndio...
  2. JamiiForums Tanzania Utazamaji kesi ya Lissu vs Bunge.

    habari, mnaruhusiwa kucheka kwa nini wananchi mnalipuuzia kuangalia bunge lenu mnaniachia mimi peke yangu na makarani wa bunge pekee(hawazidi 10)? hii haikubaliki 😂 Watanzania tunatakiwa kuliangalia bunge letu namba za views zipande pale mjini YouTube. haiwezekani kesi ya Lissu izidi Bunge...
  3. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video ya kesi ya Lissu Mahakama ya Kisutu May 19, 2025 ilifutwa, huenda watafuta na ya leo pia. Kwanini tunyimwe taarifa?

    ILe kesi ilivyoisha tu tarehe 19, May ilifutwa!l na wote waliokuwa wanarusha pia iliondolewa. Nadhani kimemo kilipita kikiwataka wote waondoe. Kwa waliobakisha kama Global ilikuwa ni ile video ya nje pekee lakini ndani ya chumba cha mahakama iliondolewa. Nilitaka kuweka uzi lakini waliirudisha...
  4. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Watazamaji Elfu 14 Channel ya Mahakama YouTube, Watazamaji Elfu 18 Millard Ayo YouTube. Hili ni balaa

    Tundu Lissu ni mashine nyingine hadi sasaivi tu kuna Watazamaji Elfu 32 kwenye Channell 2 tu za YouTube.
  5. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wanahabari wazuiwa kuingia kwenye Kesi ya Lissu; waambiwa wameruhusu 10 pekee

    Waandishi wa habari zaidi 15 kwa nyakati tofauti wamezuiwa kuingia Mahakamani na kuamriwa kukaa mbali na viunga vya Mahakama ya Kisutu, ambapo wameambiwa kuwa wameruhusu waandishi wa habari 10 pekee kuingia ndani. Mmoja ya waandishi ambaye amekumbana na changamoto hiyo ameeleza "Wanasema ni...
  6. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu yaahirishwa hadi Juni 16

    Leo ni wakati mwingine tena wa kusikiliza kesi zinanzomkabilo Tundu Lissu. Nini kitajiri, tutarajie kusikia habari mpya ya Lissu kuachiwa? Wacha tuone nini kitajiri. https://www.youtube.com/live/uUHWvriUjLw?si=TwsNHUnhRe8mu8vl ==================================== Mwenyekiti wa CHADEMA...
  7. JamiiForums Tanzania Lissu aachiwe huru

    Lissu aachiwe huru au kesi iharakishwe. Halafu Chadema na CCM warudie mazungumzo ya reconciliation in a typical 10-point agreement plan of action ( well known in conflict resolution talks)ambayo preferably yahudhuriwe na viongozi wa JWTZ. PIa Uchaguzi Mkuu ufanyika kwa kuwashirikisha JWTZ...
  8. JamiiForums Tanzania Mahakama yasema kesi ya Tundu Lissu, Juni 2, 2025 itakuwa 'Live'

    Kwa mujibu wa mahakama wenyewe watarusha matangazo ya moja Kwa moja kutoka mahakamani. Kwa mara ya Kwanza tutashudia matangazo hayo ya mahakama ikiwa kweli Wanafanya hivyo
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyeketi wa CHADEMA kata ya Makumbusho: Polisi walinivua nguo zote wakanipiga sana na wakinipiga picha nikiwa uchi

    Tulikuwa tunakutafuta kwa muda mrefu, wewe ndiyo ulikuwa unawafundisha vijana ili wawapige askari, wewe taja cheo chako ni kawaambia mimi ni mwenyeketi wa CHADEMA kata ya Makumbusho, hapana sema cheo chako na kama utaki kusema basi tunakufanya vitu ambavyo wajawahi kuona Wakanivua nguo zote...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Afande Sele: Kesi ya Lissu imekoleza 'No Reforms, No Election

    Msanii mkongwe wa muziki wa 'HipHop' nchini Selemani Msindi Afande Sele amesema hivi karibuni amekutana na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Francis Mutungi ambapo miongoni mwa mambo aliyomweleza ni mashaka yake ya uwepo wa namba ndogo ya wananchi inayoweza kujitokeza kupiga kura kutokana...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Washington: Watanzania Waandamana kushinikiza Tundu Lissu na Mateka Wengine Waachiwe huru

    Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa Duniani, Usipitwe. Watanzania waishio nje ya nchi wanaandamana muda huu Washington DC kushinikiza serikali ya Tazanzia kuwaachilia huru mateka wote na Mh. Tundu Lissu Toa maoni yako
  12. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uasi ni nini? Rebellion ni nini? Uhaini ni nini?

    uasi = rebellion A rebellion is a violent organized action by a large group of people who are trying to change their country's political system. Rebellion: When a group of people openly and forcefully go against the government or leader in charge. It can also mean when someone goes against a...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakenya wasema watakuja kuhudhuria kesi ya Lissu na watahakikisha wenzao walioshikiliwa huku wanarudi kwao salama, hawamwogopi Rais Samia

    Wakuu, Kunazidi kutokota huko, majirani wanasema hawatakaa kimya wakiona wenzao wanahenyeshwa wakati hawajafanya kosa lolote. ===== Wakenya wasema watakuja Tanzania kusikiliza kesi ya Lisuu, na kuhakikisha wenzao walioshikiliwa nchini wanakuwa salama na wanarejea wakiwa wazima makwao...
  14. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaomba Jumuiya za Kimataifa msamaha kwa niaba ya Tanzania, kwa madhila yaliyowakumba wageni wa kesi ya Lissu

    KISINGIZIO CHA SOVEREIGNTY BILA WAJIBU CHA SERIKALI YA TANZANIA, CHADEMA YAAMUA KUBEBA WAJIBU WA KUWAJIBIKA KUZIMA HASIRA ZA JUMUIYA YA KIMATAIFA CHADEMA katika press conference leo 20 May 2025 imewaomba wageni wote waliopata kadhia kutoka mamlaka za serikali ya Tanzania. Wageni hao wengine...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Ushauri wa Bure kwa Rais Samia, achana na hii kesi Haina maslahi yoyote kwako, CCM, wala nchi!

    Kwako rais Samia: Aibu hii ya nini? Lissu ni kama Yesu mbele za Pilato. Hana hatia. Wanaopaswa kukushauri kuachana na kesi hii wanasubiri uangukiwe na jumba bovu. Utakuwa mgeni wa nani kwa mwendo huu? Achana na kesi hili la kubumba. Wawajibishe wote wasiokutakia mema. Acha haki...
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA na mikakati ya kisanii, wasomba wananchi bila ridhaa kupamba umati Kisutu

    CHADEMA NA MIKAKATI YA KISANII—WASOMBA WANANCHI BILA RIDHAA KUPAMBA UMATI KISUTU Mei 19, 2025, Dar es Salaam — Katika kile kinachoonekana kuwa mbinu ya kisanii ya kuzua huruma ya umma na kushinikiza mitazamo ya kisiasa, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeibua mjadala mkali baada ya...
  17. JamiiForums Tanzania Majaji Wakuu Wastaafu wa Kenya kuja Tanzania kwenye Kesi ya Lissu, Prof Juma aelewe kwanini Majaji wenzake walikataa aiongoze Mahakama

    Kwenye wiki ya Sheria Rais Samia alisema hatamuongezea tena muda Jaji Profesa Ibrahim Juma maana hataki tena kugombana na kuwakwaza Majaji wa Mahakama ya Rufaa. Jaji Profesa Ibrahim Juma atakumbukwa nchini Tanzania kama Jaji Mkuu wa hovyo kuwahi kutokea nchini baada ya Mohamed Chande...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi ya Lissu imesababisha mtandao kuminywa leo? Dawa yenu ipo jikoni, hamuwezi kushindana na teknolojia

    Wakuu, Hali ya mtandao ikoje mliko? Yaani toka asubuhi mtandao imekuwa hovyooo kila kitu kinaenda taratibu kwa spidi ya kobe! Ni hii tu kesi ya Lissu ndio mnafanya mambo yote yasiende na kutuingizia hasara? Yaani Lissu anawatetemesha mpaka mnatumia resource zote kuhakikisha mambo hayaendi sawa...
  19. JamiiForums Tanzania Mwenye kuelewa ina maana hii kesi ya lissu na polisi wamepata vifaa vyipya.

    Hapa kisutu mpaka askari magereza wamependeza kwa nguo mpya utazani sikukuu ya idd na xmass ilivyo.
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi ya Lissu inaendelea TBC kimya! Mpo kwa maslahi ya nani kama jambo kubwa linalogusa usalama wa taifa mnalifungia vioo?

    Wakuu, Kesi ya Lissu ni suala la kitaifa. Watanzania tuna maslahi nayo maana Uhain si na uchochezi wa kusumbua Watanzania na kufanya tukose amani ni suala serious sana (hata kama tunajua ni uongo😂😂😂), sasa mbali na haya yote TBC, televisheni ya Taifa ni kama wapo ulimwengu mwingine! Yaani ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…