My people,
Hakika hakuna ajuaye kesho yake, hata wewe kamwe usije kujikatia tamaa katika maisha kwahakika siri ipo kwa Muumba wetu.
Haimaanishi kwamba nawe utakuja kutamba na VAT laa,namaanisha kwa safari yoyote ya maisha uliyokuwa nayo basi haijaisha mpaka iishe, kwa hiyo endelea kupambana...