kesho

Kesho Yvonne Scott (born 1953) is associate professor of American Studies and Sociology at Grinnell College. Scott received her M.A. in political sociology at the University of Detroit and received her Ph.D. in American Studies from the University of Iowa in 1988. After receiving her doctoral degree she became Distinguished American Studies Scholar in Residence at Pennsylvania State University in Harrisburg (1989), visiting professor at Nanjing University in China (1994), and Fulbright visiting professor at Addis Ababa University in Ethiopia (2001–2002). Scott's interests include black women in America, multiculturalism, and unlearning racism.
She is the first African-American woman to receive tenure at Grinnell.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Bandari Salama, bandari ya TPA, itakapopokea meli kubwa ya kihistoria

    Kishindo kikuu 'Bandari Salama', bandari ya TPA, itakapopokea meli kubwa ya kihistoria. Kaa tayari kujua. Kuna jamaa kaandika; "It's our Vessel called Frontier Ace is coming direct from Singapore carrying 4342 units. Accordingly to Vessel Captain tomorrow morning at 0900Lts confirmed will be...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Jiandaeni kesho kwa press conference ya utopolo baada ya Simba kufanya yake

    Yes kesho by mchana au saa kumi kutakuwa na press conference ya kupotezea tukio zito la leo la simba kutoa kichapo cha mbwa mwizi kwa wa niger Kabla ya press conference hiyo tarajia HABARI ZA UZUSHI KUANZIA ASUBUHI ZITAKAZOSAMBZWA NA MAKANJANJA kwamba GSM washakubaliana kumsajili Adebayor wa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ndani ya CCM badala ya kuleta matumaini yamewavuruga wengi na kesho ya Taifa la Tanzania

    Awali ya yote niipongeze serikali na viongozi wake kww kazi wanaifanya japo kama Taifa tunaona kuna mabadiliko makubwa ya kimfumo yanatakiwa kufanyiwa kazi ili Taifa hili liweze kwenda mbele tukiwa na umoja wa kitaifa. Ccm chini ya viongozi wakuu wa Taifa hili wametoka kwenye misingi baba wa...
  4. JamiiForums Tanzania Watazamaji zaidi ya milioni 600 kuitazama Simba SC kesho

    Muwakilishi pekee kutoka Tanzania mnyama mkali Simba sc kesho majira ya saa nne kamili usiku, atatupa karata yake ya mwisho kwenye kundi lake, ushindi pekee unahitajika ili kuipeleka robo fainali miamba hiyo ya Africa. Dunia inashauku na hamu kubwa kuona ni nini kitatokea kesho pale mkapa...
  5. JamiiForums Tanzania Jua kesho tarehe 21 Machi litaingia Ikweta, Masika kuanza

    Kwema! Joto la leo likanifanya niikumbuke Jiographia ya Kidato cha Kwanza. Leo na kesho Tarehe 20 na 21 March Jua litakuwa Ikweta baada ya kuingia katika kizio cha Kusini (Southern Hemisphere) Tropical of Capricorn tangu mwaka jana Septemba lilipokuwa pia Ikweta. Hivyo ni kusema jua...
  6. JamiiForums Tanzania Wazee wenzangu akiwemo Paskali Mayalla, tujitahidi sana watoto wetu wawe na kesho njema

    - Haya maisha haya? leo kidogo niaibishwe na mtoto wangu kutoka katika korodani zangu katika mojawapo ya kumbi ya starehe katika jiji maarufu. Kisa na mkasa kakutana na watoto wa big fives, kiukweli leo nimekuwa mpole sana. Pascal Mayalla
  7. JamiiForums Tanzania Sitarajii Polepole kuapishwa kesho, ukibisha ungana na timu wahuni

    Tunajua alijua tarajio hili au la namna hii na alijiandaa. Asituangushe amuenzi Magufuli kwa dhati ya Mungu wake. Fedheha ni mbaya akatae. Polepole huwa hayumbishwi na ufalme wa duniani chini ya jua. Hiari ni hiari tu tugange yajayo. Ukimtegemea Mungu ufalme wa duniani hauna tija. Malawi...
  8. JamiiForums Tanzania Tulioko tayari kuwasindikiza Berkane kesho

    WanaYanga nadhani kesho ni muda wakuonyesha mshikamano wenu kwa kuwasindikiza Rs Berkane hata Kama wamefungwa wasindikizeni tu maana mliwapokea kwa shangwe
  9. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mkopo wa 100,000 kwa siku ya kesho narudisha jumamosi.

    Wakuu, Husika na kicha kwa habari hapo juu. Nimepata shida kidogo nafanya biashara ya mitumba nimekuja Ilala kuchukua mzigo (nguo za watoto) imepungua kama laki moja ili nichukue mzigo mkubwa zaidi (nauzia minadani). Hela narudisha Jumamosi jioni baada ya kumaliza mnada wa kwanza. Naishi Dar...
  10. JamiiForums Tanzania Kesho naondoka, siwezi endelea kukaa hapa. Siwezi acha anielewe vibaya ila nimeshindwa mimi...

    Jamaa yangu zamani alikuwa vizuri tu kichwani. Mnakaa mnaongea mambo ya akili. Nimekuja mkoani kaniomba nisifikie lodge nifikie kwake. Nikasema huyu mwana toka kitambo ngoja nifikie tu kwake. Maana ananisaidia pia huko hotel nisilale na vicheche. Tumekula tumemaliza. Mlo wenyewe tunaanza kula...
  11. JamiiForums Tanzania TAKUKURU Mwanza tafadhali kamateni na zikagueni upesi sana Simu za Mchezaji Adeyoum wa Geita Gold FC na Mratibu wa Yanga SC Bhinda

    Hii Michezo tumeshaicheza mno mpaka pale tulipoamua Kustaafu na Kutubu Dhambi kwa Mwenyezi Mungu hivyo Timu zingine zikifanya Michezo hii akina GENTAMYCINE huwa tunaishtukia na Kuigundua haraka sana hivyo tukisema Watu fulani Wachunguzwe upesi huwa tunakuwa tumeshatonywa na Vyanzo vyetu aminika...
  12. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro marathon ni kesho, kinachoendelea Huko Moshi ni ulevi na ngono usiku huu kesho zawadi zote zinaelekea Kenya

    Watanzania huko Moshi Kilimanjaro Kesho ni washerekeaji tu wa Kilimanjaro marathon . Hawana uwezo wa kupata zawadi Hata moja. Wakenya ninasikia wamekuja wengi wamelala tayari kuanza bio Kesho na kuondoka na zawadi zote. Wabongo ni ulevi usiku kucha na ngono Yakima asubuhi Hakuna cha...
  13. JamiiForums Tanzania Polisi watelekeza mwili wa mwananchi aliyeshambuliwa na Wanyama wakali shambani. Vipaumbele vya Jeshi la Polisi vinafikirisha sana

    Kijijini Mjesani, Muheza. Mzee mmoja alipotea juzi Jumatatu, wanakijiij wakaanza kumsaka. Leo mchana mwili wake umekutwa shambani, umeharibika sana na umeng'atwa na wanyama. Wanakijiii wametoa taarifa kwa Polisi wilayani, askari wamejibu watakwenda kesho. Mwili bado upo shambani.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Malezi: Mnaotumia condom wasaidieni wanaopaswa kutumia P2 kesho msikose watoto

    Kununua na kutumia kondom unachangia uchumi, unadhibiti magonjwa na unalinda mimba zisizotarajiwa. Hakuna side effects kwenye via vya ndani vya uzazi na ni njia salama. 2. Watoto wangu Mnaotumia P2/ 72 hrs na nyingine nawapongeza kuchangia uchumi na kudhibiti mimba zisizotarajiwa. Ila amkwepi...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara tubadilike, tusiangalie faida ya leo tu, tuangalie na kesho

    Unaenda sokoni, unakuta nanasi limewekwa pale juu, linapendeza, unalinunua, kumbe upande mmoja limeoza, muuzaji anajua lakini anakausha. Unaenda Dukani, unanunua maziwa ya unga, kumbe yameeksipaya, mwenye Duka anajua, anakausha! Unafika Muheza, unanunua machungwa kwenye mfuko, unafika...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe: Tuko kwenye hatua ya mwanzo ya mradi wa kesho imara

    WAZIRI BASHE: TUKO KWENYE HATUA YA MWANZO YA MRADI WA KESHO IMARA. "Nataka kukufahamisha kuhusu ‘Building a better tomorrow’ project Mradi huu uliopo hatua za mwanzo sisi wizara tutatenga fedha, kima cha chini 5B kwa kuanzia. Kwasababu: Vijana hawaendi shambani na hawana motisha kuingia katika...
  17. JamiiForums Tanzania Nina mashaka Luteni Urio anaenda kuharibu ushahidi dhidi ya Mbowe na wenzake 3. Fact hizi hapa

    1. Wakati akitoa ushahidi wake wote Mara kadhaa wakili aliyemuongoza alisita kuendelea kumuuliza na kuanza kuteta chini kwa chini ikionesha Kuna majibu Alitoa nje ya matarajio yao. 2. Kucheleweshwa ushaidi wake kwa siku moja ama kulikuwa na mashaka juu ya ushaidi wake kutoka kwa mawakili wa...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma: Rais Samia Kufanya Mahojiano na TBC Januari 27, 2022

    Salaam Wazalendo Wote Tafadhali soma Taarifa yote Kama ilivyoambatanishwa hapo chini
  19. JamiiForums Tanzania Sheria ya kutokudai fidia pale Unapopata kesi ya kusingiziwa, haipo poa. Itakulinda leo wewe mtawala ila kesho itakugeukia wewe ama wakaribu yako

    Kwa mara nyingine mungu wetu ametupa nafasi hadimu na hadhimu katika hii Dunia, hatuna budi kumshukuru. Nikienda moja Kwa moja kwenye hoja yangu ya msingi. Kiukweli nimetafakari vya kutosha kuhusiana na hoja ya kuto kudai fidia pale inapptokea umeshtakiwa kimakosa,haijalishi itakuwa umeonewa...
  20. JamiiForums Tanzania Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

    Chama is Back, Triple C is Back. Baada ya Mechi Ya Mwisho kucheza akiwa Morocco na Kuwa MAN OF THE MATCH. Leo Anarejea Tena, zamu hii Akiwatumikia Simba Sc Dhidi ya Mbeya City. Nini atawapa Wana Simba Sc ni Jambo La kusubiri. Baada ya kutwaa ubingwa wa mapinduzi Mnyama, Simba SC anarejea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…