kesho

Kesho Yvonne Scott (born 1953) is associate professor of American Studies and Sociology at Grinnell College. Scott received her M.A. in political sociology at the University of Detroit and received her Ph.D. in American Studies from the University of Iowa in 1988. After receiving her doctoral degree she became Distinguished American Studies Scholar in Residence at Pennsylvania State University in Harrisburg (1989), visiting professor at Nanjing University in China (1994), and Fulbright visiting professor at Addis Ababa University in Ethiopia (2001–2002). Scott's interests include black women in America, multiculturalism, and unlearning racism.
She is the first African-American woman to receive tenure at Grinnell.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Asante MO , Bingwa wa mikakati nje ya uwanja. Kesho Simba inampiga mtu goli za kutosha.

    Ushindi wa Simba kesho ni uhakika kwasababu moja tu. MO NI BINGWA WA MIKAKATI NJE YA UWANJA. Kuna taarifa nzuri sana kuwa tayari ameshamalizana na wachezaji waliokwenda kuzitumikia timu zao za taifa, hivyo kamati ya ufundi ilitumia furusa hiyo kuwafuata hukohuko kwao DRC, Mali, Burkina Faso...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Israel imetuangusha sana. Ule mkwara tukajua kisasi kitalipwa kesho yake tu

    Sisi wayahudi wa Matosa, Chamwino, Goba na kijichi hatuamini kama kweli umeogopa kulipa kisasi kama ulivyoahidi. Mkwala wote ule tukajua kesho mapema tu F 35 zinakwenda kuisawazisha Iran. Aaaaaah !! Jamani Yahudi tunavyokujua kuwa hauguswi . Imekuaje sasa. UNAJUA UKIMYA WAKO UMEMPAISHA SANA...
  3. JamiiForums Tanzania Hiki ndicho Mwafrika alichobobea. Mambo ya kufirika fikirika. Leo atagundua Kiboko ya wachawi ni tapeli kesho anaenda kwa kiboko ya majini

    Maisha yaendelee...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Israel kuishambulia Iran kesho Oct 07, 2024

    Kwa mujibu wa vyombo mbali mbali vya habari vimesema kwamba Israel inajiandaa KUISHAMBULIA Iran apo kesho Oct 07 Kama kumbukizi ya shambulio la Oct 07 lililofanywa na hamas Kule Israel, Tayari wakuu wa kijeshi wa Israel walikutana na kupanga mipango ya kuishambulia Iran kesho tar 07...
  5. JamiiForums Tanzania Polisi wamenitrack niliokota simu, kesho natakiwa kituoni

    Msaada wa kisheria simu ya kuokota nakamatwa na polisi. Mama yangu aliokota simu smat phone akanipa sababu yeye Hawezi tumia nikaweka laini hapa nimepagawa, Hii imekaaje mbaya zaidi aliepoteza simu anadai kwao ilibiwa simu, TV nch 32, jiko la ges plate mbili. Je, nachomokaje katika hili...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huenda Gachagua akajiuzulu wakati wowote, maana imethibitika hakuna uwezekano wa muujiza kumnusuru kuondolewa nafasi ya unaibu rais

    Huenda haitazidi ijumaa ya kesho.. Akisubiri kubanduliwa na bunge bila kujiuzulu, basi atakua amejiondolea mwenyewe sifa na vigezo vya kikatiba kuwania nafasi za uongozi wa kisiasa wala, kushikilia nafasi yoyote ya utumishi wa umma nchini Kenya. Kwa lugha nyingine, atakua amajifungia maisha...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Naomba mwongozo ya interview ya Junior Safety officer

    Habari ya muda huu, Mimi ni recent graduate wa Bachelor degree, nilituma CV ya kuomba position ya Junior Safety Officer....na hatimaye leo jioni nimepigiwa simu kuwa kesho nifike kwa ajili ya interview. Naomba muongozo na vitu vya kuzingatia maana ndio interview yangu ya kwanza. Natanguliza...
  8. JamiiForums Tanzania Kesho pia ni siku, maneno yanayoumiza Vijana wengi

    Salaam... Jana ni ile juzi, leo ni ile jana uliyokuwa unaisubiria ili uamue au ufanye jambo fulani. Uanze biashara, uache kazi moja kutafuta kazi nyingine, uache fursa moja kukimbilia fursa nyingine, kuchagua njia moja na kuacha ingine. Yale maamuzi ambayo umeamua kuyapa muda. Muda, siku...
  9. JamiiForums Tanzania Siielewi hii kampeni: Mtoto wa leo ni Samia wa Kesho

    Kuna kampeni ya Leo imezinduliwa mkoani Tanga na Naibu Waziri Mkuu Mh Dotto Biteko inayoitwa Mtoto wa Leo ni Samiah wa Kesho. Hii Kampeni nimeshindwa kuuelewa kusudi lake. Je ni kweli kwamba kila mtoto wa Leo atakuwa Samiah wa Kesho?. Je, ni kweli kila mtoto anataka kuwa Kama Samiah? Je wawe...
  10. JamiiForums Tanzania Jumamosi ya kesho asubuhi safari ya baiskeli ya Dar kwenda Butiama itaanza

    Hii ni kumbukizi ya Mwalimu Nyerere,safari ya kila mwaka. Itaanzia hapa Msasani Residence saa tatu asubuhi. Sometimes anaalikwa kiongozi wa Serikali to flag them off. Last time waliagwa na DC Gondwe. Wanaokwenda na baiskeli,huwa wanapita hii njia ya Bunju kuelekea Msata halafu kula mbele...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kesho itakuwa kipimo tosha kwa uhuru wa vyombo vya habari nchini

    Habari iliyochapishwa katika magazeti ya Uingereza kuhusu uhusika wa kampuni ya Tigo katika mipango ya kuondoa uhai wa Lissu na mkutano wa Lissu na wanahabari leo, utakuwa mtihani mkubwa kwa magazeti ya kesho. Serikali itakapozuia habari hiyo isitokee kwenye magazeti itakuwa imejivua nguo na...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Wafamasia kesho mna jambo lenu, kipi Cha kujivunia tiririkeni tunufaike kama jamii

    Wafamasia kesho ndo siku yenu kipi mnafurahia na kipi kinawaboa
  13. N

    JamiiForums Tanzania Afande Muliro: Atakayethubutu kuandamana Dar es Salaam kesho atakiona

    WAKATI mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe akitangaza uwepo wa Maandamano ya Chama hicho Siku ya jumatatu September 23 ,Jeshi la Polisi Nchini limeweka mkazo wake kuwa piga marufuku maandamano hayo . Kuwa maandamano hayo yana viashiria vyote vya uvunjifu wa...
  14. JamiiForums Tanzania Update Maandamano Sept 23: Tayari Moshi Huu Unafuka

    Ujomile musani!. Nilichokiona na kusoma mtandaoni kimepelekea kupeana taarifa jinsi gani jeshi la polisi linajiandaa hasa kwa Jumatatu ya tarehe 23. Nikiwa njia panda ya Himo hapa moshi naona bus za polisi zikiwa uelekeo wa Dar. Na kuna mdau kaposti bus za polisi zikitoka Morogoro. Hebu...
  15. K

    JamiiForums Tanzania NINAISHAURI SERIKALI IKAE MEZA MOJA NA CHADEMA KABLA YA MAANDAMANO YA KESHO

    CHADEMA wameshikilia hoja yao ya kufanya maandamano kesho. Serikali pia imeshikilia msimamo wake pia kuwa kesho hakuna maandamano. Serikali ina hoja ya kwa kutokea uvunjifu wa amani na CHADEMA pia wana hoja ya kutaka vijana wao waliotekwa waachiliwe huru au warudishwe wakiwa wamekufa. Mfano...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya kesho tar. 23.09.2024 yataleta hatma ya Taifa letu.

    Kesho siku ya jumatatu tar. 23.09.2024 yanatarajiwa kufanyika maandamano ya wananchi wakipinga serikali kutochukua hatua stahiki dhidi ya Utekaji, utesaji na mauaji ya watu ambayo yamekuwa yakifanyika hivi karibuni hapa Nchini. Maandamano hayo yanakwenda ama kuwamaliza kabisa kisiasa na...
  17. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Mbowe itisha harambee tuwachangie polisi watakalinda maandamano kesho 23 Septemba 2024

    GTs, Kama tunavyoelewa kesho ni siku kubwa sana hapa Tanzania. Nina wazo; Kwa sababu siku zote serikali imekuwa ikiwanyonya askari polisi wanajikuta wana misongo ya mawazo na kukosa uzalendo. Iko hivi serikalini posho siku hizi ni 150,000 wanavyodai wao kwa watu wasiokuwa na cheo. Naamini hao...
  18. JamiiForums Tanzania Kuelekea Maandamano ya Maombolezo Septemba 23: Je, Mamlaka Zimejiandaa?

    Kuna kila dalili kwamba maandamano yatafanyika, lakini ni kwa ukubwa gani ni ngumu kutabiri. Kwa wiki nzima hii, kamata kamata imekuwa kubwa sana, hadi vibaka na wezi wameamua kuchukua likizo ya muda. Tumeshuhudia pia maandalizi makubwa ya polisi wa kutuliza ghasia, polisi wa sare, na...
  19. JamiiForums Tanzania Nimejitolea kuchangia damu waandamanaji wa kesho. Nani ananiunga mkono?

    Wanasema kutoa ni moyo na kama wanadamu tunatakiwa kusaidiana wakati wa majanga. Kesho chadema wanaingia kufanya maandamano bila ya kuwa na kibali licha ya katazo ya jeshi la polisi hapa kuna kila dalili ya watu kupata ulemavu wa kudumu, kuvuja damu nyingi sana hivyo kwa uungwana niliokuwa nao...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mwana Simba na kesho Simba inacheza halafu huendi kuisapoti kumkaanga Mwarabu naomba ukae pembeni na usiishangilie tena Simba, huna faida

    Kesho kwetu ni siku muhimu mno kuliko Simba day, kesho ndio ile Ubaya Ubwela yetu sisi. Sasa Kama ulkuwa ukienda uwanjani kuiangalia Simba ikicheza na Fountain gate, ukaenda Simba day ndugu yangu wa faida, kesho ndio cku muhimu kuliko cku zote katika maisha ya Simba msimu huu. Tusipokwenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…