kero

  1. JamiiForums Tanzania KERO Mashine za Mpunga zimekuwa kero na hatari kwa Afya za watu hapa Soko la SIDO - Mbeya

    Hivi Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya pamoja na Watu wako wa Mipango Miji wakati mlipokuwa mnawahamishia Wafanyabiashara katika Soko la Sido hivi mlifikiria suala la afya zao? Mlikuwa mnajua kabisa kwamba lile ni eneo la viwanda ilikuwaje mkawahamishia Wafanyabiashara pale? Kipindi hiki mtu ukienda...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Responded Songwe: Vifusi vilivyokuwa kero Barabara ya Sogea-Machinjioni (Tunduma) vyasambazwa

    Vifusi vilivyowekwa barabarani kwa muda mrefu katika Barabara ya Sogea - Machinjioni katika Halmashauri ya Mji wa Tunduma na kusababisha kero kwa Wananchi vimesambazwa na kutatua kero hiyo kwa kuanza utengenezaji wa Barabara inayotarajiwa kutengenezwa kwa kiwango cha lami. Ni siku nne baada ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara za Pemba ni nyembamba, vyombo vya usafiri vimeongezeka, imekuwa kero na hatari pia

    Kuna ajali ilitokea jana maeneo ya Kanambe Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazi Pemba, gari la fuso ambalo lilikuwa limebeba mchanga liliachia njia na kuanguka. Kuna mtu mmoja alipoteza maisha kati ya 10 ambao walikuwa vibarua waliokuwa wamebebwa ndani ya Fuso hilo, wengine wakipata majeraha...
  4. J

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Maji na Umeme Kahama

    Mimi ni mkazi wa Kahama Mjini, na ningependa kuwasilisha malalamiko kuhusu sekta mbili: Kahama Urban Water Supply (KUWASA) na Tanesco Kahama. Huduma ya umeme imekuwa kero, kwani umekuwa ukikatika mara kwa mara bila taarifa maalum, hadi mara 5-9 kwa siku. Hali kadhalika, huduma ya maji pia...
  5. JamiiForums Tanzania Hii kero ni kwa shule hii Tu au huko kwengine yapo haya?

    Ni shule wasichana mabwepande (Tumaini). Waalimu wamebuni chanzo cha kijiongezea kipato maisha yasonge. Hii ni shule ya boarding kwa wasichana, kidato cha tano na sita. Mwaka huu baada ya shule kufunguliwa mwezi August, wale wanafunzi waliotoka kidato cha tano na kuingia kidato cha sita...
  6. JamiiForums Tanzania KERO Kipande cha Barabara Mbagala-Kongowe ni kero kubwa kwa tunaotumia njia hii

    Hii njia kama wewe ni mkazi wa huku nadhani unaelewa maumivu tunayoopitia wananchi. Hazipiti siku mbili au tatu bila kuwa na shida ya ajali na kusababisha foleni. Lakini wakati mwingine kupelekea vifo. Mfano jana ilitokea ajali na kusababisha vifo pale pale darajani mlimani. Gari lilifeli break...
  7. JamiiForums Tanzania KERO Wizi wa rejareja afanyiwao mkulima katika manunuzi ya mbolea za Ruzuku kanda ya Ziwa

    Tunaomba wizara husika itutolee ufafanuzi juu ya bei ya ruzuku ya mbolea : Mfano sms hapo chini👇🏾👇🏾 Ndugu XXXXXX Na. ------- umenunua DAP - 50 KG idadi 1 Tsh76701.33 kwa [TFRA-06----1] Kama hutambui manunuzi haya piga namba: 0800110153/4 NOTE: Bei anayopewa mkulima ni hio 76,701.33 ila ki...
  8. JamiiForums Tanzania KERO Changamoto za Mifumo ya Kidijitali Katika Hospitali

    Habarini wadau. Ninachangamoto ya kiafya kidogo nipo hospitali. Sasa nimefika hapa nakuta mambo yamebadirika serikali imeamua kutumia mifumo katika tiba Sasa changamoto iliyopo ni tatizo la mfumo kujaza data za ugonjwa ni changamoto. Hadi nesi mmoja analalamika anasema kama ndio hivyo...
  9. JamiiForums Tanzania KERO Kifuru maji hayajatoka kwa muda mrefu

    DAWASA wamekuwa hawatutendei haki wakazi wa maeneo ya Kifuru kwa ukosefu wa maji kwa muda mrefu, na mbaya zaidi hakuna taarifa yoyote ya sbb za ukosefu wa maji.
  10. JamiiForums Tanzania KERO YA MAJI

    Hivi Serikali inafikiria nini hii kero ya maji ambayo imekuwa janga kubwa kwa wakazi wa baadhi ya mitaa jijini Dar es Salaam? Yale marekebisho ya Ruvu juu bado hayajaisha na ni mwezi mzima sasa umeisha!
  11. JamiiForums Tanzania Kero ya Maji baadhi ya mitaa ya Dar es Salaam

    Hili tatizo la maji katika baadhi ya mitaa jijini Dar es Salaam limenifanya nikumbuke kipindi cha utawala wa Rais awamu ya nne (4). Ni zaidi ya siku kama sio 4 na 5 maji hakuna, vipi huko kwenu?! 🙆🏾‍♂️🤔
  12. JamiiForums Tanzania Kero ya kuazimana chaja, unarudi home unakuta chaja haipo

    Vip wakuu ushawai kutana na gasia ya kuazimwa chaja? Na aliezima hayupo? Ila ni kero Balaa. Hivi adi chaja? Unakuta mtu hana kabisa chaja na anamilik tambo la 300000+
  13. JamiiForums Tanzania Jitahidi manukato na marashi yasiwe kero kwa wengine

    It's JEJUTz here! Ni kweli kabisa ni jambo zuri kuoneka mtanashati na mrembo popote uonekanapo.Ni jambo jema kuonekana wa kisasa na unaependeza kwa mpangilio wa mavazi yako l. Ila kuna hii issue moja huwa ni kero na ni nadra mtu kukuambia ila ukweli watu huumia na kugugumia moyoni kimya kimya...
  14. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar es Salaam, ni wakati muafaka kuitokomeza CCM katika uchaguzi wa serikali ya mitaa kutokana na kero ya maji.

    Kutokana na hujuma inayofanywa na DAWASA katika suala zima la kupatikana kwa maji, ni vyema kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa ni vyema kuikataa CCM kusimamia utawala wa mitaa yetu.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Shamira asikiliza kero za mama ntilie na bodaboda Singida ili kuzipatia ufumbuzi!

    Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa Viti Vitatu Bara Ndg. Shamira Mshangama ametembelea wamama wafanyabiashara ya chakula “mama ntilie” pamoja na vijana wa boda boda katika soko la Msufini Singida Mjini. Shamira ameongozana na Mbaraza wa UVCCM Mkoa wa Singida Ndg. Amisa Msele, kamati ya...
  16. JamiiForums Tanzania Mwenye nyumba wangu anafanya maombi yenye kelele kila usiku

    Iko hivi mimi nimepanga nyumba ila huyu mama mwenye nyumba ana kero mimi sio muumini wa dini yeyote ile sasa yeye usiku kucha ni maombi na kelele yaaan hata nikiiingiza demu yeye ni mayoe tu kwa jina la baba sijuiii damu ya Yesu mimi sipendi nifanyaje? Kelele kubwa hata sabufaa sinaa
  17. JamiiForums Tanzania Kero za Cinema

    Kwema wakuu Aisee jana nilienda kuangalia movie mida ya usiku, nilikaa mbele ya mdada flani ivi ambaye mwanzoni nilidhani atakuwa mtaratibu tuu kwasababu alivofika alianza kusalimia watu wote wa karibu yake ila kilichofata nilitamani nihame. Yaan huyu mdada kwanza anapiga makelele, kitu cha...
  18. JamiiForums Tanzania Leo Zingatia Haya Wakati wa Kuchaguana Ili Kupunguza Kero na Taabu.

    Salaam kwa wafuatiliaji wa jukwaa la MMU. Ukiwa umetulia unasoma huu uzi basi jaribu kuweka akilini mambo machache muhimu wewe kijana wa kiume au kike unayetafuta mwenza sahihi na upo kwenye fungu la kupata mahusiano yenye furaha. Vijana wa Kiume Zingatieni haya hapa wakati unatafuta she wa...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Mwanzo nilijua ukiwa tajiri basi umejiepusha na kero ndogo za serikali kumbe tabu iko palepale

    Unaweza kusema labda kwa vile mtu umepambana umetajirika basi utakuwa mbali na kero za serikali kumbe tabu iko palepale Unakimbia kero ya kupanda mwendokasi kwa kununua magari binafsi lakini unakutana na kero ya barabara mbovu, mashimo na foleni Unakimbia kero ya kupanga unaamua kujenga nyumba...
  20. JamiiForums Tanzania Kero za kudate mume wa mtu

    Hey Weekend kwangu ipo poa sana. Natumaini hata yako imetulia, kinyume na hapo jipe moyo, siku hazifanani na pia hazigandi... Leo shangazi nimeona niongee hili suala kidogo la kudate na mwanaume aliye kwenye ndoa. Ninaongea kwa experience yangu na kwa experience ya kuangalia mahusiano ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…