kero

  1. JamiiForums Tanzania KERO Kata za Kikio na Misughaa, mnara wa TTCL unatumia mitambo ya umeme wa jua nakupelekea usiku mawasiliano kukata

    Hapo awali nlileta kero kuhusu kukosekana kwa huduma za kimtandao katika kata za Kikio na Misughaa ,mkoani Singida. Kuhusu kero za mnara wa shirika la TTCL,mnara unatumia mitambo ya umeme wa jua nishati ambayo haitoshi kuundesha,licha ya kuepo kwa nguzo za umeme karibu. Ni zaidi ya kero...
  2. R

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma mbovu basi la Alys Star

    Wakuu habari za usiku, Natumai nyote mko salama. Naomba kushare uzoefu mbaya nilioupata katika moja ya mabasi ya Alys Star yanayofanya safari za Mwanza - Dar. Katika harakati za kutafuta mkate nikitokea pande za kanda maalum kurudi Daslam kupitia Mwanza usafiri ulikua shida kidogo mabasi...
  3. C

    JamiiForums Tanzania KERO Umeme wilaya ya Newala Mtwara unakatika sana

    Umeme ni kero kubwa sana wilaya ya Newala kukaa siku mbili, tatu hata wiki ni kitu cha kawaida bila taarifa yeyote. Tanesco tunaomba sana mliangalie Hili watu wanaumia, biashara hazifanyiki na mbaya zaidi ni tatizo la kudumu
  4. JamiiForums Tanzania Kupunguza kero ya Watumishi kuhama, Serikali ingefanya yafuatayo kwa faida ya wote

    Tuliona ajira za afya mwishoni mwa 2024, Pia Tumeona ajira za walimu zimetoka kwa baadhi ya mikoa mfano Dar, Moro, Pwani n.k na utaratibu ni ule ule, wanakupanga popote, sio ulipoombea wala ulipo, Kwa nini Kabla ya kutoa post za allocation za vituo kwa ajira mpya, mfano wanajua Dar, Shinyanga...
  5. JamiiForums Tanzania Kero zote zinapita lakini kero ya jirani yako kujenga ghorofa angali yako nyumba ni kero ya kudumu kwasababu anakuchungulia kwa juu

    Kero zote zinapita lakini kero ya jirani yako kujenga ghorofa angali yako nyumba ni kero ya kudumu kwasababu anakuchungulia kwa juu Wengi wanakumbwa na hii kero wengine hata wanafikia hatua ya kukata tamaa kwasababu wanachunguliwa kwa juu Mwenye nyumba wakati mwingine anatamani kukaa uwani...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wasira anaanza kuwa kero, ataleta mtafaruko

    Matamshi yake yataleta mpasuko wa watanganyika. Kina kitu kibaya anakilenga. 1. Mara tutatawala milele 2. Mara tutawashughulikia 3. Mara wako honeymoon..matusi makubwa 4. Mara tulileta uhuru hivyo wana miliki ya nchi hii Senile imbecile imeshamtembelea Hata hao mnaowategemea kukulindeni...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Maji Lukobe - Morogoro

    Salaam, kwa namna ya pekee naomba kuwasilisha kero yangu kuhusu upatikanaji wa maji manispaa ya Morogoro. Kumekuwa na utaratibu wa maji kutoka kwa siku, napo kwa masaa machache. Ni ajabu kwasababu Morogoro ni mkoa ambao una vyanzo vingi sana vya maji, lakini wananchi wa manispaa ya Morogoro...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali itwae ardhi kubwa kigamboni iwe na hotel za kisasa na kumbi kubwa za mikutano, itasaidia kuondoa kero ya kufunga barabara

    Kigamboni ni eneo potential ambalo kama serikali ikiamua kutengeneza conference facility ya kimataifa, itaondoa kero ya kufanyia mikutano katikati ya jiji na kuathiri shughuli za kijamii. Kigamboni ni mini Zanzibar na I na utulivu mkubwa na beach safi
  9. L

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara kutoka Pasua - Mahembe inaendelea kuharibika, tunaoitegemea inaweza kutuathiri

    Nitoe wito kwa mamlaka zinazohusika kushugulikia uharibifu uliofanywa na mvua katika Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma, barabara ya kutokea Pasua kuelekea Mahembe iliyosombwa na maji, imesababisha changamoto kwa Watumiaji wa barabara hiyo. Licha ya kuwa barabara hiyo inatumiwa na magari ya...
  10. K

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali iangalie jinsi ya kuondoa kero ya moshi karibu na Uwanja wa Nyamagana, Mwanza

    Uwanja wa Nyamagana ambao upo katikati ya Jiji letu la Mwaka ni moja ya sehemu ambayo inatukutanisha Wadau wengi wa michezo hasa mchezo wa miguu. Pamoja na maboresho ambayo yamefanyika uwanjani hapo lakini bado changamoto ni suala la moshi unaotokana na mapishi unaotawala eneo hilo mara nyingi...
  11. J

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa OLAMS unagoma

    Mfumo wa OLAMS ukiweka verification number kutoka RITA inagoma kabisa. Shida ni ipi!!?
  12. M

    JamiiForums Tanzania KERO Tanesco Mkoa wa Kinondoni Kusini- Kimara/Kibamba

    Tangu mwaka huu 2025 umeanza TANESCO wamekuwa na huduma mbaya ndani ya Mkoa huu wa kwao wa kiutendaji (KINONDONI SOUTH) hasa njia ya umeme ya kutoa huduma kuanzia Kimara mpaka Kibamba. Umeme Kila siku unakatika katika ndani ya muda mfupi na wakati mwingine kukatwa kwa muda mrefu kwa maelekezo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania KERO Miaka Saba nasubiri Namba ya Kitambulisho cha NIDA

    Niende moja kwa moja kwenye jambo ambalo limekuwa changamoto na kero kwa Watanzania walio wengi. Kero yangu naipeleka kwa mamlaka inayohusika na kutoa vitambulisho vya taifa (NIDA). Kuna baadhi ya watu wamekosea taarifa kama vile alama za vidole kuingiliana, na mwishowe wamekosa namba. Mtu...
  14. JamiiForums Tanzania Maisha yakiwa rahisi sana hugeuka kero

    Mtu ambaye hafanyi kazi yoyote,hafanyi usafi, lakini anapata mahitaji yake yote bure lazima ataanza kulala sana,kukesha kwenye tv,kuanza kunywa pombe,kucheza kamari,kutumia dawa za kulevya,kufanya starehe sana muda wote kwa sababu anakuwa anaishi maisha rahisi sana hivyo atalazimika kuishia...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya usafiri wa Daladala wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro

    Mimi ni dereva wilayani rombo imetokea kero ya askari polisi kitengo cha usalama barabarani kukamata madereva wasio na uhakiki wa leseni wanakamata gari wanapeleka kituoni kitu kinachosababisha usumbufu kwa abiria na wasafiri wanaotoka na kuingia wilayani rombo.... Ninaomba mamlaka husika...
  16. B

    JamiiForums Tanzania KERO Foleni ya magari Mizani Mikumi ni kero kubwa, mbona haipati ‘solution’ au kuna watu wananufaika?

    Sisi Wakazi wa Mikumi Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro tuna kero ya muda mrefu ya foleni ya magari makubwa ya mizigo katika Mizani ya Mikumi, hali ambayo inatufanya kuhofia kutokea kwa ajali katika eneo hilo. Foleni hiyo inatokana utaratibu wa askari wakati wa ukaguzi wa magari hayo mpaka...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka na Watu wa Afya ya Mazingira mpo wapi kusimamia Soko la Vyakula Ilala Boma jijini Dar?

    Hii ni picha ya watu Wanafanyabiashara juu ya maji taka yanayosambaa eneo hilo la soko. Kwa Hali hii tutapona milipuko ya magonjwa? Au tunasubiri mlipuko uanze kisha ziundwe Kamati kufuatilia? Kipindupindu kikianza kinaharibu shughuli zote na uchumi wa mtu mmoja mpaka familia.
  18. JamiiForums Tanzania Kero: Huduma mbovu Ofisi ya TANESCO Kahama.

    Ni hali ya kushangaza sana na taratibu ya ovyo. Leo nimetembelea ofisi ya TANESCO Kahama, kwa issue inayohusu umeme...cha ajabu naambiwa nirudi nikapige simu nakuomba huduma nikiwa nyumbani...namba niliyopatiwa ni namba ambayo muda wote iko "busy" 0733105423 TANESCO KAHAMA MJITAFAKARI.
  19. JamiiForums Tanzania KERO Kituo kidogo cha magari Simike - jijini Mbeya kinahatarisha usalama wa abiria

    📖Mhadhara (71)✍️ Mbeya ni mkoa ambao unakabiriwa na matukio ya ajali za mara kwa mara. Maeneo ambayo ajali hutokea sana ni; 1. Mlima nyoka, 2. Mteremko wa Simike (Nzovwe), na 3. Mlima wa Mbalizi. Licha ya ajali nyingi kutokea katika maeneo hayo hasa Mteremko wa Simike (Nzovwe), lakini mabus...
  20. JamiiForums Tanzania Sigara ni kero kwa wasiotumia

    Uvutaji wa sigara hadharani umekuwa kero kubwa sana mitaani na katika maeneo yenye mikusanyiko ya watu kama vile vituo vya daladala na baadhi ya maduka ya rejareja. Ikumbukwe kuwa sigara ni hatari zaidi kwa asiyetumia (second-hand smoker), yaani yule ambaye ametulia zake mara ghafla moshi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…