Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.
Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).
Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.
Mamlaka za wanyamapori nchini Kenya zimeanzisha uchunguzi baada ya video za mtalii wa Kihispania kusambaa mtandaoni zikimuonyesha akimimina bia kwenye mwembe wa ndovu. Tukio hilo lililofanyika katika hifadhi binafsi ya Ol Jogi Conservancy, Kaunti ya Laikipia, limezua hasira kubwa kwenye mitandao...
Beki mkongwe mwenye jina kubwa katika soka la Afrika Mashariki, Joash Onyango, amezua gumzo mara baada ya kujiunga rasmi na kikosi cha Kenya Police FC akitokea timu ya Dodoma Jiji ya Tanzania. Onyango, ambaye amewahi kung’ara na miamba wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba SC na Singida Black Stars...
Mahakama Kuu nchini Kenya imeamuru kusitishwa kwa muda ujenzi wa kanisa la kudumu au jengo lolote la kidini katika majengo ya Ikulu, nchini humo.
Agizo hilo la muda pia linazuia ujenzi kama huo katika Ikulu za Rais zilizoko maeneo mbalimbali nchini au hata jengo lolote lenye mafungamano na...
Wakuu habari,
Nimekwama hapa kupata details za kutosha kuhusu haya mazungumzo ya Rais wa Marekani Donald Trump na aliyekuwa makamu wa rais Kenya Rigathi Gachagua
Mwanaharakati wa haki za binadamu nchini Kenya, Boniface Mwangi, ametangaza kuwania urais katika uchaguzi wa mwaka 2027. Mwangi, ambaye amekuwa mstari wa mbele kuongoza maandamano ya kupinga serikali yanayoshirikisha vijana wengi, anataka kugeuza nguvu hizo za maandamano kuwa harakati ya...
Nyie mnaoamini
Maisha ni pesa kuna mbinu zaidi ya pesa
CHAN imenifundisha mengi sana nisidharau mtu sababu ya pesa
unaweza ukaahidiwa mamilioni ukaishia kupata history ulikuwepo CHAN
Nimewaza yale mamilioni waliyoahidiwa yameishia wapi
Na nyie wanahabari na unafiki wenu wa DRW NA MADAGASCAR...
Barua husika hiyo OFFICIAL statement from CAF.
The body will release the same Next Week.
CAF DECISION STATEMENT
Following a thorough review of the FIFA match report, referee assessments, and official video footage of the CAF Africa Cup of Nations Qualifier between Kenya (Harambee Stars) and...
Uchumi wa kenya uko juu japokuwa hawana rasilimali nyingi kama Tanzania
Kenya inajangwa upande wa kasikazini, Tanzania yetu hii uchumi umeganda haueleweki kama unapanda au unashuka rasilimali tunazo nyingi sana Mungu ametubariki ila ndo taifa Masikini Afrika ,what a shame my broh?
Ukiwa na elfu...
Niko mkoani Mwanza, nina kama tani 200 za mchele, kwa sasa ninafanya biashara ya kawaida hapa hapa Mwanza
Ninahitaji kupanua soko langu na kuanza kusafirisha kupeleka nchi jirani.
Ninaomba iwapo yupo mdau ambae ana uzoefu na biashara hiyo anisaidie mchakato mzima kuanzia vibali na namna ya...
Kitabu hiki ni hadithi ya kweli kuhusu Julie Ward, msichana wa Kiingereza aliyeuawa nchini Kenya mwaka 1988. Julie alikuwa mpenzi wa wanyama na alifanya kazi ya kupiga picha za wanyama katika Hifadhi ya Masai Mara. Siku moja, aliondoka Nairobi kwenda kufanya kazi yake, lakini hakurudi tena...
Mchezo wa Robo fainali kati ya Kenya na Madagscar umemaliza kwa magoli 1-1 na sasa kinachosuburiwa ni muda wa ziada (Extra time) yaani dakika 30 za hatma baada ya hapo itakuwa mikwaju ya penalty endapo kama matokeo yatabaki yalivyo.
Alphonce Omija 55'
Fenohasina Razafimaro 69'
Sasa hivi kinacho tofautisha mamlaka ya police na vijana wa kenya ni miguu ya kuku tu, maana hawa vijana mahala popote wanafika huku wakiwa tayari kiwatokee chochote.
Spirit ya mau mau ipo ndani yao, historia ya machafuko hata baada ya uhuru imetengeneza jadi ndani yao, thus kenya haitakaa...
SIJAJUA WA KENYA WANAWASHWA NINI NA WATANZANIA
Hivi kwanini wa Kenya wanapenda sana mashindano na wa Tanzania kila kitu wanataka kujilinganisha na sisi , hivi wa Kenya hawana majirani wengine. Wa Kenya ni washari sana ndioomaana nchi yao haina utulivu
Nimepata majibu wanajua Tanzania ni...
Na Emily Mwakilembe
Mungu huzawadia Dunia watu au Viumbe waliobeba kusudi la kuikomboa Jamii au Watu wake, Huwezi kumuona Mungu kwa Macho yako lakini Mungu huonekana kupitia Watu waliobebeshwa jukumuu la kusudi lake. Kasome Mt 2:1-23 SUV.
Tundu Lissu anaweza kututafakarisha sana!! Je Lissu ni...
Kama ni soko la cider Tanzania tayari liko kubwa sana kwa sababu karibia wadada wote wa mjini kila ukiwagusa kinywaji wanachotaka kwanza ni Savannah, hata wakaka wa mjini wengi tu wanapenda Savannah. Kama ni apples za kutengenezea cider zimejaa tele Njombe na Lushoto, mkitaka mtaletewa za...
Wote tuliguna pale makundi ya CHAN yalivyotangazwa. Kenya alipangwa kundi ambalo tulidhani asingetoboa ila mwisho wa siku ameshinda mechi mbili akiwa anacheza pungufu na kamaliza hatua ya mwanzo kwa kuongoza kundi. Kenya wanacheza pia kiufundi. Hawachezi tu jihadi, unaona kabisa wanacheza...
GT
Naona kaamuamua kupiga dongo. Baadhi ya viongozi kiaina.. anasema hakuna maana yakuwa na ushirikiano na watu wakandamizaji wa demokrasia.
===
During the EALA games opening ceremony, Mombasa senator Omar Hassan took stage and urged East African leaders to fight for common standard and strive...