kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. SI KWELI Marekani yawawekea vikwazo viongozi Kenya kwa kuchochea vurugu, yumo Naibu Rais

    Kumekuwepo na taarifa kwenye mitandao ya kijamii lakini pia gazeti la Mwananchi limeandika kuwa Serikali ya Marekani imewawekea vikwazo wanasiasa wanne wa Kenya pamoja na familia zao akiwemo Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua baada ya kupata taarifa kuwa wanasiasa hao walipanga na kufadhili...
  2. Huyu ndiye Charlene Ruto, binti wa Rais wa Kenya anayewasumbua vichwa wanaume wengi

    Unaambiwa wanaume wa Kenya wanapigana vikumbo kusaka penzi la Charlene Ruto binti wa Rais Ruto. Ama kweli uzuri wa mtu upo machoni mwa mtu
  3. Z

    Tunachokishuhudia Kenya si maandamano ya amani bali ni vurugu na uhalifu

    Maandamano ya tarehe 20/3 tulishuhudia maduka yakivunjwa na waandamanaji na kupora mali za watu, tumeshuhudia magari yakichomwa moto, matairi yakichomwa barabarani vurugu tupu. Juzi trh 27/3, Tena tumeshuhudia makanisa na misikiti ikichomwa moto na waandamanaji, lakini pia shamba la Rais...
  4. B

    Maandamano Kenya, Museveni ajiandaa kujihami

    Mwenzako akinyolewa, za kwako tia maji. Imedhihirika kumbe tunaopata shule siyo kina sisi peke yao, bali na serikali husika hasa zile zenyewe sugu kwenye kukiuka haki za watu. Hapa, Uganda tayari wanajizatiti kwa mazoezi mazito mazito kungali asubuhi: Sijui makwetu jikoni au kule...
  5. Gachagua anatoa kauli kama za Hayati Magufuli. Ndiye ataleta machafuko Kenya

    Kauli kama hii ni mwiba mkali sana kwa muzee RAO ambaye anajinasibisha kuwa kinara na bingwa wa mabadiriko ya siasa za Kenya. Jamaa anamponda Odinga na Uhuru na kusema waende wakafanya bargain amendment wa walichopora na siyo kutaka hand shake! Taarifa kwenye vyombo vya habari vya Kimataifa...
  6. Wakati Wapinzani wa kule 'Zuzu Nation' wakimpitisha aliyeko kwa mwaka 2025 huko Kenya Odinga adai ameibiwa Kura 2022

    "Nilipata Kura Milioni 8 na Ruto alipata Kura Milioni 5 cha Kushangaza Tume mbovu ya IEBC ikamtangaza Yeye kuwa Mshindi wa Urais nchini Kenya" amesema Kiongozi wa Upinzani nchini Kenya Raila Odinga. Chanzo: Nipashe ya Radio One leo Pole sana Mzee Odinga ila nikuambie tu wakati Wewe...
  7. Magufulification of Kenya Ruto ana-challange mfumo?

    Kama mchambuzi wa siasa ndani ya Afrika mashariki unaweza kutoa opinion gani kwa yale yanaoendelea kutokea nchini Kenya? Willium Ruto ameamua kuwa jeuri na nyang'au na hivyo kuiondoa kenya kwenye wimbi la muda mrefu la ufisadi na uhuni uliokuwa umekithiri nchini Kenya? Je, Ruto ameamua...
  8. B

    Nyimbo za Tanzania zatumika kuhamasisha maandamano Kenya

    Hii ni katika maandamano yaliyopigwa marufuku na serikali ya Ruto leo. Katikati ya Nyomi hilo Kibra Nairobi, ni Raila Amolo Odinga (Baba) akiwa kazini. Kwa hakika hakuna mwingine kama yeye: Nyuma ya shughuli ni goma zito kutokea Tanzania, "hakuna kama yeye." Kweli kwenye miti hakuna wajenzi...
  9. Kenya: Moto wazuka kwenye shamba linalomilikiwa na familia ya Kenyatta

    Moto mkubwa umezuka katika ardhi inayomilikiwa na familia ya Kenyatta karibu na barabara ya Eastern Bypass huko Ruiru, kaunti ya Kiambu. Mlipuko huo wa moto unakuja saa chache baada ya mamia ya wahuni kuvamia shamba la Northlands na kuharibu mali ya thamani isiyojulikana. Kulingana na ripoti...
  10. Nguvu ya Umma Afrika Mashariki ni funzo tosha

    Nchi za kiafrika tunajifunza nini kwa mandamano haya? nijambo la kushangaza ya kwamba raisi aliyejinadi kushinda uchaguzi wa uraisi na kuthibitishwa na tume ya uchaguzi, yanayotokea leo yanatia aibu, waandamanji waliojitokeza kwa mujibu wa takwimu ni zaidi ya asilimia 77, hapa swali ni je nani...
  11. Maandamano Kenya: Mmoja auawa kwa kupigwa risasi

    Imeelezwa tukio limetokea Mjini Kisumu wakati wa maandamano ya kupinga Serikali yanayofanyika kwa mara ya pili yakiratibiwa na Umoja wa Azimio. Imeelezwa kumetokea vurugu kati ya Polisi na umati wa watu uliokuwa ukishiriki maandamano, Askari walitumia mabomu ya machozi lakini waandamanaji...
  12. Kenya: Waislamu wadai ni dhihaka IGP kupiga marufuku maandamano yaliyoruhusiwa na Katiba

    Taasisi ya Waislamu kwa haki za binadamu(MUHURI) imesema ni dhihaka kwa watu wa Kenya na sheria zake kwa Inspekta generali wa Polisi, Japhet Koome kuhutubia kupitia vyombo vya habari vya Kenya na kusema maandamano yaliyopangwa na Azimio yamepigwa marufuku kwa kiburi. MUHURI imemkumbusha IG...
  13. J

    Pamoja na Katiba Mpya Kenya, Polisi wapiga marufuku Maandamano. CHADEMA jifunzeni kitu Hapo!

    Tunavyoiendea Katiba Mpya tujifunze kwa wenzetu waliotangulia kuzipata ili ya kwetu iwe bora zaidi Mfano hapo Kenya pamoja na Katiba Mpya bado polisi wamezuia Maandamano ya kesho sasa Wana tofauti gani na Tanzania yenye Katiba ya zamani!! Mlale unono!
  14. Bunge la Kenya matatani na balozi wa Marekani kuhusiana na ushoga

    Nchi ya Marekani ndiyo muamuzi wa Dunia. Mbungea wa Kenya amemlaumu balozi wa Marekani kuwa ndiye anayeeneza ushoga nchini Kenya, pia amesema Marekani ndiyo inayoharibu dunia Ukweli ni kuwa Kenya hailingani na Marekani hata theluthi hivyo haiwezi kupingana na Marekani, Marekani wakiamua Kenya...
  15. M

    Kwa namna Serikali ya Rais Samia ilivyoshindwa kuwatumikia Watanzania maandamano kama ya Kenya yalipaswa kuitishwa mara moja

    Watu wanalalama uraiani tu kwenye vijiwe vya kahawa kuwa maisha yapo juu. Mchele umetoka kwenye bei ya Tsh. 1300 mpaka 3800 baada ya Rais Samia kuingia madarakani. Huu ni mfano tu. Sasa hivi tunaambiwa pesa za umma hasa huko serikalini zinatafunwa kama peremende. Watanzania wanatakiwa kujua...
  16. Mahakama Kuu yasitisha uamuzi wa Serikali kuzuia Vituo 6 vya TV vilivyorusha Maandamano ya Azimio

    Mahakama Kuu ya Kenya imechukua maamuzi hayo baada ya Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya (CA) kutishia kuvifutia leseni na kutoza faini vituo hivyo ikidai vimekiuka kanuni kwa kurusha matangazo hayo mubashara. Amri ya Mahakama imezuia CA kuendelea kutoa vitisho kwa Citizen TV, NTV, K24, KBC, TV47...
  17. Kenya: Rais Ruto achukua mikopo 8 mipya ndani ya miezi minne

    Imeelezwa mikopo hiyo iliyochukuliwa chini ya kiongozi huyo wa Kenya Kwanza, William Ruto ina thamani ya Ksh Bilioni 43.4 iliyosainiwa kati ya Septemba 1 hadi Desemba 31, 2022. Hazina imeeleza kuwa mikopo imesainiwa kati ya Serikali ya Kenya, Wadau wa biashara na kati ya Nchi na Nchi...
  18. Azimio wamtumia taarifa IGP Kenya kuomba ulinzi maandano ya Machi 27

    Muungano wa Azimo la Umoja nchini, Kenya umemwandikia barua Mkuu wa Jeshi la Polisi la nchi hiyo (IGP), Japhet Koome kumtaarifu kuhusu kufanya maandamano na maombi ya Kitaifa. Barua hiyo iliyosainiwa na mwenyekiti wa halmashauri kuu ya Azimio la Umoja, Dk Wycliffe Oparanya imeandikwa leo...
  19. Serikali ya Kenya yatishia kuvifutia leseni vituo vya TV vilivyorusha maandamano ya Azimio

    Mamlaka ya Mawasiano ya Kenya (CA) imetoa tishio hilo kwa vituo 6 vya runinga kwa kuonesha matangazo ya moja kwa moja ya #Maandamano hayo ya Machi 20, 2023 yaliyolenga kuipinga Serikali yakiratibiwa na kiongozi wa Azimio La Umoja Coalition, Raila Odinga. CA imevitaja vituo hivyo kuwa ni Citizen...
  20. Kenya: Gavana aagiza Wafanyakazi kutoa 10% ya Mishahara yao Kanisani

    Gavana wa Kenya amewaamuru watendaji wapya wa kaunti kutoa sadaka ya 10% kutoka kwenye mapato yao kwa kanisa. Gavana wa Nandi Stephen Sang alisema agizo hilo linahitajika kwa sababu makanisa ya eneo hilo yanahitaji uungwaji mkono kutoka kwa viongozi na serikali ya kaunti. "Maafisa wakuu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…