Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.
Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).
Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.
Nimetoka kutizama Documentary ikiielezea maandamano ya Kenya .
Documentary ile imeenda mbali na kukusanya ushahidi wa video kabisa ikimuonesha askari aliyehusika kumuua mwandamanaji mmoja .
Video hii itabaki milele na haki itakuja kupatikana tu . Ushauri kwa wote wanaojiona invisibles na...
Kenya uchahaguzi mkuu ujao wanaoanga kupunguza majimbo 27 na hivyo wabunge 27 wanwenda kukosa kazi. Raia wa Kenya wanataka idadi ya Wabunge ipungue na sio iongezeke.
==================
Aliyekuwa Kiongozi wa Chama cha Farmers, Irungu Nyakera, Aonya Kuhusu Hatma ya Majimbo 27 Nchini Kenya...
Hii ndio njia ya kudili na hawa CCM kuliko kutwa nzima kujaza servers ya Jf na post za kulia lia tu. Tuachane na post za kulia lia.
Sasa kwa upande wa Tanzania, huyu Mwamba wa Finland anapaswa kutumiwa email za kutosha kwamba anatembelea taifa lisiloheshimu misingi ya utawala Bora, akipata...
Kuna mtu anaweza kuelezea sababu za magari ya Kenya kutoka Malawi yanayopitia Tanzania kutaabishwa katika mipaka yetu kutokana na mgogoro wetu na Malawi?
Wakili Mpale Mpoki anayeongoza jopo la Mawakili wa Kumtetea Tundu Lissu ameimbia mahakama kuwa leo kuna observe kutoka Kenya Wakili nguli Martha Karua. Lakini pia yupo Wakili Ferdinand Makore na Michael Lugina kwa upande wa utetezi.
Martha Karua ni mwanasiasa mashuhuri wa Kenya, wakili wa...
Jumanne wiki hii, Rais William Ruto wa Kenya aliwasili Beijing na kuanza ziara ya siku tano nchini China. Ziara hii inafanyika baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kuanza “vita vya ushuru” dhidi ya dunia nzima, na Bw. Ruto ni rais wa kwanza wa nchi ya Afrika kutembelea China katika kipindi...
Katika kujisomea kwangu mambo ya uchumi. Naona sasa ni rahisi kukopa kenya na kuja kuwekeza Tanzania. Riba yao ni nafuu kuliko ya kwetu.
Kwa hari hii sisi tutaendela kuwa chini kiuchumi. Serikali na BOT fanyeni mpango mpunguze Riba ili wananchi wakope pesa na wawekeze.
What is the CBK base...
Nchini Kenya shirika la anga la Kenya (Ksa) lilitoa tahadhari kuhusu uwezekano wa kuanguka mabaki ya chombo cha Angani chenye jina la NORAD ID 61909 / 2024 -2025 R ni kipande kikubwa cha Roketi chenye uzito usiojulikana.
Taarifa iloyotolewa ijumaa shirika hilo lilieleza kuwa vipande hivyo vya...
Dr Miguna miguna
President @Suluhu Samia has charged CHADEMA leader, @TunduALissu—her main opponent—with treason, over CIVIL DISOBEDIENCE calls of #NoReformsNoElection. This is the kind of insecurity, desperation and stupidity which African tyrants excel in.
Civil disobedience is a...
Basi leo wakati wa jioni baada ya mihangaiko nikawa nafanya mazoezi.
Ni kawaida yangu kufanya angalau mara tatu kwa wiki.
Kwa kuwa tuko ktk kipindi cha maombolezo kipindi cha kuomba toba na neema ya Mungu nilikuwa nasoma Biblia Kitabu Cha Daniel kuanzia sura ya kwanza hadi ya 11 kwa njia ya...
Rais wa Kenya William Ruto amesema yuko tayari kushindwa kwenye uchaguzi mkuu wa 2027 endapo hatatimiza matarajio ya Wakenya, akisisitiza kuwa hatashikilia madaraka kwa nguvu iwapo wananchi hawataridhishwa na utendaji wake.
Akizungumza Jumamosi katika ziara yake ya Kaunti ya Nyeri, eneo la...
Maafisa wa forodha nchini India wamemkamata mwanamke mmoja raia wa Kenya mwenye umri wa miaka 43 kwa kosa la kusafirisha kilo 1.7 za kokeini zenye thamani ya kati ya Ksh225 milioni na Ksh300 milioni.
Kwa mujibu wa The Indian Express, mwanamke huyo aliyefahamika kwa jina la Emily Rodha...
Police use teargas to disperse fans who were trying to force their way into Nyayo stadium for the #MashemejiDerby between Gor Mahia and AFC Leopards.
=================
Leopards, Gor fire blanks in season's first Mashemeji Derby
AFC Leopards and Gor Mahia played out a 0-0 draw in a Kenyan...
Japokuwa Tanzania ni nchi yenye idadi ya raia zaidi ya Kenya lakini hatuingizi mitumba mingi.
Tafiti iliyofanyika chuo kikuu cha Massachusetts (MIST) nchini Marekani imelinganisha idadi ya raia wa Nigeria kuwa ni mara 4 zaidi ya Kenya lakini nchi hiyo imekuwa ya pili kuingiza MITUMBA nyuma ya...
Wamasai - Tanzania na Kenya.
Wakurya - Tanzania na Kenya.
Wajaluo - Tanzania na Kenya.
Wanyamwanga - Tanzania na Zambia.
Waha - Tanzania na Burundi.
Wachagga - Tanzania Peke yake.
Kwanini Wachagga ni kabila la mpakani lakini halipo Tanzania na Kenya bali lipo Tanzania pekee??
Au mimi...