kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yawezekana Boniface Mwangi na Agather Atuhaire wakawa waongo, ila Mbunge aliyesema "Walitakiwa warudishwe wakiwa kwenye gesi" kachukuliwa hatua gani?

    Mjadala mkubwa kwa sasa ni habari zinazowahusu Boniface Mwangi kutoka Kenya na Agather Atuhaire kutoka Uganda walipokuwa Tanzania. Wakati serikali ilikanusha madai ya ukiukwaji wa haki zao, baadhi ya raia na mashirika ya kiraia walitilia shaka mazingira ya tukio hilo. Lakini hata kama...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vile Chuki ya Tanzania kwa Kenya was Institutionalized

    By Meshach Yobby (Facebook post) I think this will be my last post on Tanzania, and why their hatred for us was institutionalised. I'll try to summarise. Before independence, Nyerere wanted Kenya, Uganda, Tanganyika, Zanzibar, to form the East African Federation. He knew it would be easier to...
  3. JamiiForums Tanzania Gitonga, mwana tiktok maarufu kutoka Kenya asema Boniphace Mwangi ni muongo wa kutupwa

    Wakenya wameshtukia uongo wa Boniphace Mwangi, wanamuanika upuuzi wake kila mahali.
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ile kesi ya kenya waliofungua kuwashtaki israel kumuua Yesu iliishia wap?

    Mwaka wa 2013 wakenya walifungua kesi kuwashtaki israel kumuua Yesu, mwenye updates kesi iliendaje atutaarifu https://www.timesofisrael.com/kenyan-lawyer-suing-israel-over-jesuss-death/
  5. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kampuni ya Kukodisha Helikopta Kenya Yakataa Kuwahudumia Chama cha Chaumma

    Kampuni moja ya kukodisha helikopta nchini Kenya imekataa kutoa huduma kwa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) Hata sisi tutapata vya kwetu,l😍😍😍
  6. B

    JamiiForums Tanzania PAMOJA VISA iko mbioni kurahisisha watu kuzunguka katika nchi wenyeji wa mashindano ya CHAN 2025

    03 June 2025 Nairobi, Kenya PAMOJA VISA iko mbioni kurahisisha watu kuzunguka latika nchi wenyeji wa mashindano ya CHAN 2025 Michuano ya CHAN 2025 ikiwa inakaribia, nchi tatu za Afrika ya Mashariki zimejipanga kutoa viza maalum PAMOJA VIZA, itakayowapa mashabiki wa soka kuzunguka katika...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: Mchungaji achomwa moto na Wananchi kwa kosa la Kumlawiti Mtoto

    Mchungaji huko Nyeri anayeshutumiwa kumbaka mvulana wa miaka tisa ameuliwa na wanakijiji wenye hasira. Simon Ndegwa, ambaye alikuwa mchungaji katika kanisa la True Disciple Ministry na anayefahamika vizuri na familia ya mvulana huyo, anashukiwa kufanya kitendo hicho cha kinyama kwa wavulana...
  8. JamiiForums Tanzania Ni jambo la kawaida kuona wana siasa wanaigiza tupate burudani mfano kule Kenya ila Tanzania wamezidi

    Hapa natoa mfano ila wenzetu Stive Nyerere aka lucas mwashamba kazidi mpaka tumemfahamu kwa kushiriki misiba mpaka kububujikwa na machosi. Sasa angalia movie. Unajua kwa nini lucas mwashamba kuwa na kuweka dot to dot.
  9. JamiiForums Tanzania Demokrasia ya Kenya si demokrasia tena bali chombo cha kuwa pumbaza.

    Kinachonishangaza ni kwamba wanafanya uchaguzi mwaka 2027, but wapo busy as if uchaguzi unafanyika July 2025!... Jamii ya magharibi ilituweza sana kutupatia mfumo ambao baadhi bila kujielewa umewafanya wawe busy for nothing, the way wachache wanavyotaka tanzania yetu iwe hivyo! Wenzetu kila...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba mnifundishe kiswahili cha Kenya maana nateseka sana huku, natongoza nakataliwa

    Habari gani wana JF. Wakuu nawakaribisha wale wote wanaojua kiswahili cha Kenya hasa misamiati wanayotumia wanapoongea, misemo yao pamoja na ule mchanganyiko wao wa maneno ya kiingereza na kiswahili (code switching &code mixing). Nasema hivi kwa sababu sasa hivi nikitongoza wanawake wa Kenya...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Tazama list ya wabunge wa Kenya na elimu zao, utaona aibu kuwa Mtanzania

    Wandugu Katika pitapita zangu, nimekutana na list ya wabunge wa Kenya, ambayo pia inaonyesha taarifa zao kama elimu nk, aisee nimeona aibu kenge Nahisi ni sawa kabisa Tulia kuondoa page ya list ya tunaowaita wabunge wa Tanzania, wale wanaotuita Kenge kwa website ya Bunge maana ni aibu sana...
  12. JamiiForums Tanzania SI KWELI Donald Trump amtaka Rais Samia kuiomba msamaha Kenya

    Trump katoa masaa 24 kwa rais wa TZ mama Samia kuomba msamaha kwa kenya na kasema hapendi mtu anaechezea kenya na asipo fanya ivyo ata sitisha misaada yote marekani anayo saidia TZ.
  13. JamiiForums Tanzania Kenya vs Tanzania: PLO Lumumba weighs in!

    https://youtu.be/NOoBaOwO6g8?si=_q8xG3hw918zLpm7 Mwana-umajumui wa Uafrika kutoka Kenya katoa maoni yake kwenye chaneli ya Fanya Mambo Afrika kuhusu mambo yaliyojitokeza wiki iliyopita hapa Tanzania kuhusu baadhi ya wanaharakati waliokuja nchini kwa ajili ya kesi haramu inayomkabili Tundu Lisu...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Asilimia 70 ya wafanyakazi wa serekali ya Kenya wana vyeti feki,na asilimia 30 wa mashirika wana vyeti feki

    Wafanyakazi wa serekali ya Kenya asilimia 70.na wa mashirika aslimia 30.,wana veti feki.kwa mujibu wa serekali ya Kenya
  15. JamiiForums Tanzania Wakenya watoa tahadhari kwa Watalii na Wageni kutembelea Tanzania kutokana vitendo vya Utekaji, Utesaji

    Mfumo Mbovu wa Uchaguzi na Katiba mbovu vimetuletea viongozi wasiofaa waliotetea matendo ya utekaji, utesaji na ubakaji wa wageni tena Bungeni, matukio ambayo yametangazwa duniani kote. Tumejionea wenyewe bungeni jana. Sasa Gen Z wa Kenya wamekuja na Mpya. Wanaitangazia Dunia Tanzania sio...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa UG na Kenya walifanya vurugu gani?

    Kwa ufupi sana Kabla sijaanza kumlaumu Rais wangu wa wadau wengine waliotoa maneno makali kwa wanaharakati na hatimaye kusababisha matusi mazito kutoka Kenya. Naomba kujua wale wakenya walifanya vurugu gani? Ama walikiuka sheria gani za nchi na za kimataifa? Kati ya sisi na wao nani alimfanyia...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Dr Tulia kuwa wabunge walipochangia mtafaruku wa Tanzania na Kenya walikiuka maadili na kanuni za Bunge umeonyesha Naibu Spika hafai kabisa!

    Naibu Spika, alisimamia michango ya "waheshimiwa" Wabunge walipokuwa wakibwabwaja na kutoa kauli za kitoto na kijinga katika suala lililoanzishwa na Raisi Samia kuhusu wanaharakati wa Kenya kuja Tanzania. Wakati huo Dr Tulia hakuwapo bungeni. Wengi wetu tulishitushwa sana na kauli zilizotolewa...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto: I commend Tanzania for overtaking Kenya in goods and services that we trade in in East Africa

    https://youtu.be/3k0m6Rkuv9g
  19. JamiiForums Tanzania Tanzanians vs Kenyans on media: Kenya 3 Tanzania 0

    https://youtu.be/tHAAFLufHDw?si=l5sS0QYnVPjadanB Sikiza hiyo: Kuna mpambano mkali sana kati ya Wakenya na Watanzania kwenye mitandao baada ya sekeseke la Wanasheria na Wanaharakati wa Kenya kukamatwa, kuteswa na kufurushwa kwenda makwao. Wabunge wa Tanzania kina msukuma darasa la 7 anadai...
  20. JamiiForums Tanzania Kenya ilipopinduliwa mwaka 1982, Nyerere aliokoa Taifa lililomchukia

    Ilipofika Agosti 1 mwaka 1982, alfajiri ilianza kwa kimya kilichojaa tafakari ya taifa. Lakini katika kiza cha mapambazuko, lilizuka tone la radi la kisiasa, jaribio la kumpindua Rais Daniel arap Moi. Kiongozi wa mpango huu wa kisasi hakuwa jenerali wala kamanda wa juu, bali askari wa hadhi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…