kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya ndani wa Kenya aamuru polisi kupiga waandamanaji wenye nia ovu risasi

    https://youtu.be/05F_thApmuY?si=2FY_ab04Lot3yoUn Hili limetafsiriwa tofauti na wananchi waliokuwa wanamsikiliza. Waziri Murkomen ameliambia jeshi la polisi la Kenya kama atatokea mtu anataka kukudhuru, kuchoma kituo cha polisi au kupora bunduki basi askari wamuwahi kabla.
  2. JamiiForums Tanzania Gen Z wa Kenya hawana mbeba maono (kiongozi) hivyo wanakuwa kama kikundi cha wahuni

    Ni mda sasa kumekuwa na harakati za gen z kutoka kenya ila tokea wanaanza walijitanabaisha kama ni leaderless hili lilikuwa kosa la kimkakati Kwenye historia ya dunia kwenye movement yeyote ile lazima kuwe na mbeba maono au kìongozi Movement yeyote ikikosa kiongozi ambaye sio wa kuchaguliwa...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "We must protect the peace and stability of our country" DP Kithure Kindiki

    https://www.youtube.com/watch?v=49v7v-yUWdY
  4. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nauliza kwa nia njema tu: Hivi Gen Z Kenya wanataka nini?

    1. Ilianza na Finance Bill, ikabadilishwa to take care of their demands. 2. Loss of life inaendelea. jana wamekufa 8 3. Rutto amesema watulie atawasikiliza, hawataki Sasa wanataka nini?
  5. JamiiForums Tanzania Nimeiangalia Kenya kilichotokea jana. Serikali yetu msipuuze wananchi kamwe

    Kamwe msipuuze Wananchi. Wananchi wakipuuzwa na wakakasirika hugeuka kuwa wanyama tena zaidi ya wanyama wa mwituni. Msidhani kwamba yanayotokea Kenya hayatakuja hapa. Kenya ni karibu na Tanzania. Binadamu ni kiumbe kinachoiga. Mambo haya huanza kama moto ndani ya pori na kusambaza...
  6. JamiiForums Tanzania Wakati Kenya wana Gen Z, Tanzania tuna Gen Ziro

    Japo wana mapungufu na mazabe yao, wakenya wanatushinda parefu. Nchi yao ni chini ya nusu ya Tanzania lakini wana uchumi mkubwa kuliko wetu japo si wao bali waingereza na magabacholi. Pili, wanajitambua wakati sisi. hatujitambui wala kutambua wengine. Tatu, Wakenya wanajua wanachotaka kama...
  7. JamiiForums Tanzania Polisi wa Kenya wachezea kipigo na kuzidiwa na wananchi nchini Kenya je matukio haya yanaweza kuwa na matokeo chanya ya mabadiliko ?

    Polisi wa Kenya wachezea kipigo na kuzidiwa na wananchi nchini Kenya je matukio haya yanaweza kuwa na matokeo chanya ya mabadiliko ? Je, matukio haya yanaweza kukomesha uonevu wa mamlaka kwa wananchi ? je, matukio haya yanaweza kukomesha mauwaji ya raia yanayofanywa na polisi ? je, matukio...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vituo vya Televisheni vya KTN na NTV vyaafungwa na Serikali ya Kenya baada ya kuendelea kurusha maandamano

    Wakuu, Vituo vya Televisheni vya KTN na NTV vimeondolewa hewani baada ya kuendelea kurusha matangazo ya moja kwa moja ya Maandamano, ikielezwa kuwa ni baada ya kukiuka amri ya kutoonesha matangazo hayo Soma Pia: Kenya: Serikali yaagiza vyombo vya habari kusitisha matangazo ya moja kwa moja ya...
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gazeti la Kenya limeto Orodha ya watu 60 wanaokumbukwa kwenye maandamano ya leo 25.06.2025 Kenya. Je, gazeti gani Tanzania linaweza kufanya hivi?

    Wakuu Gazeti la Daily Nation la Kenya limechapisha orodha ya watu waliofariki kutokana na maandamano ya mwaka 2024 huko Kenya ambao wengi walikuwa ni Genz. Je kuna gazeti la Tanzania linaloweza kufanya hivi? === Mwaka mmoja uliopita, Kenya ilikumbwa na wimbi la maandamano yaliyosababishwa na...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Serikali yaagiza vyombo vya habari kusitisha matangazo ya moja kwa moja ya maandamano ya Gen Z

    Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya (CAK) imetoa agizo kwa vituo vyote vya runinga na redio nchini kusitisha mara moja matangazo ya moja kwa moja ya maandamano yanayoendelea ya tarehe 25 Juni. Katika waraka ulioandikwa tarehe 25 Juni 2025 uliowasilishwa kwa "Vituo vyote vya Runinga na Redio"...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maandamano ya Gen Z: Jaji Mkuu Mstaafu David Maranga na waandamanaji watawanywa kwa mabomu, raia wasiopungua 16 wauawa

    Hatimaye imewadia Jumatano iliyosubiriwa kwa hamu tarehe 25 Juni 2025, ambapo Gen Z wa Kenya wanatarajiwa kufanya maandamano, Swali niJe, waandamanaji watakuwa salama dhidi ya polisi? HALI ILIVYO KABLA YA MAANDAMANO KUANZA Polisi wametumia waya wenye miba kuzuia lango la kuingia Bungeni kabla...
  12. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afisa ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma Kenya (ODPP) imeidhinisha mashtaka ya Mauaji ya mwanablogu Ojwang dhidi ya watuhumiwa 6

    Afisa ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma nchini Kenya (ODPP) imeidhinisha mashtaka ya mauaji dhidi ya watu 6 wakiwemo maafisa wa polisi 3 wakiongozwa na mkuu wa kituo cha polisi cha Central jijini Nairobi Samson Talaam kuhusiana na mauaji ya mwalimu Albert Ojwang kwenye seli za polisi Hatimaye...
  13. JamiiForums Tanzania Kauli ya kikwete "zakuambiwa changanya na zako" na ile kauli nyengine ya kusifia uchaguzi wa Kenya kuwa wa uwazi zaidi inatupa picha gani ?

    Kauli ya kikwete "zakuambiwa changanya na zako" na ile kauli nyengine ya kusifia uchaguzi wa Kenya kuwa wa uwazi zaidi inatupa picha gani ? Nilimsikia kikwete anasema ukienda kupiga kura "za kuambiwa chanyanya na zako" pia alisema uchaguzi wa Kenya ni wa uwazi sana kiasi kwamba mtu anaweza...
  14. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msikie Kikwete, Alisema Uchaguzi wa Kenya ni wa Uwazi, lakini Tanzania anataka Tuendelee na staili zetu za Uchaguzi

    Kabla Hatujaanza Kudiscus, msikilize Mzee kikwete akisifia uchaguzi wa kenya jinsi ulivyo na Uwazi, kiasi kwamba katika chumba cha kupigia simu wakala anaruhusiwa kuingia na simu na kupiga picha matokeo na kuyatuma makao makuu ya chama. Lakini pia kikwete alishawahi kusema haya (((((Ninaomb a...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mbunge afunguliwa kesi kisa kutumia jina lake na picha katika mabango ya miradi inayofadhiliwa na fedha za umma

    Wakili mmoja wa jiji amempeleka mahakamani Mbunge wa Kajiado Kaskazini, Onesmus Ngogoyo, akimtuhumu kwa kuvunja sheria kwa kuweka jina lake na picha kwenye miradi inayofadhiliwa na fedha za umma. Wakili Shadrack Wambui anasema uamuzi huo ni kinyume na maadili na unakiuka Sheria ya Uongozi na...
  16. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wa Kenya wakumbatia ujuzi wa kidijitali huku kukiwa na ongezeko la ajira za kujitegemea

    Akiwa ameketi kwenye kiti cha plastiki kwenye kituo cha teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) katika mji wa Ndhiwa, takriban kilomita 366 kutoka Nairobi, mji mkuu wa Kenya, vidole vya Jackline Juma vinacheza kwa kasi wakati anapobonyeza kibodi ya kompyuta. Kijana huyo mwenye umri wa...
  17. JamiiForums Tanzania Ni jambo la kushangaza Tanzania yani Track IMEI na faraga ni yoyote.Ila Kenya mwenye mfumo ambao anamiliki polisi ni kitengo cha DCI

    Directorate of Criminal Investigations (DCI) ndio mwenye ruhusa nyingi za Kenya kuwa na mfumo wa polisi kwenye kitengo chake kila idara ila hapa kwetu .Nimeshangaa yule mwenye shaidi kuwa kama DCI. Ina maana polisi yoyote Tanzania hawana utaratibu wakujua mipaka yao.Leo unashangaa hata polisi...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Nakumbuka kusoma mahali siku Rais Magufuli anakufa, Samia alikuwa Kenya; najiuliza hadi leo kwanini aliondoka nchini akijua Rais ana hali mbaya?

    Wana JF, siku zote nina akili ya udadisi sana. Hili swali nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu sana. Kwamba zile siku Raisi Magufuli anaonekana ni wazi atakufa na hata akiwaita Mkuu wa Majeshi na viongozi wa dini, Samia aliondoka nchini akawa pale Kenya, na hiyo haikuwa ziara rasmi ya kiserikali...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini uhuru na haki ya kikatiba ya kuandamana kenya inawaangamiza gen z wenyewe?

    Ni kwasababu hawajui wanachotaka, hawamjui aduai yao au hawaelewi namna bora ya kudai mabadiliko wanayohitaji na badala yake wanajikita kwenye uharibifu wa samani za umma ambazo baadae zitakarabatiwa kwa kodi zao wenyewe? Wasipojitahimini kwa kina na kutumia hekima na busara kuwasilisha na...
  20. JamiiForums Tanzania Kibonzo: Kenya vs Tanzania

    Kuna tofauti kubwa sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…