kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kikwete akimbilia Kenya

    Kuna tetesi kwenye mitandao ya kijamii JK kakimbilia kujificha nchi jirani ya Kenya. Hizi tetesi nimezipata Facebook ila nafuatilia kwa karibu sana kutoka vyanzo vyangu vya karibu na uhakika (reliable trusted sources) Kwa hiyo muwe wa vumilivu. Senior JF local and international...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Tamko la Tume ya Haki za Binadamu Kenya: Hakuna Uchaguzi Unaofanyika Tanzania Leo 29 Oktoba 2025

    Ndugu Raia wa Afrika Mashariki, Tunasimama hapa tukiwa na wasifu wa utambulisho halali kama Raia wa Afrika Mashariki, tukiwa tunasukumwa na ukweli kwamba Jumuiya ni yetu sote. Tunaendelea kushuhudia ukiukwaji wa haki za binadamu na uharibifu wa demokrasia katika eneo lote, na kama raia wa...
  3. JamiiForums Tanzania Jamaa yangu huko Bongo ni CCM kindakindaki ila kwa Kenya husifia sana upinzani

    Huwa siwaelewi baadhi ya Watanzania, kuna huyu mshikaji huwa namuona anavyosifia CCM na ni mwanachama kindaki ndaki wa chama tawala, ila humkosi kwenye ufuatiliaji wa kila kinachofanywa na wapinzani Kenya, husifia sana na kushabikia matukio yote ya upinzani ikiwemo ukosoaji wa serikali na hata...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndege yaanguka Kenya, wote waliokuwamo wafariki

    Mamlaka ya Usafiri wa Anga ya Kenya (KCAA) imethibitisha kuwa ndege ndogo iliyokuwa ikisafiri kutoka Diani kwenda Kichwa Tembo imeanguka katika Kaunti ya Kwale. Taarifa ya Mkurugenzi Mkuu wa KCAA, Emile N. Arao, ya leo Oktoba 28, 2025, imesema ndege hiyo yenye namba za usajili 5Y-CCA, iliyokuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Sababu za Kisaikolojia na Kimuundo Zinazofanya Maandamano Kama ya Kenya, Nepal au Madagascar Yasitokee kwa Tanzania.

    Utulivu wa kisiasa wa Tanzania, ukilinganishwa na nchi nyingine za Afrika na Asia ambazo zimepitia machafuko au mapinduzi ya umma, unatokana na misingi ya kihistoria na mshikamano wa kisaikolojia uliojengeka kwa muda mrefu. Ufuatayo ni uchambuzi wa sababu tano kuu za kisaikolojia na kimuundo...
  6. JamiiForums Tanzania Rwanda na Uganda zaongoza EAC kasi ya Ukuaji Uchumi, Kenya Nchi Pekee Uchumi wa Kati, EAC, Tanzania yarejeshwa Kundi la Nchi Masikini!. WHY?!

    Wanabodi Rwanda na Uganda ndizo nchi mbili pekee kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki, EAC katika orodha ya nchi ambazo uchumi wake unakua kwa kasi katika nchi za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara huku Tanzania ikisukumwa chini na kutupwa tena kwenye kundi la nchi masikini za kipato cha chini...
  7. JamiiForums Tanzania Tumefika Salama Bondo Nchini Kenya kumzika Baba

    Salaam, Pamoja na pukurukushani za Polisi na uhamiaji kutukamata na kuzuia Mipaka tusiende Kenya, Walio wengi tumefanikiwa kufika Bondo, Kaunti ya Siaya Nchini Kenya kuhudhuria Mazishi Pia tutarudi salama muda tunaotaka iwe mchana au usiku. Kwa kutumia Boti, Boda au Gari.. Haikuwa kazi...
  8. JamiiForums Tanzania Mch. Morwabe kutoka Kenya atoa onyo kwa Rais Tanzania kuelekea Uchaguzi Mkuu

    https://youtu.be/zrupDG6XOqw?si=Fm1UfLmdpaNqo-7c Anasema: 1. Watanzania mwombeeni Rais wenu Samia Suluhu Hassan na serikali yake kwa ajili ya usalama wa nchi.. 2. Kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kufungia kanisa ili lisiabudu Mungu aliye hai ni jambo la hatari sawa na kucheza na waya...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi hawa watu wanajadili mambo gani hapo msibani hapo Kenya kwa RAO?

    Naowaona wako busy tu na simu zao huku watu wengine wakiwa makini kusikiliza maudhui ya msiba. Hebu angalia picha yao hapa chini.
  10. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza Ijumaa Oktoba 17, 2025 kuwa Sikukuu ya kitaifa ya kumuenzi Odinga

    Serikali ya Kenya imetangaza Ijumaa, Oktoba 17, 2025 kuwa sikukuu ya umma kwa heshima ya aliyekuwa Waziri Mkuu, Raila Odinga, aliyefariki dunia Oktoba 15, 2025 akipatiwa matibabu nchini India. Katika tangazo maalumu la gazeti la Serikali Na. 15007 iliyochapishwa mapema Oktoba 16, 2025, Katibu wa...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TANZIA Raila Amolo Odinga afariki dunia nchini India kwa mshtuko wa moyo

    Raila Odinga (RAO) afariki dunia huko India. Amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 80. R.I.P Papa. Utangulizi Raila Amolo Odinga ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri zaidi katika historia ya Kenya na Bara la Afrika kwa ujumla. Kwa zaidi ya nusu karne, amekuwa nembo ya mapambano ya demokrasia...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je, taifa halina Gen Z kama Kenya na Madascar? Au wao wanadili na Bongo fleva na Simba na Yanga?

    Dunia nzima sasa inaonekana watakaoleta mabadiliko ni Gen Z. Lakini kwa Tanzania wanawaza kujadili Singeli na bongo fleva. Huku Taifa lao likienda mlama kwa ufisadi, upendeleo huku maisha yao yakiwa hovyo kabisa Gen Z wa Tanzania hovyo kabisa kama makamasi ya ndama.
  13. JamiiForums Tanzania Apotezwe nani ili Watanzania waingie barabarani kama Kenya?

    Kapotea Mdude watanzania wapo Kimya. Kapotea Ben Saanane wapo kimya. Kapotea Azory Gwanda wapo kimya. Orodha ni ndefu sana.... Je, Wakenya wangekubali ndugu zao kupotezwa namna hii na hao wasiojulika a?
  14. L

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Kenya wapata ufadhili wa kusoma lugha ya Kichina nchini China

    Lugha ya Kichina imeendelea kupata umaarufu katika nchi mbalimbali duniani, na imekuwa ni chaguo kwa vijana wengi ambao wanaona faida yake katika soko la ajira. Shule nyingi duniani hasa za barani Afrika zimejumuisha lugha hii kwenye mitaala yao ya masomo, ikionyesha jinsi ambavyo lugha hii...
  15. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaharakati wawili kutoka Kenya watekwa Uganda wakiwa katika Kampeni za Bobi Wine

    Wanaharakati wawili kutoka Kenya, Bob Njagi na Nicholas Oyoo, walidaiwa kutekwa nyara Oktoba 1, 2025 mchana na wanaume wanne wenye silaha wanaoaminika kuwa maafisa wa usalama. Wawili hao walikuwa wameungana na mgombea urais wa National Unity Platform (NUP), Bobi Wine, katika kampeni zake nchini...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtanzania Ombaomba Bandia Akamatwa Nairobi Pangani Kenya

    Raia wa Tanzania ambaye ni mtoto alikamatwa Kenya na umma maeneo ya Pangani Nairobi kwa kujifanya ombaomba huku miguu yake ikiwa shwari. Hii ni baada ya umma kunugunika kuhusu uongezekaji wa raia wa Tanzania ambao ni ombaomba mitaani hio. Nchini Kenya, wenye ulemavu hujulikana kwa number...
  17. JamiiForums Tanzania Mtalii aliyejaribu kukosoa safari yake ya kitalii Kenya amepokea backlash kubwa sana kwenye social media

    Kuna mtalii alikuja Africa (specfically Kenya) kuja kutalii wanyama kisha akapost video mtandaoni kuonesha kuwa hajavutiwa na safari hiyo. Kwamba no overrated Matokeo yake anepokea backlash kubwa mno kutoka kwa social media Angalia hapa, everything is in the pictures
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kenya, Tanzania kufuzu kwa raundi inayofuata ya mchujo wa kufuzu kwa Kombe la Dunia la FIFA la Wanawake U-20

    Luanda, Angola Septemba 28, 2025 Tanzania imesonga mbele kwa jumla ya mabao 7-0 dhidi ya Angola. Baada ya kushinda 4-0 katika mechi ya kwanza, Tanzania ilipata ushindi wa 3-0 katika mechi iliyochezwa Jumamosi mjini Luanda. Winfrida Hurbert Gerald, Asha Omary Ramadhani na Neema Paul Kinega...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu Kenya 2027 kugharimu TSh. Trilioni 1

    Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC) imesema inahitaji KSh bilioni 57.3 (TZS trilioni 1.09) kwa ajili ya kuendesha Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027. Awali, Tume iliomba KSh bilioni 61.7 (TZS trilioni 1.18), lakini Hazina ya Taifa ikapunguza kiasi hicho. === The Independent Electoral and...
  20. JamiiForums Tanzania POTOSHI Video hii ni maandamano ya wananchi Kenya wakimuonya Rais Ruto kuongeza muda wa uongozi

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…