Kenya total paved roads hit 21,000km in 2019

Teargass

JF-Expert Member
Apr 23, 2018
19,160
15,428
Kenya total tarmaced roads increased by 1500km in one year to 21,000km in 2019. In 2018, Kenya had a total of 18,600km of paved roads in the entire country. This was three two times what Tanzania had the same year. Paved roads are expected to 23,000km in 2020

IMG_20200611_130314.jpg
 
Thanks for showing us Kenha updates for 2007. Do you know the meaning of KENHA by the way? And do you know their mandate?

Hahahah naomba unipe link ya hilo jedwali lako uliulopost hapo niifate hiyo habari mwenyewe nijisomee.

Kelele tu hapa kujimwambafayi na hamna kitu. kumbuka Tz tuko 13k paved road. While kunyans mko 9k
 
Kuna Mbongo, kipindi fulani nyuma, nusra tutoane macho humu JF kwa hili la barabara, sikumbuki alikua @tusan au nani.
Wao wakitumia Morogoro road hudhani ndio Tanzania yote.
 
Kuna Mbongo, kipindi fulani nyuma, nusra tutoane macho humu JF kwa hili la barabara, sikumbuki alikua @tusan au nani.
Wao wakitumia Morogoro road hudhani ndio Tanzania yote.
Kenya imewadouble hadi change ya barabara za Kenya ikabaki😂😂
 
Duh hivi unaanzaje kuambia Mtanzania asome lidokument lote hilo, hehehe eti nenda page 208 yaani hapo atajichokea na nakuhakikishia hata kwa dawa hakuna atakayejituma kiasi hicho.
Hehehe I know their laziness. He won`t even download the document and that`s why I made it simple for them by screenshoting that section.
 
Duh hivi unaanzaje kuambia Mtanzania asome lidokument lote hilo, hehehe eti nenda page 208 yaani hapo atajichokea na nakuhakikishia hata kwa dawa hakuna atakayejituma kiasi hicho.

Nashukuru sana kwa hiyo document. Nitakaa nayo vizuri na nitaitumia kuwachapa haswa.

Halafu hakuna huo upuuzi wa Kilometre za paved road. Bado mko ligi ndogo ni maneno tu.

Kunyaland 9k paved road while Tanzania 13km paved road.
 
Ukishindwa kusoma tafuta mtu akutafsirie.
 
Back
Top Bottom