kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya imetajwa rasmi kimataifa kama 'failed state'

    Kutokana na umaskini uliotopea ambao umepelekea Kenya kuwa na matatizo sugu miaka nenda miaka rudi kama njaa, uhaba mkubwa wa maji, slums, ukosefu wa ajira, gharama ghali za maisha, ufisadi wa kutisha, ukosefu wa usalama na utulivu, mauaji ya mara kwa mara hasa wakati wa uchaguzi, ugaidi...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: DUh! Kuna wakati Watanzania akili huwakaa vizuri, hadi wanaanza kutamani katiba nzuri yenye ubora kama hii yetu Kenya

    Hapa katibu muenezi wa CCM anazungumza na kuachia nondo, sijui nini huwaingia Watanzania ghafla mnabadilisha na kuanza tena kuponda umuhimu wa katiba nzuri.
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Female Circumcision"among the Kikuyu

    >>> https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC2164470/pdf/brmedj04013-0030d.pdf
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tetesi: Is Kenya being sidelined in EA? Tanzanian appointed head of South Sudan Revenue Authority

    Fursa nyingine imeiruka Kenya ikaenda Tanzania. Siku za hivi karibuni nchi za Afrika mashariki zimekuwa zikingia kwenye deals/miungano au ushirikiano kwa mambo mbali mbali huku Kenya ikiwachwa inje. Hii imefanya Wakenya waulize mitandaoni "Why is the region hostile to us" , "Why do they hate...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya yafilisika, yachapisha pesa toka CBK

    Serikali ‘yachapisha’ pesa mpya kufufua uchumi NA FAUSTINE NGILA SERIKALI ‘imechapisha’ fedha mpya za Sh15 bilioni katika kipindi cha siku saba kufikia Septemba 25, kulingana na takwimu kutoka Benki Kuu ya Kenya (CBK). Serikali ilipokea Sh46 bilioni kama mkopo wa muda kutoka CBK ambazo...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wawili wa shambulio la Westgate wakutwa na hatia, mmoja aachiwa huru baada ya ushahidi dhidi yake kukosekana

    ========== Three persons accused of commissioning a terrorist attack at Westgate Mall in Westlands, Nairobi, in September 2013, will know their fate today. The sentencing comes seven years after the attack that killed 67 people and left scores injured scores marking the end of the long wait...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Why does Kenya lie on number of internet subscribers?

    For the past 4 months Tanzania has witnessed two of her sons i.e. Diamond Platnumz and Millard Ayo clocking 1 bln views on youtube and one wonders why has Kenya not achieved that success? Going by the number of arguments i have put foward before that Tanzania with a broader fiber optic covarage...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchumi wa Kenya unazidi Kuzorota: Mabati Rolling Mills commissions new manufacturing plant in Athi River

    Safal Building Systems Business Head Manish Garg demonstrates to Machakos County Deputy Governor Francis Maliti Steel coils going through profiling Surf building for pre engineered buildings Mabati Rolling Mills (MRM) Off Mombasa Road) October 1, 2020. Image: CHARLENE MALWA Mabati Rolling...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Another expressway coming

    It was announced by the Chief of staff in the office of the president Mr. Nzioka Waita, that another expressway from Mau-summit to Malaba at the Kenya-Uganda border will come up soon after the Rironi-Mau summit expressway(190 km) is completed. I also have sources privy to the project that...
  10. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 VIDEO: Wachambuzi wa siasa Kenya washangazwa na muundo wa uchaguzi wa Tanzania, wasema walitoka huko kitambo sana

    Hawa ni wachambuzi wa kisasa nchini Kenya wakishangazwa na namna Tanzania ilipo bado kwenye ukoloni japo ni wa watu weusi.
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Naibu Rais Rutto apigwa mabomu ya machozi akiwa Kanisani ili kuzuia kuchanganya dini na siasa

    Huko Kenya leo polisi walizingira Kanisa na kupiga mabomu ya machozi ili kuwazuia wafuasi wa Naibu Rais William Ruto kufanya siasa. Rutto aliyekuwa ndani ya Kanisa ameilaumu serikali yake mwenyewe kwa mashambulizi hayo lakini polisi wamemjibu walikuwa wakitimiza majukumu yao ya kikatiba...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Airways Fall of the Pride - Angalia Wizi

    For years, Kenya Airways has been a symbol of Kenya's national pride, the national carrier and Kenya's flag in the air to various destinations. But after nearly 10 years of debt, mismanagement and misfortune, Kenya's parliament has made steps to nationalize the airline. The huge losses will soon...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii kali bandugu - Kenya Institute of Curriculum Development, TSC, Microsoft and Safaricom to train teachers on digital skills

    What you need to know: The partnership also includes Safaricom that has offered education bundles to teachers and learners. Last week, KICD council appointed a new director, Prof Charles Ong’ondo, an academic from Moi University. The national curriculum regulator is rolling out a digital...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Airways (KQ) inazidi kufilisika

    Lishirika linazidi kuporomoka huku jamaa wanajifanya kizungu kingii. Utopolo mtupu.
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya 2nd most preferred investment destination in Africa

  16. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchache wa abiria na mizigo wafanya SGR nchini Kenya kuendeshwa kwa hasara. Je, Tanzania tutakwepa hali hii?

    Hi ni habari katika mtandao wa The Africareport.com ambapo imeripoti kuwa, uchache wa abiria na volume mdogo ya mizigo plus madhara ya COVID19, kumesababisha reli hiyo kuendesheshwa kwa hasara na sasa wanashindwa kulipa mkopo uliotumika kujenga reli hiyo. Habari hii inaeleza kuwa, tatizo...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wizi wa fedha za umma waendelea Kenya

    Wananchi wana ibiwa mchana kweupeee huko Kenya 😄😄😄😄😄 ==== The Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) is pursuing a Chinese firm that was overpaid Ksh.400m for the supply of mobile-clinic containers. EACC said in a statement on Tuesday that investigations show Estama limited...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Infrastructure projects that will cement Uhuru legacy

    His excellency President Uhuru Kenyatta is in a hurry to finish a lot of projects that will forever entrench his legacy as one of Africa's greatest builders. Roads Nairobi Region: i) Nairobi expressway U/C (27.1 km) running from mlolongo to JKIA and ending up in westlands, this elevated 8,6 and...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wimbo wa taifa la Kenya

    Wimbo wa taifa la Kenya inavutia kweli. Tazama video. Maoni ya Watanzania ni ipi kuhusu wimbo wa taifa la Kenya? Ila natoa ilani, kama una utoto usicomment.
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya, Chinese space station deal alarms US

    After the Huawei saga,Kenya has been thrust into the centre of yet another fresh row between the US and China over a multi-billion dollar space programme that Washington says will put its dominance at risk. The US space agency NASA on Wednesday warned that Beijing was using the space deal with...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…