kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. D

    GE2020 VIDEO: Wachambuzi wa siasa Kenya washangazwa na muundo wa uchaguzi wa Tanzania, wasema walitoka huko kitambo sana

    Hawa ni wachambuzi wa kisasa nchini Kenya wakishangazwa na namna Tanzania ilipo bado kwenye ukoloni japo ni wa watu weusi.
  2. J

    Kenya: Naibu Rais Rutto apigwa mabomu ya machozi akiwa Kanisani ili kuzuia kuchanganya dini na siasa

    Huko Kenya leo polisi walizingira Kanisa na kupiga mabomu ya machozi ili kuwazuia wafuasi wa Naibu Rais William Ruto kufanya siasa. Rutto aliyekuwa ndani ya Kanisa ameilaumu serikali yake mwenyewe kwa mashambulizi hayo lakini polisi wamemjibu walikuwa wakitimiza majukumu yao ya kikatiba...
  3. Kenya Airways Fall of the Pride - Angalia Wizi

    For years, Kenya Airways has been a symbol of Kenya's national pride, the national carrier and Kenya's flag in the air to various destinations. But after nearly 10 years of debt, mismanagement and misfortune, Kenya's parliament has made steps to nationalize the airline. The huge losses will soon...
  4. Hii kali bandugu - Kenya Institute of Curriculum Development, TSC, Microsoft and Safaricom to train teachers on digital skills

    What you need to know: The partnership also includes Safaricom that has offered education bundles to teachers and learners. Last week, KICD council appointed a new director, Prof Charles Ong’ondo, an academic from Moi University. The national curriculum regulator is rolling out a digital...
  5. Kenya Airways (KQ) inazidi kufilisika

    Lishirika linazidi kuporomoka huku jamaa wanajifanya kizungu kingii. Utopolo mtupu.
  6. M

    Kenya 2nd most preferred investment destination in Africa

  7. S

    Uchache wa abiria na mizigo wafanya SGR nchini Kenya kuendeshwa kwa hasara. Je, Tanzania tutakwepa hali hii?

    Hi ni habari katika mtandao wa The Africareport.com ambapo imeripoti kuwa, uchache wa abiria na volume mdogo ya mizigo plus madhara ya COVID19, kumesababisha reli hiyo kuendesheshwa kwa hasara na sasa wanashindwa kulipa mkopo uliotumika kujenga reli hiyo. Habari hii inaeleza kuwa, tatizo...
  8. Wizi wa fedha za umma waendelea Kenya

    Wananchi wana ibiwa mchana kweupeee huko Kenya 😄😄😄😄😄 ==== The Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) is pursuing a Chinese firm that was overpaid Ksh.400m for the supply of mobile-clinic containers. EACC said in a statement on Tuesday that investigations show Estama limited...
  9. Kenya: Infrastructure projects that will cement Uhuru legacy

    His excellency President Uhuru Kenyatta is in a hurry to finish a lot of projects that will forever entrench his legacy as one of Africa's greatest builders. Roads Nairobi Region: i) Nairobi expressway U/C (27.1 km) running from mlolongo to JKIA and ending up in westlands, this elevated 8,6 and...
  10. Wimbo wa taifa la Kenya

    Wimbo wa taifa la Kenya inavutia kweli. Tazama video. Maoni ya Watanzania ni ipi kuhusu wimbo wa taifa la Kenya? Ila natoa ilani, kama una utoto usicomment.
  11. Kenya, Chinese space station deal alarms US

    After the Huawei saga,Kenya has been thrust into the centre of yet another fresh row between the US and China over a multi-billion dollar space programme that Washington says will put its dominance at risk. The US space agency NASA on Wednesday warned that Beijing was using the space deal with...
  12. Kenya inavyonyanyasika na Tanzania

    Kuna hali ya sintofahamu inaendelea nchini Kenya inayoshindwa kutafsiriwa kama ni Kenya inferiority complex ama vipi Kenya ipo desperate sana kupambana na Tanzania kwenye maeneo ambayo imeachwa mbali. Tulifikiri wenge liliishia kwenye kupaka lipsticks barabarani kumbe wamekuja mpaka na...
  13. D

    Chopa iliyokodiwa Kenya kwa ajili ya kutumiwa na mgombea urais wa JMT kupita CCM badala yake imeanza kutumiwa na Kassim Majaliwa

    Hapa ni Ukerewe ambapo Kassim Majaliwa amefanya mkutano wa kampeni leo kwa kutumia Chopa. Mkutano wa Majaliwa umepelekea mkutano wa Lissu kuchezewa figisu ambapo haujafanyika. Hata hivyo Chopa hii ilikodiwa ili itumiwe na John Magufuli mgombea urais JMT kupitia CCM
  14. Kenya: Markets Construction Boom

    A silent tide is coming to take over the informal trade in Kenya. GOK and County Governments in collaboration with the world bank are undertaking a kes 33 billion project to construct modern, mega fresh produce markets across the country. The markets will come fully equipped with necessary...
  15. Consortium to undertake High Grand Falls Dam multi-billion project in Kenya

    The High Grand Falls Multi-Purpose Reservoir project is one of LAPSSET Corridor projects, planned to be on River Tana. The project principle components are the High Grand Falls dam and hydro power plant. This water supply project is projected to cater for the needs of 15 million people, solving...
  16. Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

    Nairobi commuter rail a project funded by the world bank to the tune of $290 million has started taking shape . The start date of the service is October 2020. Here is a list of what has been done and what is still in progress. Track Already 160 km of 200 km of rail has been rehabilitated in...
  17. Experiment From Kenya Selected for China’s Space Station

    The United Nations Office for Outer Space Affairs (UNOOSA) and the China Manned Space Agency (CMSA) announced the winners of their joint initiative to conduct experiments on board the China Space Station (CSS) during a side event of the 62nd session of the Committee on the Peaceful Uses of Outer...
  18. Kenya building new fishing port

    What you need to know: The announcement is part of the government’s measures aimed at tapping into the blue economy sector. Key in his priority, the Head of State said, is to redevelop the Liwatoni fish landing site into a modern fishing port. All fishing vessels operating in the Kenyan waters...
  19. Mafaili ya FinCEN: Benki za Kenya na watu binafsi wafanya miamala haramu yenye thamani ya Kshs trilioni 6

    Taasisi za Kikenya, makampuni na watu binafsi ni sehemu ya dola za kimarekani Trilioni 2 kwenye miamala inayotiliwa shaka yakibainika kwenye uchunguzi uliochukua mwaka mmoja. Walau kampuni 53 za Kikenya na watu binafsi wameonekana kwenye rekodi za benki zilizovuja zilizowasilishwa idara ya...
  20. Kenya Affordable Housing Progress

    Construction The new housing units built by GOK along park road ,ngara area, kiambu county,machakos county, kisumu county are ready for occupation. Park road project having 1800 units while the Ngara project has 1400 units. All units in these areas will be allocated by the end of the year...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…