kelele

  1. Nchi inapaa, kelele lazima zitasikika tu, mitano tena

    Tuliokuwepo tangu awamu ya kwanza tunafahamu kwanini kelele za huyooo huyooo, mchinjeee mchinjeee zinasikika kwa wingi. Nchi imepaa ndani ya muda mfupi tu wa awamu hii unexpected. Ukiona nchi inapaa kwa kutumia vyanzo na rasilimali zilezile walizonazo awamu nyingine maana yake Kuna mirija ya...
  2. K

    Afadhali simba kafungwa ili tuepukane na kelele za wanasiasa

    Nimefurahi sana hakuna cha Mama wala nini,ni mwendo wa Spana za Gwajima na uchungu kwa wale wapendwa wetu waliopotea hatuna mda wa furaha mpaka Tundu lussu awe huru
  3. PreGE2025 G55 arudi CHADEMA baada ya kujivua uanachama, asema kelele za watu ndizo zilimuondoa

    Mwanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) aliyekua kwenye kundi la G55 ambalo halikubaliani na Mkakati wa chama hicho uliopewa jina la "No Reforms No Election" ameamua kurudi baada ya Kutangaza kujitoa kwenye Chama hicho. Anipher Kassim Chiwili, anasema kilichomfanya kuondoka...
  4. Kelele za Mlango, Chura Kisimani na Joka la Mdimu. Japo Si Lolote, Si ChochoteZikizidi ni Kero. Maa' Hebu Wape Tuu...Bila Mabadiliko, INEC ni Batili!

    Wanabodi Makala yangu gazeti la Nipashe la leo Leo, naendelea na zile makala za Ijue Katiba ya JMT, nikijikita kwenye kitu kinachoitwa Sovereignty, huu ni uhuru wa nchi, kujiamulia mambo yake yenyewe ya ndani, bila kuingiliwa na mataifa ya nje au taasisi za kimataifa. Nimeileta mada kama...
  5. S

    Kwanini Wasanii wanaamini Live show bila kelele wala fujo haiwezekani?

    Nimehudhuria baadhi ya matamasha na LIVE SHOWS za Wasanii wetu. Ila sikuwahi kufurahia tamasha hizo kutokana na kelele zisizo na mpangilio kutoka kwa wasanii wenyewe. Mara , Kushoto Kulia, mko wapi? mara Ruka juu!, mara mnataka niendelee au niwaachie? Yote haya yanaonekana kuwa ni sehemu ya...
  6. Kelele za Visit Zanzibar zilizidi. CAF wameitikia na sasa wameamua kuwa "Vizitisha" kwa lazima

    Mechi ikachezwe huko. Naunga mkono hoja. Visit zanzibar visit zanzibar. CAF WASHIKILIE HAPOHAPO LICHA YAJUHUDI KADHA WA KADHA KUTAKA KUHUJUMU MECHI ISICHEZWE HUKO. Sisi ni Nchi moja hakuna haja ya kuogopa viwanja.
  7. Japo Kelele za Mlango, Hazimkoseshi Mwenye Nyumba Usingizi, Zikizidi Zinakera!. Kelele za Minimum Reforms, Sio Kero?, Mwenye Nyumba Anapata Usingizi?

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu ya gazeti la Mwananchi. Leo, naendelea na zile makala za Ijue Katiba ya JMT, nikijikita kwenye kitu kinachoitwa Sovereignty, huu ni uhuru wan chi, kutoingiliwa kwenye mambo yake ya ndani. Nimeileta mada hii baadab ya kusikia malalamiko ya baadhi ya Watanzania kuwa...
  8. R

    Huu mjadala wa jamii gani nchini inaongoza kwa wasomi muumalize wenyewe, ingieni humu mjihakikishie wenyewe, kelele na kujisifu viwekwe pemebeni

    Muumalize wenyewe
  9. Yanga kelele nyingi, Simba wana nguvu, wamemtoa Kayoko kwenye mfumo, wamemtoa meneja wa uwanja aliyewazuia wasifanye mazoezi

    Tangu ile derby ambayo man of the match alikuwa Kayoko, Kayoko hajachezesha mechi yoyote Simba waliwaambia kuwa huyu dogo hafai kuchezesha hata marede akaimbe singeli, ushahidi wa audio na video akipanga njama za kuibeba uto ukawekwa mezani. Kayoko amepotea Meneja wa uwanja aliyewazuia Simba...
  10. G

    Kelele zinazosikika usiku huu Kinondoni

    HEshima yenu wakuu. Kuna kelele zinazosikika usiku huu karibu kinondoni nzima kuanzia makaburini mpaka kinondoni hananasifu mpaka kinondoni manyanya yote.. Kelele hizi zinatokea kwenye msikiti.zilianza mapema saa tatu usiku na mpaka usiku huu mnene bado zinaendelea na kwakweli huwezi...
  11. M

    Mbu huponzwa na kelele zake akiwa mawindoni, jitafakari yawezekana una tabia za mbu

    Ukiwa kwenye usingizi usio fofofo si rahisi kutomsikia mbu akinyemelea damu kwako na haraka utachukua maamuzi ya kumdhuru au kumkwepa na hivyo kusitisha LENGO LAKE. Ipo hivyo kwa binaadamu pia kuna ambao wana tabia za Mbu kupiga kelele nyingi kabla ya safari na mwishoni kuzuiwa. Unataka kurudi...
  12. Waangalia mpira bar wana kelele sana

    Usiombe uende bar siku ambayo kuna mechi kama hii ya leo ukutane na jeshi la waangalia mpira,siku hiyo lazima urudi nyumbani masikio yanafanya nziiii jamaa wana kelele sana imagine wapo watu kama 50 na kila mmoja anaongea
  13. Ni jambo gani mpenzi wako amekuwa akilipigia kelele lakini umeshindwa kuacha?

    Kila mmoja ana mambo kadhaa ndani ya mahusiano ambayo yanamkera mpenzi wake. Ila kuna lile limoja kabisa umeshindwa hata kupunguza. Share experience tujifunze kutoka kwako. Binafsi: Nimeshindwa kuacha kutazama statuses whatsapp + reels za IG za wadada wenye mishepu yao. Kila nikijaribu...
  14. Mbogamboga uwanja ni wetu - hakuna tena kelele za No reform no election!

    Mwali tunae Oktoba na tunatamba nae. Hivyo kuanzia sasa hadi Oktoba Media zote, Wasanii, wananchi wote wapi upande wetu. Tupewe nini tena?
  15. Kelele za Wagonjwa: Kwanini Bima ya Afya (NHIF) Inashindwa?

    Katika hali ya kusikitisha, leo tumeshuhudia matatizo makubwa yanayotokana na kukosekana kwa huduma za afya nchini. Bima ya Afya makao makuu inapaswa kutoa kinga kwa wagonjwa, lakini ukweli ni kwamba hali ni tofauti kabisa. Wagonjwa wanakabiliwa na changamoto kubwa: hakuna mtandao, huduma...
  16. Kuna mambo huwa kama ndio basi ikipita siku,mwezi,mwaka wanajua ni kelele za chura sababu wao ndio wenye nchi

    Nikikumbuka Tukio la RPC Liberatus Barlow wa Mwanza aliuwawa mwanza yani wahusika walipatikana muda si mchache.Ila ukiangalia matukio kama ben sanane,Tundu Lisu kupigwa risasi na wanaharakati au ambao wanapinga mambo ambayo utawala ufanya upotea kwa maelezo rahisi ambayo utolewa. Tofauti...
  17. Wasanii wa nyimbo za Injili acheni kumpigia Mungu kelele

    Naongea na nyinyi mnaojiita wasanii wa nyimbo za Injili (Gospel Artists), vikundi vya kwaya na bendi. Nyinyi mnaotunga na kuimba nyimbo za Injili, nyimbo za sifa na kuabudu lakini maisha yenu ni ya mchanganyo! Maisha ya uvuguvugu. Nyinyi mnaopenda kumwimbia Mungu lakini dhambi hamtaki kuziacha...
  18. Kelele zikiwa nyingi na kuwazomoea Bodi Kwa Maamuzi ya Kijinga, msije kushangaa Yanga anapewa Point 3 maana washaanza kuraruana tayar.

    Usilete matusi Yako hapa, Nimeamka nimepitia Mitandao yangu pendwa miwili X formerly known as Twitter na JF. Nilichokiona hata waliokua wanatetea swala la Simba mapema Ile wamegeuka nao saiv wanailaumu Bodi.
  19. FT: Namungo FC 0-3 Simba SC | NBC PL | 19.02.2025

    Katika mwendelezo wa Ligi Kuu ya NBC, Mabingwa watetezi wa kombe la Muungano Simba SC watashuka dimbani kumenyana vikali kuzisaka alama tatu ugenini dhidi ya Namungo FC mjini Luangwa Lindi majira ya saa 12:30 Jioni Kila la kheri na mchezo mzuri kwa timu zote mbili. Updates za vikosi vya timu...
  20. Kelele za Kishambenga,nderemo za kishakunaku,Viburi na dharau Uchwara zimepotea ghafla Mujini,Vilio vimeanza upya!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane TAHADHARI Kama unaelewa kabisa una presha,au unahanguka na kuzimia kama OKW BOBAN SUNZU ,Tafadhali sana nakusihi tarehe 8.3.2025 usiende uwanjani au usiende banda Umiza ! Siku hiyo ndiyo siku ambayo GSM anakwenda kuchukiwa kuliko siku zote tangu Dunia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…