keko

Sergio Gontán Gallardo (born 27 December 1991), known as Keko, is a Spanish professional footballer who plays for Deportivo de La Coruña as a right winger.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    DAWASA yaboresha kisima Keko Bora kuimarisha huduma ya maji

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekamilisha zoezi la kufufua na kuboresha kisima cha kuzalisha maji cha Keko Bora kilichopo Mtaa wa Bora, Kata ya Chang’ombe, Wilaya ya Temeke, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha upatikanaji wa huduma ya maji kwa wakazi wa...
  2. Bani Israel

    Moto mkali unawaka muda huu maeneo ya keko Furniture/Njiapanda toroli

    Moto mkali mpaka sasa umeunguza nyumba 3 na godown moja ambalo lilikuwa limejaa magodoro. hadi sasa vikosi vya ulinzi vipo hapa fire ilikuja moja ikazidiwa ikabidi badala ya kuzma chanzo wapambane kuzuia moto usendelee kwa sasa zimefika nyingine mbili so zoezi la uokozi linaendelea.
  3. jT0078

    Moto unawaka eneo la keko furniture -Dar

    Wale wanaotumia njia ya barabara ya Chang'ombe - Keko Dsm kuna MOTO mkubwa unawaka ktk moja ya majengo ktk eneo la keki furnuture upande wa kiwanda cha SUMA JKT. Nadhani barabara itakuwa imefungwa muda huu kutokana kuongezeka kwa moto. Watu wa usalama tunaomba muende eneo hilo.
  4. Sifi Leo

    Nina wasi wasi waliotekwa wapo ukonga wameukumiwa kunyongwa ndio hao 27 waliotajwa na Lissu Jana Mh Samia hii ni dhambi mbaya mno muue Lissu

    Walio tajwa na Lissu Jana yakuwa wako ukonga wameukumiwa kunyongwa ndio wakina Soka,kipanya na wenzake paspo kumsaau mdude nyangali Najiuliza wanafanya hivyo mnapata Nini mbele za Mungu Muumba mbingu na Nchi? Natoa Rai kwa Mh Rais mnyonge Tundu Lissu Ili uepuke kuvuliwa nguo dhidi ya uovu ULIO...
  5. Dennis Robert Shughuru

    Njia ntakayotumia kuboresha maeneo kama Magomeni, Mburahati, Kigogo, Mabibo, Manzeshe, Kinondoni, Mwananyamala, Kijitonyama, Sinza, Ilala, Keko n.k

    Hayo maeneo ni sehemu ya city centre kwa hiyo yanatakiwa yaboreshwe Zifuatazo ni njia ntakazotumia kuboresha na kuyafanya ya kisasa ntatumia njia zifuafazo Hayo maeneo yatajengwa gorofa kuanzia 5 na mpaka 100 Wale wote wenye maeneo watatoa maeneo hayo na kuwapa madeveloper Madeveloper watajenga...
  6. Heparin

    PreGE2025 Rose Mayemba: Tumetoka Keko, Lissu hayupo na Magereza hawajui alipo

    Ameandika Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Rose Mayemba: Tumetoka Gereza la Keko muda huu kwa ajili ya kutaka kumuona Mhe Lissu, Askari Magereza wametuambia hayupo, tumeuliza yuko wapi wamesema hata wao hawajui!. Sasa nani kamuondoa bila ruhusa ya Mahakama? Aliyemuondoa amempeleka wapi? Kwanini...
  7. A

    DOKEZO PreGE2025 Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?

    Tundu Lissu has just been collected by official motorcade from the Keko prison. Not so sure where exactly is he being taken ——— UPDATE: My insider indicates that he has been moved to Ukonga TUNATAKA KUJUA ALIPO MHE TUNDU LISSU Leo Ijumaa, Aprili 18, 2025, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Wakili...
  8. Poppy Hatonn

    Leo Lissu atapelekwa NEC kusaini au NEC itakwends Keko?

    Kama Lissu akikubali kusaini, utaratibu gani utatumika? NEC itakwenda Keko au jambo gani litatokea? Na kama Lissu akikataa kusaini kutakuwa na ramifications gani? Athari gani? Na athari za ziada? Kama Lissu akikubali kusaini itatokea mitigation katika mashtaka yanayomkabili?
  9. Egnecious

    PreGE2025 Mbunge Wa Temeke akiwasilisha Utekelezaji wa Ilani Kata ya Keko

    Mhe Dolothy Kilave katika utekelezaji wa majukumu yake Jimboni
  10. nipo online

    Nimepigiwa simu nitume pesa nitumiwe pikipiki kutoka Dar keko nilikoagiza

    Wakuu nimefanikiwa kupata pesa milioni 1. 3 nataka pikipiki used boxa yenye plate namba D, hizi HD nafikiri naweza pata kwa akiba hii.. Sasa utaratibu huu sijaelewa vizuri, naomba mwenye uelewa hatua za kufanya ili kupata pikipiki bila usumbufu Vitu gani nizingatie
  11. A

    DOKEZO MSD ilikabidhiwa kiwanda cha madawa Keko lakini kinaelekea kufa…

    Ni ajabu ila ni kweli. Bohari ya Dawa (MSD) ambayo ipo chini ya Wizara ya Afya ambayo Waziri wake ni Ummy Mwalimu ilikabidhiwa uendeshaji wa Kiwanda cha Dawa cha Keko na Msajili wa Hazina mwaka 2020, ambacho kinamilikiwa kwa Asilimia 70 na Serikali huku mbia binafsi akimiliki Asilimia 30...
  12. Notorious thug

    Mfahamu Andreas Felipe Ballesteros Uribe Raia wa Colombia aliyekaa Keko mahabusu miaka 8 kwa kesi ya dawa za kulevya

    Adres Felipe Ballesteros mzaliwa wa Colombia Bogota mwenye umri wa miaka 36 alikamatwa hapa nchini Tanzania mnamo August 2014 kwa kosa la kukutwa na dawa za kulevya aina ya Heroine akiwa amezifich kwenye pindo la suruali na kete nyingine akiwa amemeza. Adres Felipe Ballesteros ni Baba wa watoto...
  13. B

    KERO Barabara iliyojengwa Keko ni ya kupita gari moja tu, gari likiharibika itakuwaje?

    Wakuu habari zenu, Nimepita maeneo ya Keko, kuanzia chuo cha Diplomasia kwenda Chang'ombe Mataa, kunajengwa barabara, ya mwendokasi. Lakini barabara ya kawaida sijaielewa, kwenda ni gari moja, kurudi ni gari moja. Hivi ikitokea gari limeharibika njiani itakuwaje? Wanaohusika naomba mlitafakari...
  14. Sildenafil Citrate

    Watuhumiwa waiomba Mahakama kuwapangia Gereza la Keko wakidai ni zuri na safi

    Washitakiwa wawili wanaotuhumiwa kukutwa na vipande tisa vya meno ya ndovu yenye thamani ya dola za Marekani 30,000, wameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu iwapangie Gereza la Keko kwa kuwa ni pazuri na pana usafi. Washtakiwa hao ni Hassan Sangari (22), mkazi wa Kingula mkoani Dodoma na...
  15. Ramon Abbas

    House4Sale Banda la Miamala linauzwa, keko Dar es salaam

    Nipigie 0713096076 bei 250,000
  16. Sky Eclat

    Usiku wa kwanza katika ardhi ya Tanzania, Junior alilala mahabusu Keko

    Junior ni Mholanzi mwenye asili ya Tanzania. Wazazi wake walihamia Uholanzi wakiwa bado vijana. Maisha yake yote Junior ameishi Amsterdam. Alikuja Tanzania kwa mara ya kwanza akiwa na miaka mitano. Baada ya sherehe yake ya kuzaliwa akifikisha miaka 18, babu na bibi walimnunulia tiketi aje...
  17. C

    Dar imechafuka, haipitiki. Ujenzi kila barabara

    Jamani Dar haipitiki barabara karibu zote zimechimbuliwa sijui upite wapi. Mwananyamala, Kilwa Road, Kawawa Road Bagamoyo Road na nyingine nyingi halafu ziko polepole sana haziishi. Hivi mainjinia wetu hawawezi maliza moja wakafata nyingine? Ona hiyo foleni ya Kawawa toka Keko mpaka Magomeni...
Back
Top Bottom