Sio wengi wametafakari maana ya muafaka uliofikiwa na huu msemo wa "siasa za kistaarabu" kama wanavyounadi viongozi wakuu wa vyama vya siasa.
Kwa upande wa CCM nawaona haswa wabunge, madiwani na makada wao (haswa UVCCM na UWT) wakipata taabu kwani wamezoea siasa za kejeli, kununua wapinzani nk...