kejeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni busara serikali na viongozi wake kukaa kimya na kuacha kuzungumzia yale ya oktoba 29 2025, huu ukimya usiwafanye mjione washindi mkaendeleza kejeli

    Nikisikiliza kauli zao hawa watu, wamekosa hekima kabisa, serikali imejaa wajinga na wajivuni, na hakuna yeyote mwenye viashiria vya hekima ya kiuongozi kati yao na hasa kwa wale waongeaji ongeaji juu ya hili Msisahau mnapo kuwa mnaongea hizo kejeli zenu dhidi ya yale mliyo wafanyia...
  2. JamiiForums Tanzania Hoja haijibiwi kwa kejeli, hujibiwa kwa hoja

    Moja ya mambo yanayoonyesha udhaifu wa hoja ni mtu kushindwa kujibu hoja kwa ushahidi na badala yake kukimbilia matusi, kejeli, mipasho au maneno ya mkato mkato. Mtu anapoletwa hoja yenye dalili, ushahidi na mantiki, anatakiwa aidha: Aikubali ikiwa ni ya kweli. Ailetee hoja mbadala yenye...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Steven Wasira acha kiburi, dharau, kejeli ya madaraka. Kuna siku utazitaja dhambi zako you committed against humanity!

    Msikilize hapa dharau, kejeli, masimango ya kiburi cha madaraka HARAMU
  4. JamiiForums Tanzania Raisi feki kwa hii hotuba 2025 kufunga mwaka kama umenifungulia mwaka kwa kunikasirisha kwa kejeli.

    Ila huyu mtu jamani sijui anaona maisha ni kifutio au penseli,yani unaweza kufanya lolote kama ufahamu lolote. Ulipopata kijiti hakuna kilichofanyika umebagaza nchi,umeua,umeteka,ufira,umebaka,umeleta mambo ya ajabu. alafu neno lako unasema "tusitengane kwa tofauti zetu" .kwa hiyo tofauti yako...
  5. JamiiForums Tanzania Pikipiki kwa Miaka 39 ya Utumishi, hii sio heshima bali Kejeli

    Kauli ya Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa, kuhusu kumuaga rasmi Bw. Mfaume Ramadhan baada ya miaka 39 ya utumishi wa umma imeibua mjadala mpana wenye maswali mazito kuliko majibu. Miaka thelathini na tisa si wiki mbili, wala si ajira ya muda mfupi. Ni karibu maisha yote ya mtu—ujana, utu...
  6. JamiiForums Tanzania Sheikh Alfarouk: Kwenye kuapishana kwenu msitumie Msahafu. Mtu hana udhu anakama? Acheni kufanyia kejeli

    Sheikh Haji Alfarouk; "Endeleeni na Siasa zenu, kwenye kuapishana kwenu, msikamate Msahafu, kwasababu mnachoapia ninyi ni kuilinda Katiba mpaka kufa kwenu. Mtu yupo kwenye siku zake anachukuwa Msahafu anaapa, Sheikh awataka Viongozi wa Kisiasa kuachana na kitabu kitakatifu cha Quran"
  7. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na Mapambano ya Kikatiba: Tunapojifunza Sheria, si Kusikiliza Kejeli za Mawakili wa Serikali

    Leo hii, Tundu Antiphas Lissu, mwanasheria wa kiwango cha juu, anarejea katika chombo cha haki — mahakama — si kwa ajili ya maigizo ya kisiasa, bali kwa ajili ya kuitafuta na kuisimamia constitutional justice kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hususan Ibara ya 13(6)(a)...
  8. JamiiForums Tanzania Aiseeh! Kejeli na dhihaka zinazotolewa kwa Mrisho Mpoto licha ya kuwa Amefiwa mkewe, ni red alert kama Taifa. Ujumbe "Simama na wananchi"

    Hamjambo! Katika hali ya kustaajabisha katikati ya bahari ya huzuni ya ndugu yetu Mrisho Mpoto, AKA Mjomba. Baada ya kufiwa na mkewe. Ilitarajiwa kama desturi apewe Salamu za Pole. Lakini hali ipo tofauti Kabisa. Wananchi wengi mtandaoni wamekuwa wakali wakionyesha hisia zao kana kwamba...
  9. JamiiForums Tanzania Usipochukua hatua mapema ewe kijana Nilichogundua 40 years kwa mwanaume ni umri wa majuto,fedheha na kejeli

    Kwa kifupi tuu Nina miaka michache nifike 40 mambo mengi nimeyaona wanaume wenzangu wanavyopitia wakati mgumu katika ndo,mahusiano,fursa,ajira, n.k Kiukweli ukiwa kama kijana wa kiume usipojipanga mapema ktk age kuanzia 25 hadi 35 ukifika huu umri tegemea kejeri,fedhea,majuto tena usiombe ufike...
  10. JamiiForums Tanzania Raisi ni mtu wa kejeli na vijembe ila hakisemwa yeye anafura.

    kama kawaida ya CcM ukiwauliza leteni hoja wao ni kusimanga chama kitakacho kuwa mwiba kwao tena na kutunga. Sasa leo dodoma tumethibitisha yale ya Idd amin kule uganda yule marehemu alikuwa na kauli za kejeli na masimango mpaka zikamfanya raisi nyerere kumtandika.
  11. R

    JamiiForums Tanzania CCM YAMJIBU JAJI WARIOBA, YASEMA CCM HAINA MGOGORO NA CHADEMA: Ona Ulevi wa Madaraka , Kejeli, Dharau, Dhihaka, impunity toka kwa Amos Makala

    Anasema hawana ugomvi na Chadema , wakati huo huo serikali anayoiongoza/inayoongozwa na chama chake ambacho yeye ni namba 4 in power hiarachy kwenye chama kinachoongoza serikali inalalamikiwa na Chadema,kuteka, kuua, kupoteza wanachama/viongozi wa chadema! Hii ni kejeli CCM YAMJIBU JAJI...
  12. JamiiForums Tanzania Atembea umbali wa kilomita 850 kwenda kumpiga mteja aliyetoa maneno ya kejeli mtandaoni

    China bhana kila kitu kinawezekana!! Umeshawahi kuwaza siku utembee umbali mrefu kwenda kumtafutia mteja aliyetukana bidhaa zako na kumpiga. Kuna jamaa mmoja ambaye ni muuzaji wa bidhaa mbalimbali kupitia online Aliweza kutembea umbali wa kilomita 850km ili kumfuata mteja ambaye alitoa maneno...
  13. JamiiForums Tanzania Urusi yachekelea na kufanya kejeli kuhusu vita vya tarrifs vinavyoendelea

  14. JamiiForums Tanzania Mapambio yakizidi yanakuwa kejeli

    Kwenye hili sasa watanzania mmezidi aisee! Inamfanya Rais aonekane kituko.
  15. JamiiForums Tanzania Mapambio yakizidi yanakuwa ni kejeli

    Kwa mujibu wa gazeti hili linadai kuwa ongezeko la Wanyapori limeletwa na Royal Tour. Kwamba Simba, Kasongo, Fisi na wanyama wengine walipomuona tu mama wakaanza kuzaliana mfululizo? Hivi Machawa mnatumia akili au matope? Mapambio yakizidi mwishowe yanakuwa ni matusi kwa mnayemsifia na hata...
  16. JamiiForums Tanzania Mbowe kwa aliyopitia na aliyofanya, naumizwa na kejeli dhidi yake LAKINI ni Muhimu sana atumie Hekima

    Sidhani kama kuna mtu ambaye anaweza kusimama na kwa dhamira akazikataa jitihada za Mbowe katika kuijenga CHADEMA na katika kupigania haki na demokrasia nchini Tanzania. Ni katika jitihada hizo, Mbowe aliwekwa mahabusu za polisi mara kadhaa, alifilisiwa kwa nguvu, alitumia muda wake, rasilimali...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia anawaapisha viongozi wateule Ikulu ndogo ya Tunguu-Zanzibar leo Desemba 10, 2024

    Wakuu, Rais Samia anawaapisha Viongozi Wateule Ikulu Ndogo ya Tunguu Zanzibar, leo tarehe 10 Disemba, 2024. Akiwa anazungumza katika uapisho wa mawaziri, Rais Samia amedokeza kuwa ni viongozi tu ndo wamebadilishiwa majukumu lakini serikali ni ile ile. Pia Rais Samia alitumia hotuba yake...
  18. JamiiForums Tanzania Monalisa ahitimu Chuo Kikuu licha ya kupitia dhihaka na kejeli kisa umri

    Yvonne Cherrie, msanii maarufu wa filamu, Monalisa, ameweka historia baada ya kuhitimu Chuo Kikuu katika fani ya Usimamizi wa Biashara na Miradi, licha ya changamoto za dhihaka na kejeli alizokumbana nazo kutokana na umri wake. Monalisa, ambaye alikuwa miongoni mwa mwanafunzi waliokula chumvi...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la 2% ya Pensheni kwa wastaafu ni kejeli ya karne

    Wastaafu kote nchini tumeshtushwa sana na tangazo la ongezeko ya pensheni kwa asilimia 2% kuanzia 2025 lililotangazwa na Waziri Kikwete (jnr). Itakumbukwa kwamba ongezeko hili kiduchu kwa rekodi linafanyika baada ya kupita karibu miaka 10 i.e. enzi za Rais Kikwete na Waziri Mkuya walipoongeza...
  20. JamiiForums Tanzania Je, Watanzania tumeridhika kabisa na Dharau, Kejeli na Matusi anayotufanyia sasa Tapeli wa Kiimani 'Kiboko ya Wachawi' akitokea huko Kwao Congo DR?

    Sasa ni rasmi Watanzania wachache waliokuwa Wakimuamini wametuponza mno Watanzania wote kwa anayotufanyia.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…