kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda anafanya kazi kama ambavyo Ma-DC wa Mkoloni walivyokuwa makini Tanganyika

    Ukipitia diary / shajara za waliokuwa ma DC wakati wa serikali ya mkoloni utaona walipewa majukumu mengi ya jinsi ya kuendesha tawala za mikoa na serikali za mitaa. Ambapo DC hakutakiwa kukaa ofisini bali alifunga safari kupitia maeneo waliyopangiwa kuangalia masuala ya utoaji haki, makusanyo...
  2. JamiiForums Tanzania Baba Levo: Huwezi kuwa tajiri kwa kazi ya Ualimu

    Mtangazaji wa kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi Fm, Baba Levo amenukuliwa akisema huwezi kuwa tajiri kwa kazi ya ualimu kwasababu kazi hiyo ni ya kipato cha chini sana kwenye mishahara na posho zao ni ndogo. Kujenga hata nyumba ya kisasa kwa kazi ya ualimu ni changamoto sana sahau kuhusu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Arusha akisajiliwa na Lengai Ole Sabaya kazi mpira umekwisha

    Timu ya mkoa wa Arusha ina kikosi cha maangamizi, mshambuliaji Mrisho Gambo, huku mkabaji ni Paulo Makonda. Timu imekamilika haswa, wadudu wote wa Arusha wametulia.Sasa kuna sehemu moja tu inahitaji marekebisho ambayo ni sehemu ya mshambuliaji, inamhitaji Lengai Ole Sabaya akasimame pale juu...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada: SSD 1080 PRO NGFF M.2 4TB Haifanyi Kazi Kwenye Laptop Yangu

    Habari wanajamvi, Nimenunua kifaa cha kuhifadhi data aina ya 1080 PRO NGFF M.2 SSD 4TB Kwa ajili ya kuongeza uwezo wa laptop yangu. Hata hivyo, baada ya kukifunga kwenye laptop yangu, haisomi ingawa inaonyesha kuwaka kama kawaida. SSD iliyokuwepo awali ni ya 128GB M.2 NGFF ambayo niliinunulia...
  5. JamiiForums Tanzania Tunakula ili tufanye kazi na sio tunafanya kazi ili tule

    ..
  6. JamiiForums Tanzania Narudia tena akili ya mbantu haiwezi kufanya biashara. Graphic designer kadengua kazi ya zaidi ya laki 5 then baadae anaitaka tena

    Sista angu alikuwa na project yake anatakiwa kuisubmit mahali. Hiyo project ilikuwa na picha kama mia na ushee hivi ambazo yeye aliona zinafaa kufanyiwa graphics zote. Bajeti ya sista kwa picha ni sh. Elfu 5 kwa kila picha. Mimi huyo nikaenda mpaka kwa ofisi ya brother mmoja anafanyaga...
  7. V

    JamiiForums Tanzania Walisema Sadio Mane amebaguliwa Bayern Munich ila leo Bayern Munich wamempa kazi kubwa ya ukocha Vicent Company

    I'm proudly black man Ila waafrica wengi tuna matatizo sana Sadio mane alienda Bayern Munich tena akawa miongoni mwa wachezaji watatu wanaokula mshahara mkubwa Bayern Lkn tunaofatilia mpira toka liverpool ni kwamba sadio mane alishajichokea mpira ulishaisha km mnavyojua waafrica kwa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania RC Makonda awasimamisha Kazi watumishi 13 Arumeru kwa ubadhirifu wa tsh million 600, yumo Mganga mkuu wa Halmashauri!

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewasimamisha Kazi Watumishi 13 wa sekta ya Afya akiwemo boss Wao Dr Mbuya kwa ubadhirifu wa Fedha za Umma tsh million 600 Source Mwananchi Vijana Msilale bado Mapambano 😂🔥 == Watumishi 13 wa sekta ya afya kutoka Halmashauri ya Arusha Dc wilayani...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Hivi utaratibu wa mtumishi wa umma akiiba au akikosea ahamishiwe sehemu nyengine una maslahi gani kwa taifa?

    Msomi akipata shavu la kuajiriwa serikalini, inakuwa raha msarehe. Hatakiwi kuguswa hata akiiba; anahamishiwa sehemu nyingine. Hivi huu utaratibu uko kwetu Tanzania tu au ni duniani kote? Mtu unakula kodi za walalahoi, unaiba, unakosea, halafu eti usisemwe na ikiwezekana uhamishiwe sehemu...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yeyote Arusha

    Habarini za jioni wadau wa JF, Mimi nimhitimu wa chuo mwaka 2013,Nina degree ya maendeleo ya jamii,naomba kwa mwenye connection yeyote ya kazi, sichagui Wala sibagui kazi yeyote nafanya. Asanteni
  11. JamiiForums Tanzania Hivi huu upuuzi kwenye kazi za ofisini utaisha lini?

    Bojour wazeeee! Watu wengine makomwe sana. Sawa pombe nakunywa ila ni baada ya kazi na kesho on time nimefika jitu linaenda kwenye uongozi wa juu kutangaza aaaah jamaa mitungi saaana wakati sijawahi kufika job nimelewa. au kunywa muda wa kazi. Na uchafuzi wake huu lengo nifukuzwa kazi. Huu ni...
  12. JamiiForums Tanzania Maisha ya Hamis Kichwa yanasikitisha sana baada ya kustaafu kazi ya Polisi

    Angalizo:- Habari hii ni sanaa ya picha na haiendani na uhalisia wa maisha, Wala jina la mtu yoyote. Hamis Kichwa, alikuwa maarufu sana hapo Oyster Bay Police akisifika kwamba ndiye Israel mahiri kwa majamba konki ambao inatakiwa tu watangulizwe. Hamis Kichwa mtu wa Tanga, alikuwa anasifika...
  13. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina Degree ya Banking and Finance

    Natafuta kazi yoyote Nina degree ya banking and finance, ninaishi Dar es salaam, ni mwanaume mwenye miaka 33.
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote Nina Diploma ya Banking and Finance

    Natafuta kazi yoyote, Nina diploma ya banking and finance, ninaishi Dar es salaam, ni mwanamke.
  15. JamiiForums Tanzania Kama unatafuta msaidizi wa kazi tuwasiliane

    Age:18 yrs old, Salary atakayo ni 80k kuendelea. Awezacho ni kulea mtoto, watoto, wazazi wa watoto hao au kuuza duka. Maelezo mengine ni inbox wapendwa
  16. T

    JamiiForums Tanzania Je unaweza kufanya madiliko kwenye application ya kazi baada ya deadline

    Naomba kuuliza eti nimefanya application ya police ajira sasa Kwa bahati mbaya siku ya Leo tar 27 nimecancel application then mfumo ukaniambia ni deadline je Ina madhara yoyote?
  17. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kilimo na ufugaji vinawezekana serikali ikiboresha mazingira

    Kumekuwa na dhana potofu hasa katika maswala ya kilimo na ufugaji kwamba vijana hawapendi kilimo na ufugaji vijana ni wavivu.mm niseme hata hao wanao sema vijana hawapendi kilimo na ufugaji nao ni wavivu Sana ajabu wao wenyewe wameajiliwa na mtu hyo wanae msimanga mvivu na hapendi kilimo na...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva bodaboda au uvuvi

    Habari WanaJF, Natafuta kazi ya udereva boda boda ,uvuvi na yeyote ile kikubwa inipatie kipato cha kujikimu, umri wangu ni 24 naishi hapa Dar pia Nina ELIMU ya chuo kikuu upande wa education in kiswahili and history ila bado nimehairisha mwaka kwa ajiri ya KUJITAFUTIA, mawasiliano 0785598033
  19. JamiiForums Tanzania Je, baadhi ya kazi zinafanya mtu apoteze utu?

    Niko safarini kutoka kanda ya kati kuelekea Geita. Nafika eneo fulani mkoani singida. Wale wenye sare nyeupe wananyoosha mkona kuashiria nisimamishe gari. Yeye: Nipe leseni yako Mimi: Hii hapa Yeye: Una deni la faini Mimi: Ndiyo Yeye: Lipia Mimi: Bado nina safari ndefu.Nina akiba ya kununua...
  20. JamiiForums Tanzania Utamshauri nini kijana aliyepata kazi leo kwenye wimbi hili la ufinyu wa ajira?

    Kwako mdau, Kama kichwa cha uzi kinavyo jieleza, kutokana na Wimbi kuongezeka la vijana wengi kukosa ajira/kazi. Ni ushauri gani utampa mtu aliye pata ajira leo. Ushauri uwe ume base kwenye eneo la kazi, kiuchumi na kijamii.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…