kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Nina uzoefu wa miaka minne as a Store keeper, stock controller, section controller. Natafuta kazi

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu. Nipo Dar es salaam ila nipo tayari kufanya kazi hata nje ya Dar es salaam. Umri = 31 Elimu = Form four Uraia = Mtanzania Uzoefu = Miaka minne Note: Nilijifunza hii taaluma Kwa vitendo kwenye kiwanda Cha kampuni fulani ya vinywaji. Bidii, kujituma...
  2. JamiiForums Tanzania Ili uwe salama chukua dada wa kazi kwenye Taasisi zinazohusika na wadada wa kazi

    Kuna taasisi zinahusu wadada wa kazi hivyo chukua kule.ukipata shida wanafatilia mpaka kwao
  3. JamiiForums Tanzania Katambi azindua Kamati ya kuratibu uhamaji nguvu kazi

    KAMATI YA KURATIBU UHAMAJI NGUVUKAZI YAZINDULIWA Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu -Kazi,Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe.Patrobas Katambi amezindua Kamati ya Kitaifa ya Wataalamu itakayoratibu Mradi wa Uhamaji Nguvukazi ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika. Mhe...
  4. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu, kwa mwenye kibarua chochote unikumbuke

    Assalam Allaykum, Mpka sasa sijala na sjajua siku inaisha vipi, sina pesa wala mpango wa kupata hata buku kwa siku ya leo ukizingatia nimedamka asubuhi kutafuta vibarua viwandani na kwingineko lakini hola nimezurura hadi nimeona ntakuja anguka njiani bure nimekimbilia geto kujilaza nisikilizie...
  5. JamiiForums Tanzania Kazi ni Ile inayokuingizia Kipato. Mama au Baba wa nyumbani siô Kazi kwani Hakuna kipato kinachozalishwa.

    KAZI NI ILE INAYOKUINGIZIA KIPATO. MAMA AU BABA WA NYUMBANI SIÔ KAZI KWANI HAKUNA KIPATO KINACHOZALISHWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Amri ya Mungu ya kufanya Kazi. Inahusu kufanya Kazi za uzalishaji Mali, kujipatia kipato ili uweze kuishi. Yàani Mûngu anapokuambia Fanya Kazi...
  6. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Accountant na Admin Officer Wanahitajika

    Habari Anahitajika Accountant na Administration Officer, wenye uzoefu usiopungua Miaka 2. Mkoa: Dodoma Tuma CV yako: hrfbde@gmail.com
  7. JamiiForums Tanzania Polisi asimamishwa kazi kwa kumshambulia mtuhumiwa uwanja wa ndege

    Polisi ameonekana akimshambulia "mshukiwa" katika uwanja wa ndege wa Manchester nchini Uingereza. Baada ya video ya hilo tukio kusambaa mitandaoni; 1. Kulisababisha "wananzengo" wa Manchester kuandamana hadi kituo cha Polisi kuonesha hasira zao (ila hawakufanya fujo) 2. Kuliwaibua wabunge...
  8. JamiiForums Tanzania Faida nilizipata baada ya kuanza kusoma neno la Mungu ( biblia)

    Watu wengi wamejikita kwenye mambo yao bila kumshirikisha Mungu kikamilifu kwa kusoma neno lake kikamilifu hata wakristo wanaoshinda kanisani wengi siku hizi hawasomi neno zaidi ya kutafuta miujiza utakutana mkristo biblia anaifungua siku za Ibada tu Yani jumapili hadi jumapili na hii ndio...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Kauli ya kishujaa ya mke wa Masanja Kusamehe ni lazima ndugu zangu, ili roho mtakatifu aweze kukaa ndani yako na kufanya kazi na wewe!

    Wadau hamjamboni nyote? Sikia kauli ya kishujaa ya Mama Monica Masanja mkewe mchungaji Masanja "Kusamehe ni lazima ndugu zangu, ili roho mtakatifu aweze kukaa ndani yako na kufanya kazi na wewe lazima usamehe, lazima uachilie" Je unampa ushauri gani? Njozi njema!
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Photographer, Videographer, Graphics Designer na Content Creater. Naomba connection ya kazi wakuu

    📷📷
  11. JamiiForums Tanzania Muhitimu wa shahada ya sheria natafuta kazi yoyote

    Habari wakubwa mbele yenu ni mdogo wenu fresh graduate wa degree ya sheria Niko mkoa wa Mwanza lakini niko tayari kwenda sehemu yoyote muhitimu wa shahada ya sheria Naomba ajira au nafasi ya internship sehemu yoyote Nina ujuzi wa na ninaweza yafuatayo i/ legal research and writing skills, ii/...
  12. JamiiForums Tanzania Kila nikikumbuka kuwa nilisema "Sitafanya kazi chini ya laki 3" baada ya kumaliza University

    Sasa hivi natamani nipate ata kazi ambayo nitalipwa ata laki na nusu ila sipati Kweli MAISHA yana ramani na aliyemchorea masikini pen ili mgomea njiani Napata makapi vinono navitamani
  13. JamiiForums Tanzania Hivi albadil inafanyaje kazi?

    Haya mambo nimekuja kuyajulia Dar, kwetu Bulongwa Makete Uislam hauko. Ndugu zanguni naomba kujulishwa jinsi albadil inavyofanya kazi. Kuna MTU kaniibia kiasi kikubwa sana cha hazina yangu, sitaki afe ila nataka arudishe mwenyewe na wala asipatwe na wazimu maana najua karma ita ni haunt kama...
  14. JamiiForums Tanzania Morogoro: Meneja wa MORUWASA asimamishwa kazi

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso, amemsimamisha kazi, Meneja wa usambazaji maji Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA) Eng Thomas Ngulika kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo. Waziri Aweso ametangaza uamuazi huo leo Jumanne tarehe 23 Julai 2024 akiwa kwenye ziara ya...
  15. JamiiForums Tanzania Usimpatie mtu kazi kwa kumuonea huruma

    Kama una ofisi yako au biashara, usimuajiri mtu kwa kumuonea huruma. Ajiri kwa kuwa ana uwezo wa kukuzalishia na kukuingizia faida, katika biashara yako. Wako vijana wengi wanaomba kazi kwa kigezo cha kuonewa huruma, atasema nategemewa na familia, mara mke, mara watoto nasomesha; sasa hayo yote...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais kwa kusimamia 4R kwa vitendo,Watendaji wa chini msomeni Bosi anataka nini,acheni kufanya kazi kwa mazoea

    Mimi binafsi nimekuwa nikikerwa na utendaji kazi wa Nape,Makamba,Makonda na Slaa kwa kushindwa kuzielewa 4R za Rais kwa vitendo. Rais anataka utendaji kama ifuatavyo: 1. utendaji wenye kuzingatia sheria,kanuni,taratibu na miongozo.Mara nyingi hawa vijana wameonekana kukiuka hizi taratibu...
  17. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa graduates wa Computer Engineering, Telecommunications Eng, Computer Science

    Kampuni mojawapo jijini Mwanza inahitaji watu wenye qualifications tajwa hapo juu. Kama unafit karibu inbox.
  18. JamiiForums Tanzania Nina cheti cha ADO, natafuta kazi ya kuuza duka la dawa/pharmacy

    Habirini wana JF, kwa mwenye uhitaji wa mtu wa kuuza duka la dawa au pharmacy mwenye cheti cha ADO anicheki 0672498183, nina uzoefu mkubwa wa kazi hii pia duka liwe DAR ES SALAAM, asanteni
  19. JamiiForums Tanzania Nina Ado, natafuta kazi ya kuuza duka la dawa/pharmacy

    Habirini wana JF,kwa mwenye uhitaji wa mtu wa kuuza duka la dawa au pharmacy mwenye cheti cha ADO anicheki 0672498183, nina uzoefu mkubwa wa kazi hii pia duka liwe DAR ES SALAAM Asanteni
  20. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za ndani

    Habari wanajamii, mimi ni kijana wa kike natafuta kaz za ndani mshahara angalau uwe laki, naweza kufanya kaz zote za ndani na kutunza watoto pia. Ni mchapakaz na mwaminifu napatikana dar es salaam...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…