kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Chama na Mkude walifanya kazi Simba mafao wanaenda kulipwa na Yanga

    Hii kitu inafikirisha sana🥲 Kazi ufanye na kampuni X Mafao ulipwe na kampuni Y
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ashtushwa na taarifa ya Madereva wa Serikali kulogana ili wapate kazi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshtushwa na madai ya madereva wa Serikali kulogana ili wapate magari ya kufanyia kazi. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Juma Mtanda kwenye kongamano la tatu la madereva wa Serikali la mwaka 2024 linaloendelea jijini Arusha kwa siku nne mfululizo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta vijana tupige KAZI ya kuuza Bundle mtandao ,tupate Mia Mia.

    Tigo na Halotel bundles Tu #0658204909
  4. JamiiForums Tanzania NAFASI YA KAZI.

    Habari wadau. Anatakiwa doctor wa mifugo mwenye uzoefu na mifugo. Vigezo ... Awe amesomea hiyo na ana documents zinazomuonyesha hivyo, awe Ni mkazi wa dar es salaam, na awe tayari kukaa site kwa muda wote wa kazi zake, Awe Ni msichana umri 19 mpaka 22, Kwa aliye tayari tuwasiliane chap.0712378559.
  5. JamiiForums Tanzania Naomba kazi ya kutunza nyumba kwa Dodoma mjini

    Naitwa David, nina miaka 25 naomba kazi ya kutunza nyumba kwa Dodoma mjini. Mawasiliano +255624576521
  6. M

    JamiiForums Tanzania IGP mtimue au mfute kazi RPC wa Dodoma ikikupendeza

    Nimesoma taarifa ya RPC wa Dodoma juu ya sakata la unyanyasaji wa kingono aliofanyiwa Binti moja ambaye taarifa zake zilisambaa na kujadiliwa Sana mitandaoni na kwenye vyombo vingi vya habari. Taarifa yake imekosa weledi wa kitaalamu na imekaa Kama ya kumlinda mhusika mkuu wa tukio lile. Afande...
  7. JamiiForums Tanzania Yapi Merkezi: Hakuna Mfanyakazi wa SGR atakayefutwa kazi bila kulipwa stahiki zake ikiwemo NSSF

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mfanyakazi wa Mradi wa Ujenzi wa Reli ya SGR kulalamikia kuhusu Mkandarasi Mkuu wa Mradi, Yapi Merkezi, kuwa anawaondoa watu kazini kwa lazima kwa njia ya likizo na kuwa haingizi malipo ya NSSF, ufafanuzi umetolewa na Mkandarasi...
  8. JamiiForums Tanzania Anatafuta kazi ya udereva popote

    Habari nina kijana (wa kiume) anatafuta kazi ya udereva, Kumuendesha mtu, Kiongozi, Gari la shule, taasisi, kampuni n.k Kwa aliye na nafasi ya kazi please!
  9. JamiiForums Tanzania Hiyo picha itafukuzisha kazi mtu. Ni suala la wakati tu…

    Kupitia hiyo picha kuna mtu atasagiwa kunguni na wapenzi wa boss lady na atafutwa kazi. Mda utaongea.
  10. JamiiForums Tanzania Ni changamoto gani unaweza kutana nayo iwapo hutaripoti kwenye kituo cha kazi ulichopangiwa na TAMISEMI?

    Nimekuj kwenu wana jf nisaidieni kunielewesha iwapo huta ripoti kazini(tamisemi) incase ukiwa umepata nafasi kuna changamoto yoyote utaipata mbeleni ukitaka kuomba ajira tena( Tamisemi). Na kama ni ndio kuna taratibu za kufuata kuepekan na hizo changamoto?
  11. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote, angalau kipato kuanzia 10k+ per day

    Wakuu, rejea hapo juu. Vyeti vilivyopo JKT & EACCFFC na nina uzoefu wa mda mrefu. Niko tayari kwenda mkoa wowote, ila Dar es Salaam hapana Asanteni
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania: Meta kuanza kuwalipa wazalisha maudhui wa Instagram na Facebook

    Agosti 6, 2024 Meta imesema kuanzia mwezi huu (Agosti 2024) itapanua zana za uchumaji wa mapato za watayarishi nchini Tanzania kwenye Facebook na Instagram. Hatua hii ni matokeo ya moja kwa moja ya michango taasisi ya JamiiForums na wadau wengine ambao ni watetezi wa Haki za Kidigitali na...
  13. JamiiForums Tanzania Wanawake mjiheshimu mnapokuwa maeneo ya kazi

    Kuna mdada tunafanya nae kazi, nimezoeana nae kawaida, sio mshkaji wangu sana, ila sasa huwaga anapenda sana kuvaa mavazi ambayo yanaonesha maumbile yake. Huyu dada kaumbika plus mavazi anayovaa, aisee nadhani mnaelewa ninachomaanisha. Kuna muda unakuta anajisahau anakaa vibaya, sometimes hadi...
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi inayohusiana na IT au nje ya IT

    Habari za majukumu wana JF, Nina ujuzi wa masuala ya computer, hivyo natafuta kazi yoyote inayohusiana na IT au hata isiyo husiana na IT
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kwani nini vijana wa field tunanyimwa nafasi ya kufanya kazi katika faculty zetu . Especially sheria

    Hello, ladies and gentlemen wa jamii forum , Kama uzi unavojielezea hapo juu . Nina live example . Mimi ni mwanafunzi wa sheria, Jumatatu nilipeleka barua ya field katika mahakama ya wilaya X hawakuipokea wakaniambia nafasi zimejaa katafute sehemu zingine na kunirudishia barua yangu ...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Nitapata kazi mwezi huu

    Roho mtakatifu amenijulisha kuwa kabla ya kuisha kwa mwezi huu nitapata kazi nzuri katika taasisi nzuri, itakuwa na mshahara na marupurupu mazuri, na nitafanikiwa kimaisha na kiujuzi. Asante Yesu. Napokea kadiri ya imani yangu kwa jina la Yesu.
  17. JamiiForums Tanzania Kuna Mwenye Uelewa au Uzoefu na Namna UFANDAO Inavyofanya Kazi?

    Habari wana JF Mimi ni jobless wa muda mrefu na nimeona nitafute njia za kupata mtaji nifanye project niliyonayo kichwani. Kuna mtandao unaitwa UFANDAO kwaajili ya ufadhili kutoka kwa watu mbalimbali endapo watashawishika na wazo lako. Kuna mwenye uelewa na namna inavyo-operate anipe hints...
  18. JamiiForums Tanzania Ukipata kazi inayokulipa zaidi yetu utaacha kazi hapa?: Unajibu vipi swali hili kwenye Interview?

    Katika usaili wa kazi kunakuwaga na maswali ya mtego sana. Mfano ndio umeulizwa hivyo sasa unawajibu vipi ili usikose hiyo kazi?
  19. JamiiForums Tanzania Ninahitaji fundi tiles, site ipo mkoa wa Tanga

    Habari km kichwa Cha habari kinavyoonyesha nnahitaji fundi tiles site ipo mkoa wa Tanga naomba na fundi wakuwepo Tanga maana kazi yangu ni kubwa Hila sio ya kutengeneza Kwa mara moja ndio maana nnataka fundi wa huku huku Tanga maana tutakuwa tunapga vyumba viwili tunakaa wiki tunapga Tena Sasa...
  20. JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma bora za usafi aina zote, fumigation na gardening: Karibuni sana

    Kwa nini utuchague sisi kwa ajili ya kutoa huduma kwako? i) Kampuni yetu imesajiliwa katika mamlaka za Serikali kama vile BRELA, TRA na Manispaa/Halmashauri husika, hivyo tunatoa huduma bora kwa kuzingatia matakwa yote ya sheria na taratibu za Nchi yetu. ii) Mojawapo ya sera ya kampuni yetu ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…