kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Hivi ulisomea kazi gani na Sasa hivi unafanya kazi gani?

    Tuwape Pongezi wale wote wanaofanya kazi walizosomea. Nadhani wanafurahia wanachokifanya na wana amani pia. Lakini kama unafanya kazi huku ukiwa na kinyongo basi mafanikio hutayaona. Wengine ambao wanafanya kazi ambao hawakuzisomea, najua ni ngumu kwao kufanya kwa moyo wote. Lakini usiache...
  2. JamiiForums Tanzania Wameblock telegram? Bila VPN haifanyi kazi

    Kwa tupangieni content na sio na watu wazima? Kisheria mtoto harusiwi kuwa na simu sasa kutuzimia huduma maana yake nini? Kama wanahofia watoto wana simu hayo waachie wazazi wao. More https://www.jamiiforums.com/threads/mbona-telegram-haifunguki.2251573/...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Kazi: Content Creator kwa Video na Picha

    Tangazo la Kazi: Content Creator kwa Video na Picha Tunatafuta mtu mwenye kipaji na ubunifu kwa ajili ya nafasi ya Content Creator wa Video na Picha. Kazi hii inahitaji mtu mwenye ujuzi wa kuunda na kuhariri maudhui ya kuvutia kwa njia ya video na picha. Mahitaji: Uzoefu katika kurekodi na...
  4. JamiiForums Tanzania Bado tuna kazi ya kufanya tupo nyuma sana

    Bado tuna kazi ya kufanya inabidi tuzipige hizo 10% mfululizo China NBS data Annual GDP China's Historical Nominal GDP for 1952–present[8] (current price, revision based on the 4th economic census 2018)[9] year GDP GDP per capita based on mid-yr pop.[10] Reference index...
  5. JamiiForums Tanzania Tumekabizi kazi safi ya urembo wa nguzo na madirisha kwa mteja wetu wa tarime

    Ni urembo safi wa nguzo na madirisha ,ipende ngumba yako.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    Wasifu wangu; JINSIA; Me UMRI; 24-26 ELIMU; Bachelor of business administration MAKAZI; Dar- kigamboni Naombeni mwenye mchongo wa kazi yoyote halali anisaidie nikakomboe cheti changu chuoni kuna kiasi flani cha ada nadaiwa.
  7. JamiiForums Tanzania Trafiki 8 wafukuzwa kazi, 84 waonywa wengine wahamishwa vituo

    Askari wa usalama wa barabarani 168 wamechukuliwa hatua zikiwamo kushtakiwa kijeshi, kuhamishwa vitengo na kufukuzwa kazi, kutokana na makosa ya kinidhamu ikiwemo rushwa katika kipindi cha kuanzia Juni 2023 hadi Juni 2024. Mwanasheria wa Kikosi cha Usalama wa Barabarani, Deus Sokoni ameeleza...
  8. JamiiForums Tanzania Mama wa nyumbani anatafuta kazi ya usafi wa nyumba za kulala wageni au kazi yoyote.

    Mama mtu mzima ,umri miaka 40 anatafuta kazi ya usafi wa nyumba za kulala wageni ,au kazi yoyote halalI ajipatie kipato,. MahalI popote pale hata kijijini.yupo tayari
  9. JamiiForums Tanzania Tangazo la Ajira ya Kuzika Maiti zisizotambulika latolewa Mkuranga. Hizo maiti zitakuwa zinatoka wapi?

    Bali kuna Maswali yanayohitaji majibu Pia soma:Maiti 69 zazikwa na Jiji la Dodoma baada ya kukosa ndugu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Vita l'O , wakiondoka watuachie msemaji wao yule jamaa ni mtu safi sana halafu ikiwezekana apate kazi kwenye timu za Bongo.

    Yule jamaa ana courage kubwa sana , Yule kwanza ni muungwana sana , Anapokua kashindwa wala haleti ubishi, anakubali na maisha mengine yanaendelea hataki matatizo na watu, Buchuti anakupambania hadi mwisho hata kama anajua utashindwa, Jamaa abaki tu Bongo ili tudumishe muungano wa east africa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Manchester United ni ile ile, bado kuna kazi ya kufanya

    Ikiwa ni mchezo wa pili toka ligi ya England ianze Manchester United imepoteza mchezo wake baada ya kukubali kipigo cha mabao 2 kwa 1 kutoka kwa Brighton & Holves Albion huku mabao ya Brighton yakifungwa na Danny Welbeck na Joao Pedro huku Unitedwakifunga bao la kufutia machozi kupitia kwa Amad...
  12. JamiiForums Tanzania GAMONDI : Kazi yako ni kusambaza upendo CHAMA: imeisha hiyo boss

    Kwa sasa kikosi cha Yanga kimekamilika mno kiasi kwamba kama kitaweza kutumia efficiency yake walau kwa 70% basi hata vilabu vingine vilivyotwaa ubingwa wa Afrika kama Al ahly, Wydad, Raja n.k vitapata taabu sana. Ubora wa wachezaji wa Yanga ni wa hali ya juu sana. Tukizungumzia utatu wa pale...
  13. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya Saluni

    Wanaitaji: • Kinyozi 1 • Msusi 1 • Msafishaji na kuremba kucha 1 Aina ya kazi, kuwezesha: • Urembo(wanawake) • Utanashati(wanaume) Sehemu ya kazi: • Kivule - Ilala(DSM) Mwajiri: • Mtu binafsi Ujuzi: • Mwenye ujuzi wa kutosha kulingana na kazi husika, mfano: kunyoa(kinyozi) mitindo...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Wasabato, hizi sanamu za kazi gani?

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Niwatakie Usiku mwema "Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia" Kutoka 20:4
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa kutafuta kazi

    Habari za siku kadhaa ndugu zangu. Narudi tena kwenu wakuu. Week kadhaa zilizopita nilileta bandiko la kutafuta kazi hapa, sipendi nieleze tena mapito yangu ila nataka kusema tu bado kwa upande wangu giza ni kubwa sioni mwangaza Nimejaribu haya kwa upande wangu 1. Nimejaribu viwandani...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Inafikirisha, Polisi alimtumaje KAZI Mjeshi?

    Salaam, shalom!! Zamani tuliaminishwa kuwa wajeda ni wazalendo, wenye Maadili, wapenda Nchi, Na haikuwa Rahisi mjeda kuhongwa Ili kupotoa HAKI. Sasa tukio la uswahilini hapo Nchi Jirani ,limerudi kutufikirisha upya kuwa, iweje mkuu wa police kukaa meza Moja na mjeda Kisha kumtuma KAZI chafu...
  17. JamiiForums Tanzania hivi kuna uwezekano wa mfumo wa ujamaa kufanya kazi kukiwa na wastani mkubwa wa ongezeko la watu?

    tunafahamu kuwa ujamaa ni mfumo bora ambao ndani yake kuna baraka kubwa kutoka kwa mungu,kawaida mungu hutaka watu wake wajumuike ili kumuabudu na kumsifu kwa pamoja,kuishi,kumiliki na hata kufa na kuzikana kwa pamoja,lakini naweza kusema ujamaa ni mfumo wa mbinu/mchakato katika kujenga ubepari...
  18. C

    JamiiForums Tanzania UPO BUSY? NIONE NIKUSAIDIE KAZI

    Habari! Pamoja na kazi yangu ya ulinzi, napenda kuwajulisha kuwa naweza kukusaidia kwenye mambo mengine kwa gharama nafuu. Hapa chini ni huduma zangu: Mafunzo ya Kitaaluma: Unahitaji msaada katika masomo? Niko tayari kukuandaa au mwanafunzi wako katika masomo ya Kiingereza, Hesabu, Sayansi kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Naombeni kazi napatikana Dar

    Jamani niko Dar hapa naombeni please nisaidieni conection ya kazi please 0625544723
  20. JamiiForums Tanzania Waiter at Altezza Travel August, 2024

    Company Description Altezza Travel is a team of dedicated wildlife specialists based in Kilimanjaro Tanzania. Our mission is to turn your Tanzanian dreams into reality by organizing top-notch Kilimanjaro climbing expeditions and wildlife safaris. We prioritize unparalleled safety standards...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…