kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Nawatia moyo JWTZ, kifo ni matokeo yasiyokwepeka kwenye kazi yao; wakiua mmoja, ongeza Battallion moja

    Huo ni mchezo maarufu sana unaojulikana kama Chess. Ni mchezo ambao ukizoea kuucheza sana, utaitengeneza akili yako kuwa mtu wa mikakati zaidi kwa wakati wote. Kuna mafunzo mengi sana unaweza kujifunza kwenye mchezo wa chess, mojawapo ikiwa ni 'sacrifice' and 'trade off'; ili ushinde mchezo...
  2. JamiiForums Tanzania Canada yakataa kusalimu amri kwa Rais Trump kuhusu ushuru wa 25%

    Rais wa Marekani, Donald Trump, alitangaza kuwa anapanga kuweka ushuru wa 25% kwa bidhaa kutoka Canada na Mexico, pamoja na ushuru wa 10% kwa bidhaa kutoka China. Trump alieleza kuwa hatua hii inafanywa kama njia ya kulinda mipaka ya Marekani dhidi ya uhamiaji haramu na madawa ya kulevya ambayo...
  3. JamiiForums Tanzania Kama waziri hapati nafasi kuonana na boss wake unaweza kupata picha nia,dhamira na utendaji kazi wa ufalme huu

    Kiongozi yeyote ambaye sio humble, anayejitengenezea ufalme, asiyejishusha kwa watendaji wake wakuu katika serikali yake, hafai hata kidogo! Atajikweza na kujiweka mbali na wananchi wake, Kamwe hatoweza kujishusha isipokuwa wakati wa uchaguzi. Kiongozi anayejisikia, kujiona, kujipa uthamani...
  4. JamiiForums Tanzania Kazi ya udereva(V.I.P grade ||)

    Natafuta kazi ya udereva Dar es Salaam, dereva mzoefu, mtanashati mwenye vyeti vyote vya udereva
  5. JamiiForums Tanzania Rais wa Burundi katoa onyo ambalo tumeshalitoa mara nyingi humu. Kazi kwenu wenye mamlaka

    Tumeshaandika nyuzi nyingi sana humu. Sasa kaongea Rais wa Burundi. Nawakumbusha tu. Mkifanya nao mazungumzo kuhusu Goma na wakafanikiwa kituo kinachofuata ni Kagera na wakulianzisha ni Muhoozi K.
  6. JamiiForums Tanzania Tangu nikute mabinti wamekaa wanashauriana namna ya kujimilikisha mali za michepuko yao ilinifanya niheshimu kazi ya mikono yangu na wanao-istahili

    Sawa mnitukane sina hela. Vibinti tu ya 20+ yrs. Mmoja akawa anampa mfano wa jinsi nyumba aliyekuwa amewekwa rafiki yake na bwana yake (mme wa mtu) alitoka kapa bila ya kupata kitu baada ya huyo mwamba kufariki. So akawa anamwambia kila kitu anachokupa kiwe katika jina lako kisheria pia...
  7. JamiiForums Tanzania Kwenye connection ya kazi ya delivery agent kwa kampuni za mwanza anishtue au kazi yoyote ndani ya Mwanza

    Wakuu habari ya jumapili Kwa heshima na tahadhima naomba kwenye connection ya kazi ya kufanya delivery ya mizigo kwa kampuni zilizopo Mwanza anishtue au kama kuna kazi yoyote halali mnipe jamani Hali mbaya kitaa Nina leseni ya udereva ninaweza kuendesha gari na pikipiki na nina ufahamu wa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kazi za tender za halmashauri miradi ya serikal mashule,zahanati

    Habar wakuu nataka kusajili company niwe naomba tender za kusuply material katika miradi ya hamashauri mashule,zahanati..vip wakuu Kuna ukiritimba wowote wakupata au ndo Hadi uwe na connection na afsa manunuzi,na vip katika malipo Naskia Kuna mfumo mpya wa nest wanadai kuwa hauna urasimu kupata...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kazi au connection za kazi

    Wakuu habari za majukumu ya hapa na pale.Naomba kama Kuna mwenye kazi au connection za kazi,mahali popote professional nimesoma ualimu,“Diploma for secondary education ”masomo ya phizikia,pamoja biologia.Pia ambazo siyo professional Kama —⟩Ufugaji wa kuku aina ya broiler. —⟩kilimo Cha bustani...
  10. JamiiForums Tanzania Kazi gani haina changamoto tuje tufanye kwa pamoja

    Wakuu tupeane michongo Kazi gani haina changamoto tuje tufanye kwa pamoja
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza Waziri wa Biashara kudhibiti Wageni kufanya biashara za Machinga, ahoji vijana wetu watafanya kazi gani?

    Rais Samia, amesema haiwezekani wageni kuingia nchini na kufanya biashara za machinga, huku akieleza kuwa vijana wetu (Kitanzania) watafanya nini? na kuagiza Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo kuhakikisha suala hilo linasimamiwa ipasavyo ili kulinda fursa za ajira kwa wananchi wa...
  12. JamiiForums Tanzania Nguvu kazi ya Tanzania ni Milioni 25

    Watu wengi hawafuatilii takwimu na hawa ndio wanapiga kelele kuwa Tanzania sii nchi maskini inayohitaji misaada na mikopo. Je unajua kati ya watanzania Milion 65, ni watanzania milion 25.7 pekee ndio wenye uwezo wa kufanya kazi ya kujiingizia kipato? Nikiwa na maana hao wengine wanaobaki...
  13. JamiiForums Tanzania Miss Natafutwa nimeshapata Kazi, Asanteni wote mlionipambania ❤️❤️❤️

    Ila watu wa humu, aiseeee🙌🙌🙌🙌 Anyway, turejee uzi wangu huu https://www.jamiiforums.com/threads/ninapitia-msongo-mkali-wa-mawazo-baada-ya-kusimamishwa-kazi-kisa-vyeti-feki-naomba-ushauri-niweze-kujikwamua.2296429/ Kiufupi wengi walikuwa pamoja nami katika kipindi kifupi kilichopita cha msoto wa...
  14. JamiiForums Tanzania Tangazo la ajira: Graphic designer & digital marketer

    Tunatafuta mtaalamu mwenye ujuzi katika Graphic Design na Digital Marketing kwa ajili ya kujiunga na timu yetu. Mtu anayefaa kwa nafasi hii anatakiwa kuwa mbunifu, mwenye uelewa mzuri wa masoko ya kidijitali, na uwezo wa kuandaa maudhui yanayovutia. Majukumu: Kubuni na kutengeneza nyenzo za...
  15. JamiiForums Tanzania Maafisa waliomfungulia kesi Trump wafutwa kazi

    Huko Marekani hakupoi wala hakuboi. Trump kila kukicha anakuja na jipya. Wizara ya Sheria ya Marekani imewafukuza kazi zaidi ya maafisa muhimu kumi na mbili waliokuwa wakifanya kazi katika timu ya Mwendesha Mashtaka Maalum Jack Smith, iliyokuwa ikimshitaki Rais Donald Trump. Uamuzi huo...
  16. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kilikusababishia ufeli interview ya kazi?

    Tunajifunza kutokana na makosa. Tunaomba uzoefu wako katika hili. Asante.
  17. JamiiForums Tanzania Nipo hapa kuomba fursa ya ajira au connection ya Kazi hasa kuhusu kitengo cha mazingira, Afya na usalama mahara pa kazi

    Habari
  18. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma washauriwa kufanya kazi nyumbani Tarehe 27/28 Jan. Sasa si bora watangaze siku mbili za mapumziko tu.

    https://www.instagram.com/p/DFScSN8C6Ko/?igsh=dmNjZ21lb2tscnJj Wangesema tu kusiwe na kazi kwa siku 2 kuepusha purukushani. Maana kiuhalisia itakuwa ni mateso tu katika swala zima la usafiri.
  19. JamiiForums Tanzania Serikali: January 27,28 watumishi wafanyie kazi nyumbani

    Kufuatia Tanzania kuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati utakaofanyika Januari 27 na 28 hapa nchini, Serikali imeelekeza watumishi wa umma katika Mkoa wa Dar es Salaam wafanyie kazi nyumbani isipokuwa watumishi ambao mazingira ya kazi yanawataka kuwepo katika vituo vya...
  20. JamiiForums Tanzania Wanaume wakweli hununuliana bia,kupeana mabinti,connection za kazi na kukopeshana hela sio kuhongana magari

    Kwa sie watu wa pwani ukiona mwanaume mwenzio anakupa asset au kitu cha thamani juana yeyekuna siku atakuja kukuomba kitu. Yaani mwanaume mwenzio akupe gari ya mamilioni???utaolewa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…