kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Wazir Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amfuta kazi mkuu wa Usalama wa Taifa Ronen Bar

    Baraza la mawaziri la Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu lilipiga kura kwa kauli moja kuunga mkono kumfukuza kazi mkuu wa Shin Bet Ronen Bar, ofisi ya Waziri Mkuu imetangaza. Siku ya mwisho ya Bar itakuwa Aprili 10, huku serikali ikisogeza hatua ya kumfukuza kazi baada ya hapo awali kuratibisha...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Serikali imewasimamisha kazi wasimamizi wa Mizani kutoka Tunduma, mkoani Songwe hadi Vigwaza

    Waziri wa Ujenzi, Mh. Abdallah Ulega, amesema serikali imewasimamisha kazi wasimamizi wa Mizani kutoka Tunduma, mkoani Songwe hadi Vigwaza, mkoani Pwani, ambao walikuwa kwenye zamu kwa kosa la kadhia iliyojitokeza hivi karibuni ikihusisha gari ya mizigo pamoja na mama mmoja aliyejitambulisha kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kipanya: Kazi iendelee

  4. JamiiForums Tanzania Kupata kazi yenye mshahara mnono kunachangia kujituma

    Wadau poleni na majukumu Mimi ninahoja kama 3 naomba tujadili kidogo.Hivi wadau kwa aliyewai kufanya kazi akapa mshahara mnono na package nono alifanyaje ilikuwa ni bahati au connection nauliza hivyo sababu mimi sijawai kupata hiyo bahati ila kazi uwa napata hilo namshukuru Mungu kingine hivi...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 TANROADS yasaini mkataba wa Km 3.8 kwa Tsh Bilioni 54 na Wachina kujenga barabara ya Njia Nne Mbagala Rangi Tatu–Kongowe

    Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam imetia saini mkataba wa ujenzi wa barabara ya njia nne kutoka Mbagala Rangi Tatu hadi Kongowe kwa kiwango cha lami, ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan la kutatua...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Shida ya ukosefu wa ajira sio mfumo wa elimu tu, watanzania wengi hawaajiriki, ni wavivu na wezi

    Majaliwa ametaja njia moja wapo ya kukabiliana na ukosefu wa ajira ni kwenda Veta, yawezekana ila shida kubwa iko kwenye sisi wananchi wenyewe. Visa vingi sana vimeletwa humu ndani kuhusu namna waajiriwa walivyo rudishwa nyuma kwa wizi. MImi binafsi nina mifano mingi sana. Lakini pia...
  7. JamiiForums Tanzania KERO Responded TRC sehemu ya kununua tiketi za SGR online haifanyi kazi, shughulikieni

    Wakuu, Nataka nikaionje SGR lakini naona TRC Railway wanataka kunihujumu. Website yao inafunguka vizuri tu lakini ukifika sehemu ya kukata tiketi za SGR inakwama. Kuna nini? Au wametoa taarifa huko kuwa sight yao kwenye kipengele hiko ipo down? Ujumbe uwafikie waheshimiwa TRC, fanyeni mambo...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada wa matumizi ya dawa hizi

    Hizi dawa zinafaa kula ukiwa unaumwa na kichwa?madoctor karibuni
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM waweka ukomo nafasi za Ubunge na Udiwani Viti Maalum, waja na kauli mbiu mpya

    Wakuu, TAARIFA KWA UMMA Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, imefanya kikao chake maalum jana tarehe 10 Machi, 2025 jijini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Katika kikao hicho, Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa imepokea...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au kibarua chochote, nipo Ubungo, Dar es Salaam

    Nikijana mchapakazi, mwenye hofu ya MUNGU, pia ni mwaminifu, Elimu yangu na stashahada(diploma) secondary education(physics, biology),kwa upande wa VETA kama nikipata sponsor hata sasa, nipo tayari kwenda ila kwa sasa, Mimi ndio Baba Mimi ndio Mama🙏.
  11. C

    JamiiForums Tanzania DC Kibaha umeichoka kazi yako?

    Hivi hawa ma-DC huwa hawapewi mafunzo/maadili kabla ya hizi teuzi? Show off Hizi zitawaponza. Mambo yako binafsi/familia unayaletaje Kwenye ofisi za Umma?
  12. JamiiForums Tanzania Moja ya hasara ya kuoa, ni mke kukukasirisha hadi unashindwa kufanya kazi au kuvurunda

    Msione mtu anakesha baa au anajipa safari safari, kuna nyumba nyingine hazikaliki, ndani kwa moto. na sio kua mtu sio mwanaue kamili, la hasha, ila kuna majanga unakutana nayo, ni kama uji wa moto mdomoni, kumeza huwezi kutema huwezi. Kila mwanamke anajoto lake, anakuvuruga kwa namna yake...
  13. JamiiForums Tanzania Jamhuri ya Muungano? Kazi iendelee. Kazi ipi zaidi ya uchawa?

    Tangu mtukufu mama aingie kwenye ulaji salama ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kazi Iendelee imekuwa ikitumika. Je ni wangapi wanajua maana na mantiki yake? Kazi gani inayoendelea ambayo haiboreshi maisha ya watanzania? Kunaweza kuwako kazi na ya kuendelea katika uchawa huu kwa sasa? Je Kazi...
  14. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi sales Experienced officer

    Kama unao uzoefu wa kazi za sales kwa miaka mitatu, Diploma/ degree marketing nichek cv yako hybridprojectmanagement@gmail.com
  15. JamiiForums Tanzania Wenye experience ya kifaa cha airtel Wi-Fi kilicho portable (pocket). Tusaidiane kujua uimara wake na utendaji kazi

  16. JamiiForums Tanzania Wenye experience ya kifaa cha airtel Wi-Fi kilicho portable (pocket). Tusaidiane kujua uimara wake na utendaji kazi

  17. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kazi ya walimu ni nini?

    Navojua kazi ya walimu ni kufundisha, ila sina uhakika kama walimu wa siku hizi wanajua kazi yao na sababu ya wao kua shuleni!! Mwalimu kila siku anampa mwanafunzi homework nyingi ambazo darasani hajafundisha! Unatoa homework ambayo hujafundisha darasani unategemea mwanafunzi afanyaje...
  18. JamiiForums Tanzania Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari: Kipaji pekee hakitoshi katika kufanya kazi za kihabari

    Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), imeweka bayana msimamo wa kisheria wa Sheria ya Huduma za Habari kuwa kipaji pekee hakitoshi kumfanya mtu afanye kazi za kihabari kama hajapitia katika taaluma ya Uandishi wa Habari na kukidhi vigezo. Msimamo huo umebainishwa na Kaimu Mkurugenzi...
  19. JamiiForums Tanzania Update: Kazi na Utu, Tunasonga Mbele T2025 CCM

    *Uzi huu utakuwa ni update ya kila siku kuhusu kauli mbiu hii ambayo inamfaa kila mtanzania. * Kauli mbiu rasmi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2025 ni "KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE" . Kauli mbiu hii inasisitiza umuhimu wa kufanya kazi kwa bidii huku...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Madalali kwenye ajira

    Ivi ni kwanini kazi sikuhizi wanapewa madalali?.Watu kabsa wameanzisha hadi makampini watu m-subscribe ili kupata kazi, kwanini yani ili upate kazi mpaka utoe hela. Eti kazi hii ili kupata Ada yake ni 30000 .WHY? Jamii Forum fikisheni hii sehemu husika ishakuwa kero.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…