kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Kazi kuu za dini ni mbili tu, kusifu na kuabudu

    Waliotuletea dini zetu hizi mbili waliambatana na wakoloni kwenye mapito yao. Waliabu na kuimba kwa furaha pamoja na wakoloni. Sisi wageni tulifundishwa kusema na kuamini kuwa tuheshimu mamlaka maana mamlaka zinatoka kwa Mungu. Yaani hata mamlaka za wakoloni wetu pia zilitoka kwa Mungu hivyo...
  2. JamiiForums Tanzania Vyombo vya Usalama na Serikali vinafanya kazi na malengo tofauti.

    Vyombo vya Usalama vinalinda Usalama wa mali na raia. Usalama ukitoweka walinzi wa Usalama ndio wanalaumiwa. Kama viongozi watatumia vyombo vya Usalama kuwakandamiza wananchi au kuwadhulumu wananchi haina maana kwamba Polisi wanaruhisiwe kuwaachia vibaka waibe . Polisi hawana mamlaka juu ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kazi na Utu; Watu wanatekwa, Watu wanauawa, Makanisa yanafungiwa, Tunasonga mbele

    Kuna Mgombea mmoja 'Motto' wa kampeni zake na chama chake ni 'Kazi na Utu', wakati huohuo katika nchi anayoiongoza watu wametekwa, wameteswa, wameuawa, wengine wametekwa mchana kweupe na miili kukutwa imetelekezwa Wakati huohuo baadhi ya wachache wenye ujasiri wa kuisemea hadharani na kukemea...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kazi ya polisi ngumu sana

    Imagine unatakiwa kwenda kuwatawanya watu wasikusanyike kwenye Kanisa la ufufuo na uzima wakati na wewe ni muumini wa hapo hapo. Pole sana kaka yangu, nilikuambia twende ualimu ukakataa. Ona sasa!
  5. JamiiForums Tanzania CCM kurudisha Imani vizazi vya namna hii ni kazi kubwa

    Ilikiwa video na mabaya zaid nipiga kura mahiri wakinamama Hawa wanawake wameamua kutoa kama tangano sasa hapa ni ngumu kuwapa Imani na chama tena. https://www.instagram.com/reel/DILfS7shYyA/?igsh=MXV1dnQyc2FtbWR6cA==...
  6. JamiiForums Tanzania Kivipi naweza kupata email ya ikulu, serikali, international organisations ili kuwasilisha malalamiko yetu eneo la kazi (whistleblowing)?

    Ninapofanya kazi sio shwari kuna mambo mengi hayapo sawa. Huyu muwekezaji ana nguvu na anajeuri ya kupindisha mambo ya kisheria kuanzia kwa wafanyakazi mpaka mambo ya kimamlaka na ukosefu wa uadilifu. Nataka nifikishe ili jambo kwenye vyombo vya serikalini na watetezi wa haki za wafanyakazi...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Watu wanaongelea pesa za kichawi bila uthibitisho, Kama ni kweli zinapoingia kwenye account anaetuma ni nani ?

    Naweza kuamini pesa inaweza kupatikana kwa njia nyeusi na hatarishi kama ujambbazi lakini si nguvu za giza. Yani utoke tu huko kwa mganga uzikute zimedondoka chumbani kama furushi la magimbi, hizi bi hadithi za sungura na fisi. Kama ni muamala benki zinarekodi kila kitu, jina huwa ni la nani ...
  8. JamiiForums Tanzania Nashauri kazi ya kukusanya taarifa binafsi za watalii ibaki kwa wizara ya mambo ya ndani (Immigration)

    Kuna hizi taasisi zetu kubwa kama TANAPA/NCAA/WMA nk wameboresha mifumo yao na kuhusisha kukusanya taarifa binafsi za MTALII zilizopo kwenye Passport yake kabla hajafika Nchini. Nafikiri ifike mahala hayo majukumu yaachiwe Idara husika ambayo ni ya mambo ya ndani kwani sioni kwa nini Kampuni...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kazi Nina stashahada ya ufundi mitambo (mechanical technician)

    Naomba kazi Nina stashahada ya ufundi mitambo (mechanical technician) Mawasiliano; inbox
  10. C

    JamiiForums Tanzania Ombi la kazi

    Iam a forklift operator looking for a job vacancy,popote naenda 34 of age
  11. JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuset ussd code zifanye kazi

    Habari za muda huu wakuu , Msaada jinsi ya kuset USSD zifanye kazi maana kila nikijaribu kuingia kwenye menu inaonyesha ussd code running alafu baada ya muda inaandika connection failed or mmi invalid
  12. JamiiForums Tanzania Raisi Samia Suluhu Hassani alikosea sana kumjibu askofu Gwajima kwani aliongea ukweli ambao serikali ilitakiwa ifanyie kazi na simaneno yale

    Gwajima tunanfahamu ni mtu ambaye hajakurupuka kutoa taarifa ya utekaji kwani swala hilo linapigiwa kelele na watanzania wote, kitendo cha raisi kumdhalulisha gwajima mbele ya umma huku akijuwa mambo aliyoyaongea yalitakiwa yafanyiwe kazi na serikali ni dhahiri sasa watekaji raisi mwenyewe...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kazi

    Naomba mnisaidie nina matatizo nimeacha chuo sina ada nyumbani hali ngumu hata nauli wameshindwa kunipa nakaa kwa rafiki, mguu wangu mbovu Naweza kazi zote za mikono kupika kufua. kazi za stationary pia naweza nimewahi pia kuuza duka na kazi zote ambazo haziitaji kutembea sana maana ni mlemavu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Heche Boda Boda wote kulipwa Pensheni,Lema kazi ya Boda Boda ni Laana

    Makamu mwenyekiti wa chadema akiwa anahutubia wananchi ameahidi ya kwamba sera ya chadema ni kuhakikisha ya kuwa kila boda boda hapa nchini analipwa pensheni .Je mzee Lema aataendelea na msimamo wake kuwa boda boda ni kazi ya laana?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Boda Boda wote kulipwa Pensheni,Lema kazi ya Boda Boda ni Laana

    Makamu mwenyekiti wa chadema akiwa anahutubia wananchi ameahidi ya kwamba sera ya chadema ni kuhakikisha ya kuwa kila boda boda hapa nchini analipwa pensheni .Je mzee Lema aataendelea na msimomo wake kuwa boda boda ni kazi ya laana?
  16. JamiiForums Tanzania DR. DOROTHY GWAJIMA.IRON LADY!KWANGU MIMI NDIE WAZIRI MCHAPA KAZI KULIKO MAWAZIRI WOTE SERIKALINI.

    Dr.Dorothy Gwajima.Huyu mama licha ya uchapakazi wake kuwa mzuri ni mtu mwenye roho poa sana.Anaitendea haki kabisa nafasi ya uwaziri. Mama ikikupendeza Mpe Dr.Dorothy Gwajima nafasi nyeti zaidi kwa manufaa ya walio wengi.Binafsi niliwahi wasiliana nae kwa zaidi ya issue tatu zinazohusu ukatili...
  17. W

    JamiiForums Tanzania IT mpo? AI inachukua kazi zenu kimyakimya, Mjipange !! Karinga kunitengenezea website ndogo kwa elf 10 nimemaliza kila kitu kwenye ChatGPT bure.

    Leo nilikuwa napitia uzi flani humu ndani wa kero ya kutambua mitandao kwa namba za simu. Nikaona nifanye kiproject simple cha kutatua tatizo hili, nikaandika orodha ya namba pamoja na mitandao yake. Nikaenda kwa IT flani yupo tu kitaa atengeneze website ndogo ya kurahisisha kwa dau la elfu 5...
  18. JamiiForums Tanzania KERO CRDB Sim banking haifanyi kazi zaidi ya saa nne

    Kila kitu hoi, customer service hawapokei. CRDB mmekuwa trash sana, masaa 4 sim banking haifanyi kazi , biashara na miamala vinagoma kuendelea kwa sababu ya upumbavu wenu Trash🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
  19. JamiiForums Tanzania Maslahi ya nje ya mikataba ya kazi yanalipa sana kuliko mshahara

    Nimesikiliza leo Crown Fm na hoja ya wachambuzi kuhusu timu 6 kuandika barua kudai haki kutokana na unyonywaji na marefa. Nimeshangaa sana badala wachambuzi kushikilia msimamo na haki kuokoa soka letu, lakini hoja zilizokua zimejaa ni “mbona mwaka ule Yanga alifanya hivi, Mbona mwaka ule Simba...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Baadhi wametumwa kuja kuangalia msimamo na mawazo ya wananchi, wala tusiwabeze, ndo kazi inayowaweka mjini.

    Mko salama wanajamvi? Niende moja kwa moja kwenye mada Kuna ndugu zetu humu, tunaweza kuwa tunawabeza, kuwatukana, kumbe maskini wa Mungu wametumwa kuangalia comments za wananchi. Ndo maana ukifatilia mada zao ni kuponda upande wa pili na kusifia tu CCM. Hata kama watu wanauwawa, wanatekwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…