kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Tuendelee kutambua genge la wahaini wanaofanya kazi across EAC!

    Ni vyema sana Jumuiya ya Africa Mashariki ikashirikiana kutambua kigenge cha wahaini wanaopokea fedha kutoka ughaibuni kwa nia ya kuleta machafuko na kurudisha nyuma uchumi wa EAC.
  2. JamiiForums Tanzania Taratibu za kupata kazi canada

    Wakuu za asubuhi naomba mwenye maelezo mazuri namuna ya kupata kazi canada anisaidie nimesoma course ya afya Tz
  3. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni ufafanuzi kuhusu posho za nje ya kituo cha kazi

    Salaam wakuu. Naomba msaada tajwa hapo juu kuhusu posho Kwa viongozi Hasa kuanzia ngazi ya wizara na juu yahapo. Kinachonitatiza nikwamba,hivi kiongozi mwenye dhamana ya kushughulikia masuala yote ndani ya nchi(mikoa yote) ambaye ofisi Yake ipo Dar Kwa mfano, anaweza kulipwa posho akiwa...
  4. JamiiForums Tanzania MAOMBI YA KAZI.

    Habari wakuu, Utangulizi: Awali yayote nipende toa shukrani kwa Mungu na kwa yeyote atakae wiwa na maombi yangu. Mimi ni kijana umri miaka 24, nina degree ya accounting with information technology,graduate of 2024, naishi dar es salaam,,,. Uzoefu: 1. Utafutaji wa masoko na kudeal na wateja...
  5. JamiiForums Tanzania Eneo la Siri la Serikali (ESS) pokea mtazamo wa Kalooism kuhusu madaraja ya hapa kazi tu

    Ndg wanajamvi,Habari za majukumu,Wapo poleni na wapo hongereni,mimi mwenzenu bado ni mzima wa Afya. Kama ilivyo kawaida kwa watu wa asili moja,nchi moja bara moja lazima na ni bora tuwe na mtazamo wa dunia moja katika ulimwengu tuishio,Hapa Nina mtazamo wa kalooism kuhusu namna fulani inayoweza...
  6. JamiiForums Tanzania Ijue zaidi kazi ya real estate

    MAANA YA REAL ESTATE Real Estate ni kazi au biashara inayohusiana na kununua, kuuza, kupangisha au kuwekeza kwenye ardhi, majengo, nyumba au viwanja. Ni sekta inayokuwa kwa kasi nchini Tanzania kutokana na uhitaji mkubwa wa makazi na maendeleo ya miji. AINA ZA REAL ESTATE 1. Makazi...
  7. JamiiForums Tanzania Nahitaji vijana waliomaliza form6 au wanachuo Tufanye nao kazi

    Vijana 6 wakufanya nao kazi SMARTWORK Kazi yao itakua ni kuniletea wateja wa internet bundle Tutalipana hapo hapo. Malipo ya juu 30,000 kwa siku Maripo ya chini 10000 kwa siku Kama upo tayari niandikie mawasiliano yako hapo chini Mawasiliano yyte kama email Simu Acc ya social media Au yute...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kutuma maombi ya kazi kwa njia ya Posta

    Habari, kama heading inavyosema haina haja ya kujaza seva za jamiiforums. procedures zikoje A to Z, gharama, bahasha ni yoyote tu, au wanataratibu zao.
  9. JamiiForums Tanzania Tujiburudishe kidogo na hizi kazi za ubunifu

    Siasa na michezo wiki hii imechukua muda wetu mwingi.. Na mijadala yetu imekuwa na matokeo butu kwakuwa wenye mamlaka wanatufuatilia kwa jicho kali la tai Hivyo basi hebu tujjburudishe kidogo na hizi kazi kabla hatujarejea kule kwenye stress.. Hapa kuna baadhi yetu wanaweza kufaidika na hizi kazi
  10. JamiiForums Tanzania Ukweli woe kuhusu kazi za ndani uarabuni huu hapa

    KAZI ZA NDANI UARABUNI – FULL INFO Chanzo: chuosmart.com Inahusu nchi kama: Saudi Arabia, UAE (Dubai), Qatar, Oman, Kuwait, Bahrain 1. Maana ya Kazi za Ndani Uarabuni Ni kazi zinazofanywa majumbani na wanawake au wanaume walioajiriwa kusaidia shughuli kama: Kufua, kupika, kusafisha...
  11. JamiiForums Tanzania Ijue vizuri kazi ya contents creators

    Content Creator – Mbunifu wa Maudhui Chanzo: chuosmart.com 1. Maana ya Content Creator ni Nani? Content Creator ni mtu anayebuni na kutengeneza maudhui (content) kwa ajili ya matumizi ya kidigitali — kama vile video, picha, maandiko, podcast, blogs, infographics n.k. Maudhui haya huwekwa...
  12. JamiiForums Tanzania Unaweza kupata kazi na ajira za Freelancing Bila Kutegemea Upwork au Fiverr.

    Unaweza kupata wateja wa Freelancing Bila Kutegemea Upwork au Fiverr. Unaweza kupata wateja wa Freelancing Bila Kutegemea Upwork au Fiverr. Jinsi Nilivyopata Wateja 100 wa kwanza Nimekuwa freelancer kwa miaka 5, Nimefanya kazi na wateja zaidi ya 100 Global. Wengi wao sikuwapata Fiverr wala...
  13. JamiiForums Tanzania CCM Tumethubutu, Tumeweza, Tunasonga mbele, Kazi na Utu 2025

  14. K

    JamiiForums Tanzania Hashimu Spunda na mpango kazi wa Rais Samia na CCM kutengeneza upinzani FAKE. Je, Watanganyika watang'amua hili?

    Watanzania ni wajuzi wa mambo ila sio wenye kuchukua maamuzi kwa haraka Watanzania ni wanyonge mno sera Yao ni mwenye nguvu mpishe na hii ndiyo sababu ya CCM na serikali kufanya watakavyo na hawajawahi kukwama. CCM katika kampein yake ya kujibakiza madarakani ikiwezekana hata...
  15. JamiiForums Tanzania Oral Interview ya TRA 2025 nikajikuta kila kitu nimesahau

    Nimejipanga vizuri, nimesoma kila sehemu. Lakini ile kuingia tu kwenye chumba cha wadosi nikawekwa mtu kati, watu wananikodolea macho, mungu wangu…… Nikajikuta kila kitu nimesahau. Maswali yalikuwa rahisi sana, nilipotoka tu kwenye kile chumba cha Oral na kufika nyumbani, majibu yakaanza...
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta Nafasi ya kazi

    Shikamooni wakubwa zangu, habari za kazi pia vijana wenzangu. kwa jina naitwa meshack ni muhitimu wa chuo cha taifa cha usafirishaji Dar es Salaam. natafuta kibarua au kazi kabisa. Elimu yangu ni degree ya usafirishaji na logistiki kwa ujumla naweza nikafanya kazi kama afisa usafirishaji yaani...
  17. JamiiForums Tanzania Wakuu shida nini Airtel Leo siku ya nane ussd haifanyi kazi inaniletea hivi

    Sijajua shida wakuu
  18. JamiiForums Tanzania Mbunge Musukuma akoshwa na kazi ya Samia, apita daraja la Kigongo Busisi(JPM) Bridge akishangilia, aiponda No Reform No Election

    Mkikaa kimya mawe yataongea. Musukuma ameshangilia kazi za awamu ya sita.
  19. JamiiForums Tanzania Ajira Portal & Other Jobs Board Assessment.

    Job Vacancies Assessment – Top 5 Regions with Most Frequently Posted Jobs Nikiwa kama Jobs Board Webmaster (Namanage Job sites zaidi ya 3 za ajira, Ajira Portal, Kazi Portal, na Ajira Point), I have observed patterns and frequency of job vacancies kulingana na mikoa. He is what I found out ...
  20. JamiiForums Tanzania Hii ndo kazi za Mbunge au ni kazi za Balozi/ mjumbe?

    Tanzania tuna safari ndefu sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…