kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni polisi na unapinga mauwaji yanayoendelea acha kazi chuki na ubaguzi mnaoujenga kwa watu mtakuja kujuta

    Kama wewe ni polisi na unapinga mauwaji yanayoendelea acha kazi chuki na ubaguzi mnaoujenga kwa watu mtakuja kujuta.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki, naomba maombi yenu ya tarehe 9.11 na misaada mtakayoikusanya viwaendee pia waliodhulumiwa Mali zao na kazi zao! Mungu awabariki sana

    Bwana asifiwe! Mmeamrishana kufanya Ibada maalumu jumapili hii ya tarehe 9.11.2025 kwa ajili ya kuwarehemu marehemu waliotokana na fujo za juzi katika uchaguzi mkuu pamoja na kuwaombea uzima majeruhi wote. Aidha, mmewataka watu kupeleka misaada kwenu kwa ajili ya majeruhi. Ni jambo jema...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Samia Sasa Haongozi nchi, KAZI yake sasa ni Kulinda Uraisi Wake

    Sasa hivi serikali ya Samia haifikirii chochote kuhusu maendeleo ya nchi na watu wake, sasa KAZI kubwa na pesa kubwa imeelekeza katika Kulinda Uraisi Wake ambao anahisi kuna watu wanataka kuuchukua ikiwemo Tulia na Majaliwa. Nina hofu kubwa sana juu ya mustabadhi wa nchi hii, kwasasa ni kweli...
  4. JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari (Professionals) nadhani kwa wakati husika ni bora kutundika kalamu na kufanya mengine-bora hii kazi tuwaachie Citizen Journalists

    Hawa ndugu zetu hivi karibuni walianza kuwabana wenzao na kuwakataza wengine kufanya kazi hii adhimu kwamba hawana Elimu na ili kufanya hii kazi lazima wao kama Tasnia waamue nani wa kuifanya (amekidhi vigezo). Wengine tuliona karne hii ya Citizen Journalists na kila mwenye simu na habari kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete kazi ya kulinda tunu ya nchi imemshinda

    Kwa sasa Tanzania hakuna mtu mwenye jukumu la kuilinda Tanzania kama ‘Jakaya Kikwete’ ndio supremo wa mfano. Wengine ni retired security officers, yaani previous CDF, DGIS, IGP’s, Magereza na uhamiaji. Hawa watu wanajukumu la kuhakikisha Tanzania inabaki kama walivyoikuta na wengine mbele yao...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Samia isn’t helping herself: Haya ma-Lamborghini na ma-Limousine ya kazi gani?

    Nimeona gari mpya za Samia; ni kama amekuja kutokomesha kwamba tulishoboka na zile Rolls Royce za mwanae? Yeye kaja sasa kutuonesha kwamba hatukuwa tumeona kitu bado. Na bado duru zinasema tayari imenunuliwa ndege ya Rais ambayo hatujapata kuona Afrika, na mnunuzi ni yule yule tena mwanae...
  7. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka amkabidhi nyaraka za kazi Rais Samia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhiwa nyaraka za kazi kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka mara baada ya kuwasili katika Ofisi yake Ikulu Chamwino, akiwa tayari kuanza rasmi majukumu yake baada ya kuapishwa.
  8. JamiiForums Tanzania Kazi ya VPN

    Naomba nijaribu kueleza matumiz ya vpn kwa uchache sana Vpn haipo kwa ajili ya kuleta mtandao mahala ambapo hakuna mitandao kwa maana ya internet Vpn ni mahususi kwa ajili kuingia kwenye website ambazo zimekuwa restricted ku access Mfano jf imefungiwa ili usipate wala kuona maudhui yake...
  9. D

    JamiiForums Tanzania GE2025 Soon atamfuta kazi IGP, lakini tusipumbazwe

    Habari za chini ya carpet ni kuwa atamfuta kazi IGP na akina Muliro ili kutuzuga kuwa mauaji yote yaliyofanyika hayana fingerprints zake, but men….we shouldn’t be fooled. Huyu ni wa kwenda naye ulalo ulalo hadi ateme bungo. No letting up🇹🇿🇹🇿🔥🔥
  10. JamiiForums Tanzania Redcross baada ya mafanikio waja na mpango kazi mpya

    Miye sijui kwa kweli! Watu wataona meno na wamedhamiria. Niko bwejuu najificha walahi sijui. Redcross wasema wameshinda. Wanasema hiyo ilikuwa awamu ya kwanza. Kumerauka! Zamu yao..... Mwendo wa milio. Na bado. Naye nye nyie
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: FBI wamenitaarifu Serikali ya Tanzania imewapa kazi Mexican cartel waniue

    Kwa mara ya pili, Taasisi ya Uchunguzi wa Uhalifu ya Marekani, FBI, imemuarifu Mange Kimambi kwamba amepangwa kuuawa, kwa mujibu wa taarifa za kiinteligensia ilizozipata FBI. Yamesemwa leo na Mange mwenyewe. Mara ya kwanza alitahadharishwa hayo wiki mbili zilizopita wakati akipanda ndege...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Mashujaa Wetu Wote. Kazi Inaendelea

    Ningependa kuzungumzia kwa kirefu lengo la kichwa cha mada hii; lakini hiyo siyo dhumuni la haya machache nitakayo yaweka hapa. Mashujaa, waTanzania wote, hasa vijana mliojitokeza maeneo yote ya nhi yetu kuandamana kupinga uhalifu uliofanyika; na baadhi yenu kupoteza maisha, nawapongeza kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Fikisha ujumbe: Mpango kazi wa maandamano

    ndugu zetu kote Tanzania ili kuepuka vifo zaidi, tusaidiane kuwaambia wasikae mbali na magari ya JWTZ yaliyoko barabarani, amani kwa sasa inapatikana barabarani kando ya magari JWTZ walioko barabarani!!!.. majumbani ni killing zone
  14. JamiiForums Tanzania Chanzo kutoka UN: Samia yupo mpaka wa Tanzania na Uganda. Jeshi malizeni kazi, mkamateni mkabidhini kwa Wahaya wamalize kazi

    Inaelezwa kuamkia jana Samia alikimbilia Uganda na kuhifadhiwa kwa Museveni. Chanzo kutoka UN kimedai amehifadhiwa mpakani mwa Uganda na Tanzania. Wazalendo wetu mliotukuka JWTZ tunaomba kikamateni hicho kikaragosi na mkikabidhi kwa Wahaya wakishughulikie kwa damu alizomwaga za kina Mdude...
  15. JamiiForums Tanzania Sio wajibu wa jeshi kushughulika na vitendo vya kihalifu mtaani, hiyo ni kazi ya polisi.

    Wenye wajibu wa kukemea na kupambana na vitendo vya kihalifu ni polisi na sio jeshi la wananchi. Kazi ya jeshi ni kulinda mipaka ya nchi, katiba na uhuru wa nchi. Vitendo vya kihalifu mitaani havihusiani na usalama wa mipaka ya nchi, katiba na uhuru. Wanaofanya uchaguzi haramu unaopelekea hadi...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Jeshi ni: Radio ya Taifa na Viwanja vya ndege - kazi imeisha

    Jeshi ni : Radio TZ, na viwanja vya ndege kazi imeisha.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Watumishi wote wa Umma endeleeni kufanyia kazi nyumbani Oktoba 31

  18. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali yawataka watumishi wa Umma kufanyia kazi nyumbani Oktoba 30

    Msigwa amewatangazia Watumishi wote wa Umma kutotoka nyumbani kesho
  19. S

    JamiiForums Tanzania Ile kazi muhimu na muhimu inafanyika usiku wa leo. Kesho ni siku ya breaking news tu

    Acha wahangaike kuzuia mabasi ya mikoani hiyo kesho, wakati kazi ni leo usiku.
  20. JamiiForums Tanzania Ratiba kesho ni baada ya adhana kazi ianze

    Hayawi hayawi yamekua. Udugu kesho ndio ile siku yetu. Tumesikia wakibweka siye yetu vitendo. Wanasema wao ni zirail. Siye twataka tuone kesho watavuta roho ngapi. Tutaanza baada ya swala alfajiri. Kama ilivyopangwa. Mpaka sasa hawajui nini kinaenda kutokea. Hiyo ni nusu ya ushindi. Siku kumi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…