kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume zilizowahi kuundwa na mapendekezo hayakuwahi kufanyiwa kazi

    1. Tume ya Nyalali 2. Tume ya Bomani ya Ardhi 3. LRCT – Mapendekezo ya Katiba 4. Tume ya Haki za Binadamu – Kisanga 5. Tume ya Sheria Kandamizi – Kisanga 6. Tume ya Uchaguzi – Ramadhani Ongeza nyingine hapo chini
  2. JamiiForums Tanzania Johann Carl Friedrich Gauss - Mtoto wa miaka 7 aliyetengeneza equation baada ya mwalimu kutoa Kazi ya kuwa-keep Busy Wanafunzi

    Wanasema wengi waliona Tofaa linaanguka ila mmoja (wachache ndio waliuliza kwanini) - Ingawa hizi story huwa zina chumvi nyingi na uongo wa hapa na pale lakini hii ya Gauss inafurahisha Katika miaka ya 1780 mwalimu wa shule huko Ujerumani ili wanafunzi wake wakae kimya kwa muda wa kama nusu saa...
  3. JamiiForums Tanzania Daktari afukuzwa kazi kwa kumdhalilisha mgonjwa

    WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba ameagiza kufutwa kazi kwa daktari aliyekuwa akimtibu msichana mwenye umri wa miaka 18 aliyekuwa na tatizo la uzazi kwa kumdhalilisha kijinsia baada ya kumchoma sindano ya usingizi Urambo wilayani Tabora. Agizo hilo amelitoa akiwa Leganga wilayani Arumeru mkoani...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasanii fanyeni kazi msitusumbue wananchi tuko bize kulikomboa taifa

    Kipindi cha kampeni wasanii wote mlikuwa upande wa CCM mkaanza kutukana wananchi eti tunalalamika sana tufanye kazi. Baada ya uchafuzi wa 29 kuisha wameanza kutia huruma et nendeni youtube tukasikilize ushuzi, machawa Pro max, show za ndani zimebuma na bado wananchi hatutasiliza nyimbo zenu...
  5. JamiiForums Tanzania KAZI

    Ukiona mtu anapenda sana kwenda kazini ujue mwizi.
  6. JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni kazi au mwenye connection yakazi anae jua mahali flani sikosi. Mimi ni dereva, popote nafanya kazi

    Mimi ni kijana umri miaka 26 elimu kidato cha sita 6 nimepita veta kupata basic driving, NIT kua VIP driver na ninauzoefu wakutosha kabla ya kwenda kuongeza ujuzi nabaada ya kwenda kuongeza ujuzi udereva nikazi ninayo ipenda nipo tayari kufanya kazi popote hata na mtu binafsi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wito kwa JWTZ Mliopewa kazi ya kufanya lindo kwenye miji mikubwa

    Ndugu zetu Askari, najua wengi wenu mnatamani kuona Mambo ya Guniea na Madagascar yanafanyika, ila kwa sababu kadhaa na mobilization inakuwa ngumu, hivyo basi niwatake hakikisheni mnachukua Risasi kadhaa kila mkitoka kambini, zimeenda wapi nyie ni watu werevu mtaweza kuelezea hilo swali...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa jinsi ICC inavyofanya kazi, wahusika wa mauaji ya Oktoba 29, 2025 hawatafikishwa kwenye hiyo mahakama

    Habari za jioni wakuu! Mauaji yaliyotokea October 29 2025 hapa nchini, wengi wetu matumaini ya kupata haki yako ICC, ila kwa jinsi mahakama hiyo inavyofanya kazi, ni ngumu kupata haki huko. Kwanza ICC haina 'Jeshi wala Polisi' Inategemea majeshi ya nchi husika kumkamata mtu, sasa kwa jeshi...
  9. JamiiForums Tanzania KERO Mkandarasi aliyepewa Barabara ya Ubungo - Kimara Mwisho hawezi ile kazi!

    Kwa mtumiaji yeyote wa barabara ya Morogoro Rd, atakubali Ubungo Mataa - Kimara ni sehemu fupi ila ya kero sana kwenye foleni. Sasa huyu mkandarasi yeye amechimbua chimbua kila sehemu halafu ameacha na magari ametoa, inapelekea foleni moja kubwa sana. Mfano, pale Kimara Mwisho pana foleni kali...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kazi

    Habari za jioni wakuu Kijana mtiifu,mchapakazi na mwenye akili timamu.Nipo mbele yenu kuomba kazi yoyote halali ili niweze kupata pesa ya kuendesha maisha yangu Elimu yangu ni kidato cha 6 napatikana Goba Dar es salaam.Kazi ninayofanya kwa sasa ni kiwandani Mwenye mchongo wowote tushtuane...
  11. JamiiForums Tanzania Leo wazee wa kazi nimewaona Segerea na wako full combat na bunduki juu je kuna nn?

    Wakuu leo mda siyo mrefu wazee wa kazi wapo mtaani kwetu wako full commbat sijui kuna ishu gani aisee nauliza tuu
  12. JamiiForums Tanzania “Dereva Daraja la II” ndio nafasi ya kazi inayoongoza kutangazwa Ajira Portal.

    Wakuu. Wengi mtasupport ili, madereva ndio wanaotangazwa sana katika Ajira Portal. Sizisemi kada nyingine, lakini mfano hapo cheki wana nafasi 40 zimetangazwa, na kila nafasi unakuta zina post 5 kuzidi. Kwahiyo 40x5 inamaanisha kuna madereva 200 wanahitajika ndani ya hizi week mbili...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Hivi TBC ina kazi gani

    Hiv TBC ni chombo cha Taifa au chombo cha siasa za mrengo 1 wa CCM au ni dodoki la kuosha na kusambaza propaganda za serikali, nao wachukue basi usajili kwenye Baraza la vyama vya siasa maana hawaripoti habari za wananchi zaidi ni mapambio kuanzia asubuhi mpaka asubuhi. Mnajidanganya sana...
  14. JamiiForums Tanzania Airtel ni Mtandao ambao umejaza wafanya kazi matapeli/wezi

    Ni Kampuni ambayo inaongoza kwa msgs za ile pesa tuma namba hii au kukumbushwa kodi. Ni mtandao ambao matapeli wanapiga sana simu wakitaka kukutapeli mwenye line yao. Airtel ukiingizia tu pesa kwenye mtandao wao unaanza kupokea simu za matapeli wakitaka kukutapeli wakijifanya wanapiga simu...
  15. JamiiForums Tanzania Uchunguzi umekamilika kabla ya tume kuanza kazi

    Uchunguzi umekamilika kabla ya tume kuanza kazi.
  16. JamiiForums Tanzania Baada ya kufanyia Kazi masuala serious katika nchi yaliotupelekea vifo vya watu October 29 nyie bado Mnaendekeza propaganda?

    Nilifikiri kama taifa tumejifunza wapi tulipo kosea sasa kama Taifa tutakua serious kufanya reforms kila sehemu ambayo wananchi wamekua wakilalamikia kwamba sasa tunayafanyi kazi malalamiko ya wananchi yaliopelekea mauaji October 29...
  17. JamiiForums Tanzania Kama kauli hizi ni za kweli, usalama wa taifa,uhamiaji na Jeshi wakurugenzi watumbuliwe aachwe IGP, walitaka kumwalibia KAZI

    KAULI ya Rais yakuwa Kuna vijana wa Kenya waliingia Tanzania na kuandamana tarehe 29 ni inshara tosha yakuwa Jeshi la uhamiaji na Jeshi la wananchi lilimuujumu kikubwa IGP Ili atumbuliwe. Je NGO zilizowalipa vijana Ili waandamane zilisajiliwa na nani? Nisemw ukweli Rais Samia anahujumiwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kazi yenye laana ni ipi?

    Tanzania kuna shughuli nyingi sana za kufanya, niambie ni kazi gani ambayo bila ya kupepesa macho unaamini ina Laana, na unaiogopa kuifanya au kuwa muajiriwa wake? Fungukaaaaaa!
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kazini kuna kazi, Hili ndondo linafyekwa kwa umoja

    Wamefanya kosa moja tu la kiufundi, shoo kama hizi hazihitaji VIJIKO,
  20. JamiiForums Tanzania Kikwete aongoza Mahafali ya 55 ya UDSM - Vijana wanafuraha isiyo na kifani, sasa Serikali ta Mama Samia imewaandalia kazi za kumwaga

    Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambaye ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ametunuku Shahada za Awali, Stashahada na Astashahada kwa wahitimu katika Mahafali ya 55 (Duru la Pili) ya chuo hicho kikongwe kuliko vyote nchini. Jumla ya wahitimu 2,742 walihudhurishwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…