kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Napendekeza kwa mazingira mengine Polisi wafanye kazi kwa kuzingatia muktadha tukio kuliko kufuata protokali

    Linapotokea tukio mtu kauwawa mara nyingi tunaita polisi wachukue mwili, lakini pia inapotokea mtu kajiua tunawaita polisi. Kuna ile mtu kajiua kwa sumu au kujinyonga ndani kwake, nitolee mfano tukio lililotokea mtaani. Polisi walijulishwa kuwa kuna mtu kanywa sumu, wakafika eneo la tukio na...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Wakuu nina hali mbaya sana, nisaidieni kazi au connection ya kazi. Naona kiza

    Habari zenu wakuu. Ni kijana mtanzania nina miaka 27. Kipindi ninachopitia kwa sasa kinanifanya kuwaza mambo mengi sana pasipo kupata majibu ya kueleweka. Hadi kufikia kuja humu basi ujue hali imekuwa sio hali. Najua hatufahamiani humu, lakini haimaanishi mtu hawezi kupata msaada. Napitia...
  3. JamiiForums Tanzania Nahitaji developer nitayefanya naye kazi zangu

    kama kichwa cha habari kinavyo jieleza nahitaji developer anayejua kudesign website nitayefanya nae kazi zangu tafadhali nicheki inbox chap
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini Vyama vya Wafanyakazi havipigi kelele suala la Kikokotoo?

    Kelele zimekuwa nyingi kuhusu kikokotoo, hamna kauli dhabiti iliyotoka toka kwa "Vyama vya Wafanyakazi". Kazi ya hivi vyama binafsi siioni zaid ya kuvalishwa sare na kuandamana Mei Mosi, serikali tafadhali ongeza kikokotoo mara buku hadi akili ziwakae! Kila mtu analalamikia chumbani kwake...
  5. JamiiForums Tanzania Kazi za wahudumu wa afya ngazi ya jamii

    Habari ndugu zangu, Ninaomba kuuliza kuhusu hizi Ajira mpya za wahudumu wa afya ngazi ya jamii zilizotangazwa na Tamisemi kwa mtu mwenye uelewa 1. Kiwango cha mshahara ni bei gani? 2. Kama mtu Una degree nyingine tu unaweza kujificha ukatulia tu cheti chako cha form four kuomba kama...
  6. JamiiForums Tanzania Wakurugenzi na Maafisa 6 wa AICC wasimamishwa kazi kwa ubadhirifu

    Wakurugenzi na Maafisa 6 wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) wamesimamishwa kazi kwa muda kuanzia Aprili 3, 2024 ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazowakabili. Baadhi ya tuhuma hizo ni pamoja na kukiuka taratibu na kanuni za uendeshaji wa Mashirika ya Umma...
  7. JamiiForums Tanzania Tuonyeshe picha ya baadhi ya vifaa vyako vya kazi vinavokupa maisha

    Kama viko store kwenu au hapo kibaruani kwako tupigie picha ya baadhi ya tools zako unazoziaminia na kuzitunza daima kwani ndizo zinazokupa ugali.
  8. JamiiForums Tanzania Pre-Qualification Of Building Contractors For The Construction Of An Opd at Mantra April, 2024

    Pre-Qualification Of Building Contractors For The Construction Of An Opd For Likuyusekamaganga Health Centre In Likuyu Ward, Namtumbo District, Ruvuma Region. Mantra Tanzania Limited (Mantra), operating as a subsidiary of Uranium One, is focused on the potential development of a Uranium Mine...
  9. JamiiForums Tanzania Expressions Of Interest Of Service Providers at Helium One (Njozi) Limited April, 2024

    Expressions Of Interest Of Service Providers Helium One (Njozi) Limited, a company incorporated in the United Republic of Tanzania with registration number 117270 (the Company), is seeking expressions of interest from reputable and qualified service providers to express interest to provide the...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kuchagua kazi hizi

    Habari za wakati huu wapendwa wana JamiiForums, Nina imani kabisa hapa kwenye jukwaa kuna watu wazima na wenye elimu walio elimika. Nimekuja hapa kwa lengo la kupata ushauri wa vitu vili vinanipa utata. Mimi ni kijana nimesoma elimu ya form six nikafaulu pia kuendelea na na ngazi za bachelor...
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi HSE officer

    Hello wana jamii Natafuta kazi ya HSE OFFICER nina cheti cha NOSCH 1 na cheti cha RISK ASSESMENT Email yangu ni: arielle_00@yahoo.com
  12. JamiiForums Tanzania Tangazo la Kazi za Muda TAMESA Aprili, 2024

    Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) ni Taasisi ya Umma iliyoanzishwa kwa Sheria ya Wakala wa Serikali Sura ya 245. Majukumu yake makubwa ni kutoa Huduma za Matengenezo ya Magari na Mitambo, Huduma za Umeme ikiwa ni pamoja na kufanya Matengenezo ya Taa za Barabarani, kufanya Matengenezo...
  13. JamiiForums Tanzania Mke wangu ameleta msichana wa kazi aliyebarikiwa mzigo. Nifanyeje?

    Naomba nisipoteze muda wenu. Kichwa cha habari kinajieleza. Naishi na mke wangu na watoto wetu wadogo wawili. Nilikuwa safarini kikazi kwa muda wa wiki mbili. Nimerudi nyumbani nimekuta mke wangu ameleta msichana wa kazi aliyebarikiwa mzigo mkubwa na wa kuvutia mno. Msichana huyu anaonekana...
  14. JamiiForums Tanzania Vijana mkimaliza chuo tafuta kazi kabla ya kuanzisha biashara

    Vijana mkimaliza chuo tafuta kazi kabla ya kuanzisha biashara, Utafiti unaonyesha biashara mpya zinafeli ndani ya miaka 2 tu kwahiyo vijana mnaomaliza vyuo wakati mwingine ni kheri kwanza ukatafuta kazi kuliko kukimbilia biashara maana wengi wao wanakuwa awajakomaa kwenye eneo hilo na kuna...
  15. JamiiForums Tanzania Sasa hawa watu wa VAR wanalipwa kwa kazi gani?

  16. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi yoyote

    .
  17. JamiiForums Tanzania Kubadilishana. Kituo cha kazi

    Wakuu mimi ni Afisa muuguzi msaidizi. Niko Tarime Mara. Kama kuna mtu wa kada yangu Yuko Mwanza anahitaji kuhamia Tarime tuwasiliane.
  18. JamiiForums Tanzania Hebu 'singo mama' saidieni wake zetu kupata wasaidizi wa kazi za nyumbani.

    Ni kwamba wasioolewa tu ndo wana muda wa kutosha kujipatia wasaidizi wa kazi za ndani wenye hadhi? Yaani unakuta wanaendana, wengine hadi wanavaliana nguo. Msaidizi mrembo, msafi na mchangamfu kiasi kwamba hata ukifika yuko mwenyewe unakuwa na amani kwa bashasha. Hizi sampuli wanazojipatia...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kama Kazi ya Uenezi imemshinda Paul Christian Makonda nani ataiweza?

    Wazungu wanasema the Bone that Failed the Heyna, who can? Kazi ya Uenezi ndani ya ccm aliyeiweza kwa ufasaha alikuwa Abdulrahman Kinana miaka ya 2010. Tangu hapo Chama cha Mapinzudi hakijawahi kupata mtu sahihi, hata walipojaribu kuteua watu wenye dosali ktk jamii bado napo imekuwa ngumu...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuondoa tattoo

    Habari wana JamiiForums samahanini nina ndugu yangu amebahatika kwenda jeshini lakini ana tattoo ya jina mkononi, anashinda ndani analia hajui aiondoe vipi maana akijichoma na pasi wanasema makovu hawataki. Anahitaji msaada afanyaje ni kitu alichokipigania sasa amebahatika ndo iko hivo msaada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…